Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza , ukimaliza uthibitishe ni Mungu yupi wa ukweli kati ya hawa 10000 kwa sababu wote wapo tofauti kitabia.
Kwa bahati mbaya Sana tumefungwa hata njia zile za kumthibitisha tumezidharau.

Amekuumba hawezi acha kukusikia wewe chukua hatua stahiki then kati ya hao buku atakujulisha yupi sio yeye.

Kinachonisumbua sio kuthibitisha uwepo wa Mungu hasha! Bali kukufanya ukubali kufuata procedure zitakazokupeleka kwenye uthibitisho ukiwa wewe na Mungu wako pekee
 
I don't think so.

God himself said in Genesis 1:27 - Humans are created in the Image of God.

From this verse it sounds like- We're like Him.
Yes we are but God himself is beyond human imagination and he's a super natural being
 
God is eternal, all powerful but is sick to intervene in our pity things.

What's wrong with that God
He fails to intervene because he allows people to experience consequences of their choices.. it gives them motivation to make good decision na aki intervene katika kila jambo baya people would no longer have freedom to choose
 
Ndio, Biblia sio ushahidi ila ina ushahidi. Nenda Israeli kamuombe Mheshimiwa Netanyahu akuonyeshe baadhi ya mambo yaliyoandikwa katika Biblia, yaliyotendeka wakati Yesu alipokuwa duniani.
Weka uthibitisho acha janja janja
 
The number of gods in the world varies greatly and depends on the religion and beliefs of the people. Some say there are 33 gods, while others say there are 6, 3, 2, or one-and-a-half gods. Some even challenge the idea that the number of deities can be represented by a whole number.
Here are some examples of the number of gods in different religions:
Greek mythology
The number of gods in Greek mythology can range from 8,000 to 12,000. Some of the gods in ancient Greek mythology include Zeus, Hera, Poseidon, Demeter, Athena, Apollo, Artemis, Ares, Hephaestus, Aphrodite, Hermes, and either Hestia or Dionysus.
Indian mythology
The number of gods in Indian mythology is around 33 million. However, some Hindus believe in one God without a second, the absolute and formless Brahman.
Christianity
Christians believe in a singular God that exists in a Trinity, which consists of three Persons: God the Father, God the Son, and God the Holy Spirit.
The concept of God and the number of gods is a complex theological question without a universally agreed-upon answer.

Mkuu maelezo hapo juu yanasema kuna Miungu mingi,sasa weww sijui unamzungumzia Mungu yupi???
 
He fails to intervene because he allows people to experience consequences of their choices.. it gives them motivation to make good decision na aki intervene katika kila jambo baya people would no longer have freedom to choose
But awachoma moto for the freedom he gave them,

So your arguments prove God is Unjust
 
But awachoma moto for the freedom he gave them,

So your arguments prove God is Unjust
He gave freedom so that you can choose either the wrong way or good way ... he can't force anyone into His family...the decision is in your hand
 
Mungu ni dhana ya kutungwa na kufikirika tu mliyo jitungia huko vichwani mwenu.
I presume mashetani pale yalipo yanachekelea maana yameweza kuwafanya wanadamu wasiamini kuwa Mungu yupo. Biblia inasema mashetani yenyewe yanaamini na kutetemeka(Yak 2:19), maana kabla ya kutupwa duniani yalikuwa huko mbinguni kama malaika, lakini yalipoasi yakafukuzwa; sasa yanahangaika usiku na mchana kutafuta wafuasi wa kuchomwa nao motoni. Ee Mungu wasaidie watu wako wasiendelee kupotoshwa.
 
Mungu ni dhana ya kutungwa na kufikirika tu mliyo jitungia huko vichwani mwenu.
Tujitungie ili iweje.
1 Yohana 1:1-4 (NEN)
Tunawajulisha lile lililokuwepo tangu mwanzo, lile tulilosikia, ambalo tumeliona kwa macho yetu, ambalo tumelitazama na kuligusa kwa mikono yetu, kuhusu Neno la uzima. Uzima huo ulidhihirishwa; nasi tumeuona na kuushuhudia, nasi twawatangazia uzima wa milele, ambao ulikuwa pamoja na Baba, nao ukadhihirishwa kwetu. Twawatangazia lile tuliloliona na kulisikia, ili nanyi mwe na ushirika nasi. Na ushirika wetu hasa ni pamoja na Baba na Mwanawe, Yesu Kristo. Tunaandika mambo haya ili furaha yetu ipate kuwa timilifu.
 
Unapotaka uthibitishiwe uwepo wa Mungu, ina maana ya kwamba wewe mwenyewe kwa njia zako umeshindwa kenge wewe,

UKipewa njia za kuthibitishia eg kuwa mtakatifu kwa kufanya iv na vile na kuacha hiki na kile na haufuati wewe ni kenge unaetaka ligi tu , maan hujui unachokitaka.

Kuna swali la kipuuzi hapa et origin of God?
Yani unauliza asiyeonekana asili yake?
Pumbavu kabsaa,

Namimi nikiuliza vipi kwa vitu vinavyoonekana vimetokea wapi utasema nini?, hakuna mwanasayansi wala yeyote aliyesema yeye ndio creator wa particles fulani, ila wanazitumia tu why?

Ok yule aliyejitambulisha kuwa ni muumbaji na alikuwepo, yupo na atakuepo milele, mnataka kujua katoka wapi?
Swali na mimi nawaulizeni
1. Particles zilizotumika kuunda UPEPO zimetoka wapi?
2. Min me , kiranga na yule sjui infroper
NIambieni uweoo wenu huo particles zake asili yake ni ipi ?
 
Kutumia Biblia ...ni sawa na kutumia hekaya za vitabuni kusema kwamba ndio uthibitisho.
Biblia ni "baba lao"
The Bible stands as the supreme and unparalleled book, the eternal Word of God that transcends all human wisdom and literature. Watu walijaribu kuichoma, kuipoteza, but in vain.
 
God exist

Ukitaka kujua hili jambo jaribu kuamka 2:40 AM everyday .
Na mimi naongezea: "Ukitaka kujua hili jambo jaribu kuamka 2:40 AM everyday, uombe Mungu ayafumbue macho yako ya ndani, ujue kuwa Mungu yupo. Mungu atayafumbua.
Hata mimi zamani sikumjua Mungu. Nilishi dhambini. Kwa neema yake alinifunulia kuwa yupo, Yeye ni wa milele, Hana mwanzo wala mwisho.
 
Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie waamini huyo Mungu.

Nyie waamini Mungu ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.

Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo, Ni kwamba madai yenu ni ya uongo.

Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
Uthibitisho umeishatolewa vipengele 10+2.
 
Back
Top Bottom