Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
UKitumia hii statement unatafuta balaa tuSomething cannot arise from nothing..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKitumia hii statement unatafuta balaa tuSomething cannot arise from nothing..
Hujakataa uthibitisho.Kwani kuna uthibitisho ambao umetoa nikaukataa hadi uniulize hivyo?
Positive assertions ndio inayoweza kuwa dismissed kwasababu technically negative haithibitishwi.Huna ushahidi madai Yako yamekuwa dismissed 😉
Soma Warumi 2:12-16(BHN)Ila sasa vipi kuhusu hawa ambao wanaamini asili kuliko Mungu?!
Hujajibu hojaHuyo Erick ni wako na wajapani ila Mungu wangu yupo kabisa. My prime cause of everything and whatever exist. He must be exit somewhere.
Kama unaendesha gari, ukiona vibao vya alama za tahadhari/hatari, unawalaumu walioviweka kwamba wanakutisha au unawashukuru kwamba watakuwezesha kufika salama? Kila chenye mwanzo kina mwisho. Mwisho wa dunia hii ukifika, kifuatacho ni hukumu. Wanaotenda dhambi ndio wanaoona wanatishwa. Lakini wanaomcha Mungu hawana hofu hata wakiambiwa hukumu ni kesho!Mkianza kuleta mambo ya hukumu ndio mnachanganya watu, Mungu yupo ila hukumu haipo msiwatishe watu, dini hizi za watu zinafanya watu wakae mbali zaidi na Mungu zimekuwa zikiwatisha sana watu
Ukigeuka huku hukumu, ukienda kule mapepo , ukihudhuria misibani huko ndio kabisa kujazana hofu ni kwingi hofu tupu wakati kuna namna tunaweza ishi bila kutiana hofu,
Erick ni wa huko na Iman yao ila na mimi nina Imani yangu juu ya Mungu wangu kama wajapani walivyo na Imani yao juu ya huyu m-ngu wao. Mazingira ya ukuaji na tamaduni zetu kama ambavyo haziko sawa basi nami namna ya kumuelekea Mungu wangu haiwezi kuwa sawa na wao.Hujajibu hoja
The Cosmological Argument presents a systematic reasoning based on observations of the universe and its origins, rather than relying on mere assumptions or casual speculation. To counter the claim that "it doesn’t prove God exists," here are some key points:Cosmological Argument ni hoja zilizojaribu ku-assume kuwa kuna Mungu kupitia mifano ya mazingira, hazithibitishi Mungu yupo.
The possibility of something existing without a beginning depends on the distinction between contingent beings (those that depend on something else for their existence) and a necessary being (something that exists independently and eternally). This can be explained as follows:Kama kuna uwezekano wa kuwa na kitu ambacho hakina mwanzo, kwanini binadamu na kila kilichopo kisiweze kutokuwa na mwamzo? Thibitisha hili.
Ukishaleta hapa jukwaani kutuhubiria unakuwa umevuka mipka ya imani unless ufanye hivyo ukiwa kanisani.Erick ni wa huko na Iman yao ila na mimi nina Imani yangu juu ya Mungu wangu kama wajapani walivyo na Imani yao juu ya huyu m-ngu wao. Mazingira ya ukuaji na tamaduni zetu kama ambavyo haziko sawa basi nami namna ya kumuelekea Mungu wangu haiwezi kuwa sawa na wao.
Kwa nini Maneno aliyosema Mungu ili kututahadharisha na hatari iliyoko mbele yetu yanaitwa vitisho?Mleta mada wewe huamini miungu 16,999 iliyoundwa na binadamu tokea kale.
Mimi siamini miungu yote 17,000 iliyoundwa na binadamu.
Si unaona hatutofautiani sana?😊
Basi tuishi kwa amani na upendo, tusibaguane wala kutishiana. Maisha yenyewe mafupi mno.
Define "God".God is good♥️
Ukileta udhibitisho kuonyesha kuwa hayupo nami nitaleta udhibitisho kuonesha kuwa yupo.Ukishaleta hapa jukwaani kutuhubiria unakuwa umevuka mipka ya imani unless ufanye hivyo ukiwa kanisani.
Leta uthibitisho kuonesha huyo Mungu wako yupo.
Ukishaleta hapa jukwaani kutuhubiria unakuwa umevuka mipka ya imani unless ufanye hivyo ukiwa kanisani.
Leta uthibitisho kuonesha huyo Mungu wako yupo.