Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Amen. Sifa kwa Yesu. Mimi nimeona miujiza mingi ya uponyaji.
 
Hamna twende pole pole, hao waliokuzaa wamezakiwa sio?, na hao waliowazaa wazazi wametoka wapi ? Ok process hio hio inaanzia wapi?

Okay tufanye binadam katokea wapi?
Kwa nini unahisi kuna umuhimu wa kutokea wapi?
 
I'm not interested in religion politics

Nataka uthibitisho

Kama ukweli upo huko, inakuwaje ?
Au wewe hapo hapa kwa ajili ya ukweli ?

Sijakuuliza swali kuhusu dini kijana, ongeza umakini.

Jibu maswali niliyo kuuliza.
 
Elia aliwathibitishia wasioamini uwepo wa Mungu na ukuu wake pale alipoomba Mungu ashushe moto uunguze mawe, nao ukashuka, huku wachawi waliomba mpaka wakachoka bila ya kupatikana kwa ishara yoyote ya uwepo wa Mungu wao Baali.
 
mimi binafsi concept ya free will, siielewi mkuu. tuchukulie mfano pale middle east serikali ya netanyahu inashusha kombola mpaka hospitali na kuua watoto walio icu, hapa free ipo kwa netanyahu peke yake au hadi hawa watoto?
Kulingana na biblia hapo kuhusu watoto wa middle east kuuliwa inatokana na yy hawezi ku.intervine na yy mwenyewe karuhusu suffering..deaths akiwa na sababu zake kama njia ya wao kumbukumba kristo..kupima imani na kuokoa wengine ambao hawamuamini...
he promises suffering wil not be forever
 
Umuhimu umeuleta wewe kwasababu umesena umezaliwa, means kutokea.
Binadamu wanazaliana , kama viumbe wote wanavyofanya , hivi umesoma ulichouliza kweli au una fikiri unachojibu tu?
 
Hamna twende pole pole, hao waliokuzaa wamezakiwa sio?, na hao waliowazaa wazazi wametoka wapi ? Ok process hio hio inaanzia wapi?

Okay tufanye binadam katokea wapi?
Watakuja na evolution theory......Mimi nliwaambia something cannot come from. Nothing ni evidence tosha ....
 
Wanapimwa imani watoto wachanga au wazazi wao au wote?
 
Uliwahi kumuona wap huyoo munguu wewe
Soma Biblia. Hakuna aliyewahi kumuona Mungu akaishi. Mungu ni mkuu sana. Mimi nimeona matendo yake makuu. Aliyoyasema katika Biblia nimeyathibitisha wazi wazi. Kwa mfano amesema "Ombeni nanyi mtapewa" Niliomba nipate mtoto wa kiume baada ya kupata watoto wa kike mfululizo, akanipa wa kiume. Niliomba nipate pesa za kulipa deni benki nikapata kwa muujiza. Magonjwa mengi ameniponya baada ya kumuomba.
 
Everything happens with a reason in this world na hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbaya as a smart guy you can connect the dots
mimi sio smart mkuu ndo maana nauliza. jibu kama halipo unasema tu hapo sinauelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…