Kwasababu hakuna uthibitisho.
Kama unao, weka hapa kila mtu aone.
Jibu swali la pili, naona hujajibu hata swali la kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu hakuna uthibitisho.
Kama unao, weka hapa kila mtu aone.
Saa yaja ndugu, kila jicho litamuona na kukiri kuwa Yeye ndiye Mungu.Mthibitishe huyo Mungu yeye kama yeye.
Sio kutumia mambo au vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, Kufosi kwamba viliumbwa na huyo Mungu wako wa kufikirika.
Thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
Tafuta pesa uende Israeli utaonyeshwa kaburi la Yesu, aliyekufa akafufuka kuthibitisha kwamba Yeye yuko juu ya kifo. Labda hiyo itakusaidia kujua kuwa Mungu sio wa kufikirika.Kufosi kwamba viliumbwa na huyo Mungu wako wa kufikirika.
I don't think so.Because we can never be like God
Mkuu, Biblia ni kitabu kilichojaa ufunuo wa Mungu kwa wanadamu, na siyo uongo wala uzushi. Ni kweli Mungu aliongea na watu na akawatumia manabii na mitume kutoa ujumbe wake. Huu siyo uongo.Biblia na maandiko ya namna yake ni uongo na uzushi mtupu.
Yes, tofauti sisi tuna mwili yeye hana mwili - so huwezi kumuona kwa macho ya kawaida.I don't think so.
God himself said in Genesis 1:27 - Humans are created in the Image of God.
From this verse it sounds like- We're like Him.
Sawa, it's true that extraordinary claims often require strong evidence. Hata hivyo, it's important to recognize that the existence of God isn't something that can be fully contained within the scope of empirical evidence, especially considering the nature of God as transcendent and beyond our limited understanding.The more extraordinary the claim, the more extraordinary the evidence that is required to demonstrate it.
Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.Tafuta pesa uende Israeli utaonyeshwa kaburi la Yesu, aliyekufa akafufuka kuthibitisha kwamba Yeye yuko juu ya kifo. Labda hiyo itakusaidia kujua kuwa Mungu sio wa kufikirika.
Weka uthibitisho acha janja janjaJibu swali la pili, naona hujajibu hata swali la kwanza.
God doesn't exist.My friend, read the following Bible verse:
Psalm 19:1-4 (NIV)
"The heavens declare the glory of God; the skies proclaim the work of his hands. Day after day they pour forth speech; night after night they reveal knowledge. They have no speech, they use no words; no sound is heard from them. Yet their voice goes out into all the earth, their words to the ends of the world."
This verse highlights that God’s existence and glory are proclaimed not only through human speech but also through creation itself. The natural world speaks of God's power and majesty, even without words. Therefore, God's existence is not dependent on human defense or speech—His presence is revealed through all that He has made.
Baso nasubiria huo uthibitishoSawa, it's true that extraordinary claims often require strong evidence. Hata hivyo, it's important to recognize that the existence of God isn't something that can be fully contained within the scope of empirical evidence, especially considering the nature of God as transcendent and beyond our limited understanding.
Just like we accept the existence of many things based on indirect evidence, experience, and logical reasoning rather than direct, tangible proof (such as the existence of love, consciousness, or even the law of gravity), we can approach the question of God's existence kwa njia hiyo hiyo. The complexity, order, and beauty of the universe, as well as personal experiences of faith, can point toward a Creator.
While we may not be able to "prove" God's existence in the same way we prove physical phenomena, there is a weight of evidence that suggests the reality of a higher power—evidence seen in the intricacy of the natural world, the moral order, historical accounts, and transformative personal experiences.
Faith, in this case, doesn't require blind acceptance, bwana, but a reasoned acknowledgment that some truths transcend the purely physical and observable. Umenipata mpaka hapo?
Au Mkuu, unataka uone picha ya Mungu ndio uamini? Hakuna aliyemuona Mungu akaishi.
Soma 1 Tim 6:16 "Yeye pekee(Mungu) ambaye hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyewahi kumwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele..." Na wote tuseme: Amina!
Huyo Mungu wako ana exist huko kichwani mwako tu, kwenye mawazo yako ya kufikirika tu.Fictional God? My God is not fictional. Kwa nguvu zake nimeona shetani akisalimu amri na kukimbia. Mimi Mungu wangu amenipa mahitaji yangu mengi. Poleni ambao bado hamjaonja wema wa Mungu
Logical non sequiturs? I think it’s helpful to remember that sometimes our reasoning can differ based on how we approach a topic. It’s all about perspective, and I respect yours. If you're open to it, we can continue this conversation in a way that helps us both understand each other better. Asante hata kwa ku-comment. Peace be unto you!All of these are logical non sequitur.
Nimeongeza points mbili za uthibitisho. I presume umezisoma na kuzielewa.Athibitishe uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
Sio aanze kufosi kwamba vitu vilivyopo ulimwengu vimeumbwa na huyo Mungu wa kufikirika.
Kwanza amthibitishe huyo Mungu.