Kwa bahati mbaya Sana tumefungwa hata njia zile za kumthibitisha tumezidharau.Thibitisha uwepo wa Mungu kwanza , ukimaliza uthibitishe ni Mungu yupi wa ukweli kati ya hawa 10000 kwa sababu wote wapo tofauti kitabia.
Hata wewe huelewi chochote,Hawa hata uwaeleweshe hata miaka 50 mambo yao ni yale yale tu
Yes we are but God himself is beyond human imagination and he's a super natural beingI don't think so.
God himself said in Genesis 1:27 - Humans are created in the Image of God.
From this verse it sounds like- We're like Him.
He's a supreme being and a principal of faithDefine "God".
NOTE: Without mentioning works that are Claimed to be done by him.
He fails to intervene because he allows people to experience consequences of their choices.. it gives them motivation to make good decision na aki intervene katika kila jambo baya people would no longer have freedom to chooseGod is eternal, all powerful but is sick to intervene in our pity things.
What's wrong with that God
Alitokea wapi?Yes, tofauti sisi tuna mwili yeye hana mwili - so huwezi kumuona kwa macho ya kawaida.
Weka uthibitisho acha janja janjaNdio, Biblia sio ushahidi ila ina ushahidi. Nenda Israeli kamuombe Mheshimiwa Netanyahu akuonyeshe baadhi ya mambo yaliyoandikwa katika Biblia, yaliyotendeka wakati Yesu alipokuwa duniani.
But awachoma moto for the freedom he gave them,He fails to intervene because he allows people to experience consequences of their choices.. it gives them motivation to make good decision na aki intervene katika kila jambo baya people would no longer have freedom to choose
He gave freedom so that you can choose either the wrong way or good way ... he can't force anyone into His family...the decision is in your handBut awachoma moto for the freedom he gave them,
So your arguments prove God is Unjust
I presume mashetani pale yalipo yanachekelea maana yameweza kuwafanya wanadamu wasiamini kuwa Mungu yupo. Biblia inasema mashetani yenyewe yanaamini na kutetemeka(Yak 2:19), maana kabla ya kutupwa duniani yalikuwa huko mbinguni kama malaika, lakini yalipoasi yakafukuzwa; sasa yanahangaika usiku na mchana kutafuta wafuasi wa kuchomwa nao motoni. Ee Mungu wasaidie watu wako wasiendelee kupotoshwa.Mungu ni dhana ya kutungwa na kufikirika tu mliyo jitungia huko vichwani mwenu.
Tujitungie ili iweje.Mungu ni dhana ya kutungwa na kufikirika tu mliyo jitungia huko vichwani mwenu.
Biblia ni "baba lao"Kutumia Biblia ...ni sawa na kutumia hekaya za vitabuni kusema kwamba ndio uthibitisho.
Na mimi naongezea: "Ukitaka kujua hili jambo jaribu kuamka 2:40 AM everyday, uombe Mungu ayafumbue macho yako ya ndani, ujue kuwa Mungu yupo. Mungu atayafumbua.God exist
Ukitaka kujua hili jambo jaribu kuamka 2:40 AM everyday .
Uthibitisho umeishatolewa vipengele 10+2.Madai ya uwepo wa Mungu yametoka kwenu nyie waamini huyo Mungu.
Nyie waamini Mungu ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo.
Mkishindwa kuthibitisha madai yenu ya uwepo wa huyo Mungu mnayedai yupo, Ni kwamba madai yenu ni ya uongo.
Na huyo Mungu mnayedai yupo, HAYUPO.
Thibitisha uwepo wa Mungu.Hata wewe huelewi chochote,
OK tunashangaana.
Scroll mule chini nijibu yale maswali .Thibitisha uwepo wa Mungu.