Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Na kwanini na wewe unaamini kuwa mtu fulani ana akili na maarifa? Kwani ulishawahi kuiona akili kwa macho?
Akili ni jina la kufikirika tu, halipo katika uhalisia.

Tukipasua kichwa cha binadamu hatuwezi kuona hiyo akili, kwa sababu akili ni dhana ya kufikirika tu inayo onyesha ufanyaji kazi wa ubongo na uchakataji wa taarifa.
 
Ndio unataka kulinganisha nini hapa au unalenga nini maana naona kama umepanic bila sababu ya msingi.
 
Kuamini ni haki ya kila mmoja shida inakuja pale unachokiamini wewe kulazimisha kila mtu aamini ndio maana unatakiwa uthibitishe.

Wapi nimeandika kujua ni kinyume cha kuamini?
Umelazimishwa kuamini kvp yani?

Mnaposema hamtaki kuamini mnataka kujua mna maana gani?
 
Unapinga madai madai ya kuwepo Mungu kwa sababu unasema hakuna Mungu na hajawahi kuwepo, sasa huko sio kupinga madai ya Mungu kisa hakuna uthibitisho bali unachofanya ni kutoa madai ya kutokuwepo Mungu. Kama ishu ingekuwa ni kukosekana uthibitisho tu usingekuwa unasema kwa kujiamini kuwa hakuna Mungu.

Agnostics hawaamini Mungu pia ila hawasemi moja kwa moja kuwa hakuna Mungu na hajawahi kuwepo maana hakuna namna ya kuweza kujua hilo kiuhakika ila wewe unasema kabisa hakuna Mungu na hajawahi kuwepo halafu unakataa kuwa hayo sio madai.

Kushindwa kuthibitisha madai ndio kunafanya moja kwa moja kuwa madai ya uongo au ni madai yasio na ushahidi?
 
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu?
Kuna ndugu yangu alikuwa anaishi kijijini anaumwa VVU Yan UKIMWI na anatumia vidonge zaidi ya mwaka na alikuwa na hofu ya Mungu sanaa siku Moja alipo pita nyumban kwenda kuchukua dawa kama kawaida usiku tulimuomba Mungu .na asubuh aliomba sana.. alipo enda hospital akapima hakakutwa Hana kabisa virus vya UKIMWI..ashukuliwe Bwana Yesu ndie alimponya ...
 
Hivi unaelewa hata kazi ya uthibitisho? Kwako wewe uthibitisho ndio unafanya kitu kiwepo?
 
Ndio unataka kulinganisha nini hapa au unalenga nini maana naona kama umepanic bila sababu ya msingi.
Nataka uniambie ni aina gani ya uthibitisho ambao kwako utaku satisfy kuthibitisha teapot inayo orbit jua ipo
 
Uliwahi kumuona wap huyoo munguu wewe
 
Nataka uniambie ni aina gani ya uthibitisho ambao kwako utaku satisfy kuthibitisha teapot inayo orbit jua ipo
Kwani kuna uthibitisho ambao umetoa nikaukataa hadi uniulize hivyo?
 
Unataka uthibitisho na ushahidi gani kwa kitu kisichokuwepo, ilhali wewe unayedai kipo umeshindwa kuthibitisha kipo?

Hivi uko timamu kweli?

Ukisema Mungu yupo, Ina maana una ushahidi na uthibitisho wa uwepo wake.

Sasa nyie mnasema Mungu yupo, Halafu uthibitisho wake hamna. Halafu hapohapo mnakataa kwamba hayupo.

Sasa unataka nini?
 
Watu wa dini machizi hawajielewii mungu yupo thibitishaa sasa uwepo wa mungu haletu yeye yupo tuu mungu yupo mungu yupoo
 
Hivi unaelewa hata kazi ya uthibitisho? Kwako wewe uthibitisho ndio unafanya kitu kiwepo?
Ndio uthibitisho unafanya kitu kiwepo.

Bila uthibitisho hakuna kitu.

Niambie ni kitu gani kipo bila uthibitisho wa kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika au kupimika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…