1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu.
2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global"
3. Mafundi wa Diplomasia, Mwalimu Nyerere alipigania ukombozi wa Afrika, Rais Samia anafungua milango ya uwekezaji wa kimataifa.
4. Wachapa kazi, Mwalimu Nyerere alisema uhuru na kazi, Rais Samia anasema kazi iendelee.
5. Mashabiki wa kilimo, Mwalimu Nyerere alisisitiza kilimo kama uti wa mgongo wa taifa, Rais Samia anahamasisha vijana kurudi shambani na kutumia teknolojia mpya, "Kilimo ni biashara siyo adhabu".
6. Wanadiplomasia wenye ushawishi, Mwalimu Nyerere alikuwa sauti ya Afrika, Rais Samia ni sauti ya Watanzania kwenye majukwaa ya kimataifa, "Mama anatufikisha mbali".
7. Wapenda mazingira, Mwalimu Nyerere alihifadhi Serengeti, Rais Samia anasisitiza matumizi ya nishati safi.
8. Waumini wa vijana, Mwalimu Nyerere alitegemea vijana katika harakati za maendeleo, Rais Samia anawapa nafasi Serikalini na katika miradi mikubwa.
9. Wapenda elimu, Mwalimu Nyerere alisisitiza elimu kwa wote, Rais Samia anaboresha miundombinu ya shule.
10. Wote waliingiza nchi yetu katika vita, Mwalimu Nyerere alipigana vita katika kumuondoa nduli Idd Amini, Rais Samia Suluhu anapigana vita ya kuuondoa umasikini.
Rais Samia ni mwendelezo wa maono ya Baba wa Taifa, akiiweka Tanzania katika nafasi bora zaidi.
Kazi iendelee