Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Nashukuru kwa majibu, Kulingana na maelezo yako ni kwamba Mungu ndiyo chanzo cha sisi na ulimwengu kuwepo si ndiyo?

Sasa Ningependa usichoke kunijibu maswali zaidi sababu nataka kujua;

1. Ikiwa Mungu ni mwenye upendo na mwenye nguvu zote kama ulivyoandika hapo kwa nini kuna dhiki na maumivu duniani?

2.Je, unaweza kuelezea kwa nini Mungu aliruhusu maovu kutokea, Wakati Yeye anapenda uzuri na ni mwenye haki?

3. Kwa nini watu wana imani tofauti kuhusu Mungu na dini, ikiwa Mungu ni mmoja tu?

4. Je, Mungu anajua kila kitu kinachokwenda kutokea? kwanini hua hadhibiti mapema mambo mabaya yanayokwenda kuwatokea watu wake mfano vimbunga, matetemeko, ajali, magonjwa n.k?

5. Je, alitokea wapi? Na kwasasa yuko wapi?
1. Tunda ktk edeni ilikuwa Ni kengele ya usiriasi wa maisha bustanini mbali na mzaha uwao wote. Lkn mwanadamu alichagua mzaha uliofungua mlango wa dhambi kuingilia maisha ya binadamu.

Na kawaida mtu mwenye dhambi Mungu hashughuliki nae. Kufa na afe, kuuawa na auawe, majanga na apate. Tunaweza kuona maumivu mtu anapopatwa na hayo kibinadamu lkn Ni tofauti kwake kwa kuwa yeye hufurahia kwamba adhabu aliyoitoa imetekelezeka vizuri.

2. Mungu hajaruhusu maovu kutokea. Maovu Ni matokeo ya mwanadamu kukiuka agizo la Mungu/ kiburi, kuona tunaakili nyingi kumzidi.

3. Imani tofauti; inatuambia Kuna malaika waliotupwa duniani. Hawa wanahimaya zao na tena wanaimiliki dunia kihalali baada yakumuweza mwanadamu/kumdanganya na kupata umiliki halali kabisa hata Mungu mwenyewe anajua Hilo.
Sasa hili hupelekea kuanzisha himaya na utaratibu wakuabudiwa pia. Hapa ndipo mwanadamu anatakiwa kutumia akili nyingi kubaini Mungu wa kweli. Lkn kikubwa hapa Ni nguvu na uweza wa Mungu unayemwamini je anaweza yote? Au anaweza baadhi.

4. Hapa Mungu huwalinda watu wake tu. Lkn Kama sio wake kufa na ufe utakuwa umekamilisha adhabu aliyoitoa.

5. Mungu hakutoka sehemu. Yupo tu siku zote, Hana mwanzo Wala mwisho Ni yeye yule Jana leo na hata milele.
 
1. Tunda ktk edeni ilikuwa Ni kengele ya usiriasi wa maisha bustanini mbali na mzaha uwao wote. Lkn mwanadamu alichagua mzaha uliofungua mlango wa dhambi kuingilia maisha ya binadamu.

Na kawaida mtu mwenye dhambi Mungu hashughuliki nae. Kufa na afe, kuuawa na auawe, majanga na apate. Tunaweza kuona maumivu mtu anapopatwa na hayo kibinadamu lkn Ni tofauti kwake kwa kuwa yeye hufurahia kwamba adhabu aliyoitoa imetekelezeka vizuri.
4. Hapa Mungu huwalinda watu wake tu. Lkn Kama sio wake kufa na ufe utakuwa umekamilisha adhabu aliyoitoa.
Si kweli, Mungu wa kwenye biblia anaua hata watu wake na hapa ni matukio ya majanga ambapo watu wa Mungu walikufa kwa ufupi:

•Tetemeko la ardhi Haiti (2010) - Wachungaji na waumini walipoteza maisha.

•Ajali ya ndege ya Kenya Airways (2000) - Waumini waliokuwa safarini walikufa.

•Mashambulizi ya mabomu Nigeria (2014) - Waumini walipoteza maisha kanisani.

•Milipuko ya Sri Lanka (2019) - Watu waliokufa Pasaka kanisani.

•Janga la COVID-19 (2020) - Wachungaji na waumini walifariki.

•Ufyatuaji risasi Texas (2017) - Waumini walishambuliwa kanisani.

•Tsunami Asia (2004) - Waumini waliokuwa kwenye ibada walikufa.

•Moto Ghana (2015) - Waumini waliteketea motoni kanisani.

•Ajali ya mafuta Tanzania (2019) - Wasaidizi wa kutoka dhehebu la Mashahidi wa Yehova walikufa.

•Mauaji ya Kimbari Rwanda (1994) - Waumini waliuawa hata wakiwa kanisani.

Majanga haya yanaonyesha kuwa hata watu wa Mungu hukumbwa na changamoto za maisha hivyo point ya kwamba Mungu huadhibu waovu tu ni dhaifu.
2. Mungu hajaruhusu maovu kutokea. Maovu Ni matokeo ya mwanadamu kukiuka agizo la Mungu/ kiburi, kuona tunaakili nyingi kumzidi.
Kama hajaruhusu maovu kutokea na Yeye ndiye aliyemuumba shetani na kumpa akili ya kujua uovu.

Ni nani hapo ndiye chanzo cha uovu?

Aliyeumba au aliyeumbwa na hiyo akili ya uovu?
5. Mungu hakutoka sehemu. Yupo tu siku zote, Hana mwanzo Wala mwisho Ni yeye yule Jana leo na hata milele.
Kusema kwamba Mungu hajatokea sehemu yeyote wala hana Chanzo ni sawa na kusema hayupo.

Hata wewe upo sababu chanzo ni wazazi wako, wazazi wako ambao ndio chanzo wasingekuwepo bhasi hata wewe usingekuwepo.

Je kama Mungu hana chanzo inawezekanaje awepo?

Kama inawezekana bhasi hata hii dunia na ulimwengu viliibuka tu kama alivyoibuka yeye si ndiyo?
 
Si kweli, Mungu wa kwenye biblia anaua hata watu wake na hapa ni matukio ya majanga ambapo watu wa Mungu walikufa kwa ufupi:

•Tetemeko la ardhi Haiti (2010) - Wachungaji na waumini walipoteza maisha.

•Ajali ya ndege ya Kenya Airways (2000) - Waumini waliokuwa safarini walikufa.

•Mashambulizi ya mabomu Nigeria (2014) - Waumini walipoteza maisha kanisani.

•Milipuko ya Sri Lanka (2019) - Watu waliokufa Pasaka kanisani.

•Janga la COVID-19 (2020) - Wachungaji na waumini walifariki.

•Ufyatuaji risasi Texas (2017) - Waumini walishambuliwa kanisani.

•Tsunami Asia (2004) - Waumini waliokuwa kwenye ibada walikufa.

•Moto Ghana (2015) - Waumini waliteketea motoni kanisani.

•Ajali ya mafuta Tanzania (2019) - Wasaidizi wa kutoka dhehebu la Mashahidi wa Yehova walikufa.

•Mauaji ya Kimbari Rwanda (1994) - Waumini waliuawa hata wakiwa kanisani.

Majanga haya yanaonyesha kuwa hata watu wa Mungu hukumbwa na changamoto za maisha hivyo point ya kwamba Mungu huadhibu waovu tu ni dhaifu.

Kama hajaruhusu maovu kutokea na Yeye ndiye aliyemuumba shetani na kumpa akili ya kujua uovu.

Ni nani hapo ndiye chanzo cha uovu?

Aliyeumba au aliyeumbwa na hiyo akili ya uovu?

Kusema kwamba Mungu hajatokea sehemu yeyote wala hana Chanzo ni sawa na kusema hayupo.

Hata wewe upo sababu chanzo ni wazazi wako, wazazi wako ambao ndio chanzo wasingekuwepo bhasi hata wewe usingekuwepo.

Je kama Mungu hana chanzo inawezekanaje awepo?

Kama inawezekana bhasi hata hii dunia na ulimwengu viliibuka tu kama alivyoibuka yeye si ndiyo?
Genius✔️
 
1. Wapo pia watu wa Mungu ambao walikufa, Kama yesu, stephano aliekufa kwa kupingwa mawe nk. Wanakufa wengi Tena Sana lkn unapoona limetokea Ni eidha kwa ajili ya utukufu wake au kwa ushahidi.

Kitu kimoja kwamba mwanadamu huwezi chunguza moyo wa mtu coz unaweza kuona Ni watu wa kanisa kumbe Ni kwania yakufichia uovu. Hilo nalo linawezekana hivyo Basi Mungu pekee ndiye hutambua mioyo ya wanadamu wote.
Kitu pekee Cha faraja Ni kwamba watu wa dunia wanakufa lkn watu wa Mungu hawafi kamwe.

2.mungu hawezi kuwa chanzo Cha uovu na hata Kama atakuwa ndio chanzo Basi lazima atajua namna yakukuepusha Kama alivyofanya kwa Adam na Hawa kuwapa tahadhari kabla ya hatari.
Pasipo kula tunda mwanadamu asingalijua uovu japo Mungu alikuwa anaujua kwa sababu ndivyo alivyotaka tuishi kwa tahadhari ya shetani mbele yetu.

Sasa wengi wanasema kwanini asimuue shetani? Tunasema hivyo kwasababu tunapenda nafsi zetu na kusahau kuwa hata shetani pia anaipenda nafsi yake. Lkn Mungu
Yeye anajua thamani ya nafsi za wote shetani na mwanadamu hali iliyopelekea shetani kuwepo Hadi Leo lkn mwanadamu unakufa.

3. Hakuna Mungu hakuna chochote! Yupo Mungu vipo vitu na uhai. Wala hakuna siku ambayo Mungu hajawahi kuwepo na Wala haitatokea siku ambayo hatokuwepo.
 
•Ikiwa Mungu ana uwezo wote, kwa nini aliruhusu uovu uingie duniani badala ya kuuondoa moja kwa moja?

Je, hii ni dalili ya udhaifu wa Mungu au ina maana kubwa zaidi ambayo wewe bado hujafikia kuielewa?

•Unaamini uhuru wa hiari unapatikana kwa watu kutenda upendo wa kweli?

Je, unaweza kuelezea dunia ingekuwaje bila uhuru wa hiari na majaribu?

•Ikiwa unafundisha uzima wa milele, kwa nini watu wengi wanaamini maisha baada ya kifo licha ya kutokuwa na taarifa yoyote kuhusu mtu aliyekufa?

Je, unadhani wote ni wapumbavu au kuna kitu wanachokosa kuelewa?

•Ikiwa Mungu yupo na kifo pia kipo, je, unaweza kuelezea jinsi gani maisha yako yana maana zaidi kuliko kifo?

Je, kifo cha milele sio njia bora zaidi ya kupata uhuru?

•Ikiwa unaamini Mungu hawezi kumuondoa Shetani mara moja, kwa nini anawaondoa waovu maramoja?

iko mifano kwenye biblia Mungu aliangamiza waovu.

Je, Shetani mwovu mkuu anastahili kuendelea kuwepo, lakini wale aliowaharibu hawakustahili kuishi?

Je, Shetani anamsaidia Mungu kuangamiza watu?

Je, huoni kwamba unakosa usawa katika hoja zako?

•Kwa nini Mungu aliyekupa uhuru wa hiari anakutaka umuombe akuondolee majaribu, wakati wewe unaweza kuchagua kutenda mema kwa uhuru aliokupa?

Je, ni Mungu anayeshindwa, au ni wewe unashindwa kutumia uhuru uliopewa kwa hekima?

Tafadhali naomba usiruke swali hata1, Lengo langu ni kujifunza, Huenda mtizamo ukabadilika kupitia hayo majibu.

cc: Setfree nyoka in
 
Mwanfunzi gani wewe mjuwaji hivyo utaweza kujifunza kweli? Punguza mihemko uliza swali moja ujibiwe hamia lingine utaelewa vizuri coz hakuna swali lililostua utumbo maana vijiswali Kama vya kindegaten vyoote!

Unataka kufanana na dizaini ya watu wasiokubali kushindwa. Usiwe hivyo mbona Ni mjenzi mzuri wa hoja zako?
 
Ad hominem logical non sequital fallacy.
Unaniattack mimi badala ya kujibu swali, Jibu hoja, usijibu mtu.

Nafurahi kusikia kwamba hayo ni maswali ya chekechea, Inaonekana niko karibu na kujua.

Bhasi naomba unipe majibu mkuu nyoka in
 
•Ikiwa Mungu ana uwezo wote, kwa nini aliruhusu uovu uingie duniani badala ya kuuondoa moja kwa moja?

Je, hii ni dalili ya udhaifu wa Mungu au ina maana kubwa zaidi ambayo wewe bado hujafikia kuielewa?

•Unaamini uhuru wa hiari unapatikana kwa watu kutenda upendo wa kweli?

Je, unaweza kuelezea dunia ingekuwaje bila uhuru wa hiari na majaribu?

•Ikiwa unafundisha uzima wa milele, kwa nini watu wengi wanaamini maisha baada ya kifo licha ya kutokuwa na taarifa yoyote kuhusu mtu aliyekufa?

Je, unadhani wote ni wapumbavu au kuna kitu wanachokosa kuelewa?

•Ikiwa Mungu yupo na kifo pia kipo, je, unaweza kuelezea jinsi gani maisha yako yana maana zaidi kuliko kifo?

Je, kifo cha milele sio njia bora zaidi ya kupata uhuru?

•Ikiwa unaamini Mungu hawezi kumuondoa Shetani mara moja, kwa nini anawaondoa waovu maramoja?

iko mifano kwenye biblia Mungu aliangamiza waovu.

Je, Shetani mwovu mkuu anastahili kuendelea kuwepo, lakini wale aliowaharibu hawakustahili kuishi?

Je, Shetani anamsaidia Mungu kuangamiza watu?

Je, huoni kwamba unakosa usawa katika hoja zako?

•Kwa nini Mungu aliyekupa uhuru wa hiari anakutaka umuombe akuondolee majaribu, wakati wewe unaweza kuchagua kutenda mema kwa uhuru aliokupa?

Je, ni Mungu anayeshindwa, au ni wewe unashindwa kutumia uhuru uliopewa kwa hekima?

Tafadhali naomba usiruke swali hata1, Lengo langu ni kujifunza, Huenda mtizamo ukabadilika kupitia hayo majibu.

cc: Setfree nyoka in
Nakujibu swali la kwanza tu hayo mengine utaleta moja moja ili somo likunate mkuu.

Tukumbuke uovu Ni kiumbe, je tutajuaje Kati ya kiumbe uovu na kiumbe wewe Ni yupi anatakiwa kupisha maisha?
Bila shaka uovu unauwezo wa kukuondoa wewe na kukupoteza kabisa kabisa usipokuwa makini coz umepewa hiyo mamlaka.
Lakini pia uovu huo umepewa jukumu kubwa la kuthibitisha haki ya Mungu. Yaani kwamba ili Mungu aonekane kuwa na haki Ni lazima uovu ushindwe. Hapa Kuna pata potea, eidha uushinde uovu ufanane na Mungu au uovu ukumeze ukapate uhuru wa hiari milele.
 
🙄🙄🙄

Hii ni false dichotomy (au false dilemma) Logical fallacy: Katika mantiki hii, mtu anajenga hoja kwa kudai kuwa kuna tu chaguzi mbili za kufanya, wakati kuna uwezekano wa chaguzi zaidi.

Katika mfano huu, unasema kuwa lazima uovu ushindwe ili Mungu aonekane kuwa na haki, na hukutoa nafasi ya kujadili uwezekano mwingine au mbinu nyingine za kuelewa haki ya Mungu. Unaichukulia kana kwamba kuna chaguo kuu mbili tu, jambo ambalo si kweli.

Ninahisi kwamba ninajadili na mtu asiyekuwa na maarifa sahihi katika angle hii, Hivyo anatumia janja janja na blah! blah! kukwepa maswali - Mizaha katika kujenga hoja.

Kwa maelezo hayo ninashaka ya kwamba huwezi kuwa mwalimu bora kwangu hivyo ninapoteza Bundle na kumaliza Keyboard zangu za PC bure tu.

Ninatangaza kusitisha mjadala huu pamoja na wewe mpaka pale utakapokuja na majibu sahihi yenye mantiki.
 
Back
Top Bottom