Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Haya mambo tulzaliwa tukapata na tutakufa tuyaache kama yalivyo?!
Let's live a life 🤍
Wote tumejikuta tuko ulimwenguni tu, Hakuna anayejua tumetokea wapi.

Akitokea mtu anayeclaim anajua, Bhasi lazima ayajibu maswali yetu yote ili nasi tupate kujifunza.
 
Hapo kwenye kutafakari one can also think wrong aje kutupotosha
That's true, Hata hao walioleta dini kupitia hizo books claimed to be spiritual books Huenda walifikiri wrong na wamefanikiwa kupotosha watu, How do we know?
 
Wote tumejikuta tuko ulimwenguni tu, Hakuna anayejua tumetokea wapi.

Akitokea mtu anayeclaim anajua, Bhasi lazima ayajibu maswali yetu yote ili nasi tupate kujifunza.
Naunga mkono...umewai kujiuliza where you could be by now if you never existed
 
Nahitaji majibu sasahivi.

Mungu ni nani? Ni nini?
OK. Kwa ufupi, Mungu ni Muumba wa mbingu na dunia. Yeye ni mmoja tu, mwenye nguvu zote, upendo usio na kipimo, na mwenye haki. Mistari hii ya Biblia itakusaidia zaidi kujua Mungu ni nani:
  • Mwanzo 1:1: "Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia."
  • 1 Yohana 4:8: "Mungu ni upendo."
  • Isaya 45:5: "Mimi ni Bwana, hakuna mwingine, hakuna Mungu mwingine ila Mimi."
  • Mfalme 1:18: "Bwana ni Mungu wa wote, na hakuna mwingine ila Yeye."
  • Yeremia 10:10: "Bali Bwana ni Mungu wa kweli; Yeye ni Mungu aliye hai, Mfalme wa milele."
  • Yohana 4:24: "Mungu ni Roho, na wale wamwabuduo Yeye lazima wamwabudu katika roho na kweli."
  • Isaya 46:9: "Kumbukeni mambo ya zamani, maana mimi ni Mungu, wala hakuna mwingine, mimi ni Mungu, wala hakuna kama mimi."
  • Yohana 3:16. "Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe wa pekee, ili kila aaminiye katika Yeye asipotee, bali awe na uzima wa milele."
Kama unapenda Mungu akuokoe sawa sawa na andiko hilo la Yn 3:16 fuatisha sala hii kwa dhati:
Omba hivi:
"Ee Mungu, nimetambua wewe ni nani. Natubu dhambi zangu zote na kuziacha. Naamini wewe ndiye uliyeniumba na wewe ndiye uliyemtuma Yesu aje duniani atuokoe. Naamini kuwa Yesu ni Bwana na Mwokozi wetu. Nampokea Yesu sasa hivi kwa imani ndani ya moyo wangu atawale maisha yangu kuanzia leo. Katika Jina la Yesu Kristo. Amen"


Kama umeomba sala hiyo kwa dhati. Mungu amekusamehe na sasa unayo ahadi ya kuingia katika uzima wa milele. Ili ujifunze zaidi habari za Mungu na kazi zake, jiunge na kanisa lolote linalokiri wokovu na kufundisha utakatifu. Mungu akubariki. Nakutakia heri ya mwaka mpya.
 
Naunga mkono...umewai kujiuliza where you could be by now if you never existed
😇😇 Hili swali ni gumu mno asee!

Huenda Watu wote uliowahi kuwa nao wasingekua wanajua chochote kuhusu wewe na lazima pia vitu vyote ullivyowahi kuvifanya maishani mwaki visingeweza kuwa vimefanyika kamwe.

Infact, Taharifa yeyote kuhusiana na wewe isingekuwepo ni Sawa na Formated data.
 
Umezishika amri? Usizini,usiibe, usishuhudie uongo, usitamani😁
 
Sounds crazy lkini
 
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU, taratibu ataokoka huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…