Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mthibitishe huyo Mungu yeye kama yeye.

Sio kutumia mambo au vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, Kufosi kwamba viliumbwa na huyo Mungu wako wa kufikirika.

Thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
Saa yaja ndugu, kila jicho litamuona na kukiri kuwa Yeye ndiye Mungu.
Maana Maandiko yanasema: “Kama niishivyo, asema Bwana, kila mtu atanipigia magoti, na kila mmoja atakiri kwamba mimi ni Mungu.” Warumi 14:11(BHN)
 
Kufosi kwamba viliumbwa na huyo Mungu wako wa kufikirika.
Tafuta pesa uende Israeli utaonyeshwa kaburi la Yesu, aliyekufa akafufuka kuthibitisha kwamba Yeye yuko juu ya kifo. Labda hiyo itakusaidia kujua kuwa Mungu sio wa kufikirika.
 
Biblia na maandiko ya namna yake ni uongo na uzushi mtupu.
Mkuu, Biblia ni kitabu kilichojaa ufunuo wa Mungu kwa wanadamu, na siyo uongo wala uzushi. Ni kweli Mungu aliongea na watu na akawatumia manabii na mitume kutoa ujumbe wake. Huu siyo uongo.
Soma 2 Timotheo 3:16 utagundua kuwa Maandiko yana pumzi ya Mungu.
Mtu anayempenda Mungu, anaelewa uongozi wa Roho Mtakatifu. Mtu anapokuwa na uhusiano wa karibu na Mungu kwa njia ya maombi na Neno la Mungu, anakuwa na uwezo wa kutambua sauti ya Roho Mtakatifu. Katika Yohana 14:26 imeandikwa hivi:
"Lakini huyo Msaidizi, Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, yeye atawafundisha mambo yote na kuwaonyesha vitu vyote."
 
Tunachokijua sisi wanadamu juu ya uumbaji ni 0.5% sor far. Kuna siri nyingi mno ambazo hata malaika nyingine hawazijui.
Ni kweli Mungu yupo anaishi na kutawala ulimwengu huu na vyote vilivyomo hili halina ubishi.
HIvi ushawaza nini kitatokea endapo Dunia yetu itasisimama kwa sekunde hata mbili tu?
 
The more extraordinary the claim, the more extraordinary the evidence that is required to demonstrate it.
Sawa, it's true that extraordinary claims often require strong evidence. Hata hivyo, it's important to recognize that the existence of God isn't something that can be fully contained within the scope of empirical evidence, especially considering the nature of God as transcendent and beyond our limited understanding.

Just like we accept the existence of many things based on indirect evidence, experience, and logical reasoning rather than direct, tangible proof (such as the existence of love, consciousness, or even the law of gravity), we can approach the question of God's existence kwa njia hiyo hiyo. The complexity, order, and beauty of the universe, as well as personal experiences of faith, can point toward a Creator.

While we may not be able to "prove" God's existence in the same way we prove physical phenomena, there is a weight of evidence that suggests the reality of a higher power—evidence seen in the intricacy of the natural world, the moral order, historical accounts, and transformative personal experiences.

Faith, in this case, doesn't require blind acceptance, bwana, but a reasoned acknowledgment that some truths transcend the purely physical and observable. Umenipata mpaka hapo?

Au Mkuu, unataka uone picha ya Mungu ndio uamini? Hakuna aliyemuona Mungu akaishi.

Soma 1 Tim 6:16 "Yeye pekee(Mungu) ambaye hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyewahi kumwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele..." Na wote tuseme: Amina!
 
Tafuta pesa uende Israeli utaonyeshwa kaburi la Yesu, aliyekufa akafufuka kuthibitisha kwamba Yeye yuko juu ya kifo. Labda hiyo itakusaidia kujua kuwa Mungu sio wa kufikirika.
Yesu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Hata waisrael wenyewe hawatambui uwepo wa huyo yesu.

Ni wewe mbongo umepumbazwa na kulishwa Matango pori unajifanya kuijua Historia ya waisraeli kuliko waisrael wenyewe wenye nchi.

You need to restore your brain 🧠 to factory settings.
 
My friend, read the following Bible verse:
Psalm 19:1-4 (NIV)
"The heavens declare the glory of God; the skies proclaim the work of his hands. Day after day they pour forth speech; night after night they reveal knowledge. They have no speech, they use no words; no sound is heard from them. Yet their voice goes out into all the earth, their words to the ends of the world."

This verse highlights that God’s existence and glory are proclaimed not only through human speech but also through creation itself. The natural world speaks of God's power and majesty, even without words. Therefore, God's existence is not dependent on human defense or speech—His presence is revealed through all that He has made.
God doesn't exist.

Human beings created God through assumptions based on things beyond imaginations.
 
Sawa, it's true that extraordinary claims often require strong evidence. Hata hivyo, it's important to recognize that the existence of God isn't something that can be fully contained within the scope of empirical evidence, especially considering the nature of God as transcendent and beyond our limited understanding.

Just like we accept the existence of many things based on indirect evidence, experience, and logical reasoning rather than direct, tangible proof (such as the existence of love, consciousness, or even the law of gravity), we can approach the question of God's existence kwa njia hiyo hiyo. The complexity, order, and beauty of the universe, as well as personal experiences of faith, can point toward a Creator.

While we may not be able to "prove" God's existence in the same way we prove physical phenomena, there is a weight of evidence that suggests the reality of a higher power—evidence seen in the intricacy of the natural world, the moral order, historical accounts, and transformative personal experiences.

Faith, in this case, doesn't require blind acceptance, bwana, but a reasoned acknowledgment that some truths transcend the purely physical and observable. Umenipata mpaka hapo?

Au Mkuu, unataka uone picha ya Mungu ndio uamini? Hakuna aliyemuona Mungu akaishi.

Soma 1 Tim 6:16 "Yeye pekee(Mungu) ambaye hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyewahi kumwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele..." Na wote tuseme: Amina!
Baso nasubiria huo uthibitisho

Haya mahubiri kwangu ni nonsense
 
fictional God.
Fictional God? My God is not fictional. Kwa nguvu zake nimeona shetani akisalimu amri na kukimbia. Mimi Mungu wangu amenipa mahitaji yangu mengi. Poleni ambao bado hamjaonja wema wa Mungu
 
Fictional God? My God is not fictional. Kwa nguvu zake nimeona shetani akisalimu amri na kukimbia. Mimi Mungu wangu amenipa mahitaji yangu mengi. Poleni ambao bado hamjaonja wema wa Mungu
Huyo Mungu wako ana exist huko kichwani mwako tu, kwenye mawazo yako ya kufikirika tu.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
 
All of these are logical non sequitur.
Logical non sequiturs? I think it’s helpful to remember that sometimes our reasoning can differ based on how we approach a topic. It’s all about perspective, and I respect yours. If you're open to it, we can continue this conversation in a way that helps us both understand each other better. Asante hata kwa ku-comment. Peace be unto you!
 
Athibitishe uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Sio aanze kufosi kwamba vitu vilivyopo ulimwengu vimeumbwa na huyo Mungu wa kufikirika.

Kwanza amthibitishe huyo Mungu.
Nimeongeza points mbili za uthibitisho. I presume umezisoma na kuzielewa.
 
Back
Top Bottom