Mambo 10 niliyoyaona leo Simba vs Al Ahly Tripoli

Umenena vyema mkuu,,
Kuna wachezaji wa ligi na wachezaji wa CAF) shirikisho,
Bakua
Chasambi
Karabaka
Na genge lao wote ni wa ligi kuu.

Simba ilifanya kosa kubwa sn kuwaacha wachezaji 80% ya timu ya msimu uliopita.
Mtoe Chasambi hapo dogo ana goli na assist champion league. Kawazidi wote hapo ila ajabu hapewi nafasi. Kolo hana kocha.
 
Wewe ni mchambuzi WA MATEMBELE.
kucheza mbele ya mashabiki 45,000 tena kwao.ukapambana na kutoa suluhu wewe ni mwanaume. Simba wamecheza vizuri TUACHE LAWAMA.hao watoto ndo wanapata uzoefu huko hatuna fha kuwalaumu
 
Amuulize kocha wa azam mechi na pamba hana hamu Feisal wa sub weweee...
 
Kumtoa Ateba kumuweka Mashaka kwakweli naanza kuona kwamba kocha wetu kuna namna anakosa kujianini
 

Unajua timu Okinawa inashambuliwa sana ata ukimuingiza Halland utamuona hajui tu.
 
Sasa utalinganisha mchezo wa simba na ule upuuzi uliochezwa jana kati ya Yanga na CBE( Timu ya chuo🤣🤣)
Ni Tanzania pekee team iliyocheza vizuri ugeni na kupata matokeo champions league ikiwa na takwimu nzuri inaonekana ilicheza vibaya kuliko team iliyotoa sare ugenini shirikisho kwa zero shot on target. Haya ni maajabu
 
Kwamba duniani ndio wachezaji pekee waliokuwa wamebaki? Wakichoka inaingizwa nguvu mpya kama ilivyo kwa Dube, Boca, Baleke, Aziz na Fundi Abuya.
Utopolo tangu kuwape code mmekuwa na mdomo sana. Your days are numbered, misimu miwili hao wachezaji wote watakuwa hoi
 
Chura wote kwenye maji hakukaliki, kelele mji mzima.

Mtu unaacha kupalilia matembele yako unajiona nawe mchambuzi wa soka.
 
Niliwai kusema hapa kwamba Simba walisajili cheap labour ivyo wasitegemee mafanikio kwa hao cheap labour, walienda kuokoteza wachezaji wa bei nafuu, kwenye vilabu vya kawaida ambavyo vingine ata kucheza hatua ya makundi shirikisho avijawai, watawezaje kuhimili mikiki mikiki ya vilabu vyenye wachezaji Wenye uzoefu mechi za kimataifa? Matokeo yake kocha anakwenda na game plan ya kulinda na wachezaji 8 dk zote 90!
Tena analinda dhidi ya timu ya kawaida kama iyo ya tripoli, ni aibu!
No shoot on target ata Moja ndani ya dk 90, No chance created ata Moja, Mpira walikuwa wakiugusa wanakaa nao si zaidi ya dk Moja washanyang'anywa, Kina ahoa, mutale, Debora, barua walikuwa kama vile na wao ni mabeki ilikuwa ni zero performance!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…