Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„

Hii ni false dichotomy (au false dilemma) Logical fallacy: Katika mantiki hii, mtu anajenga hoja kwa kudai kuwa kuna tu chaguzi mbili za kufanya, wakati kuna uwezekano wa chaguzi zaidi.

Katika mfano huu, unasema kuwa lazima uovu ushindwe ili Mungu aonekane kuwa na haki, na hukutoa nafasi ya kujadili uwezekano mwingine au mbinu nyingine za kuelewa haki ya Mungu. Unaichukulia kana kwamba kuna chaguo kuu mbili tu, jambo ambalo si kweli.

Ninahisi kwamba ninajadili na mtu asiyekuwa na maarifa sahihi katika angle hii, Hivyo anatumia janja janja na blah! blah! kukwepa maswali - Mizaha katika kujenga hoja.

Kwa maelezo hayo ninashaka ya kwamba huwezi kuwa mwalimu bora kwangu hivyo ninapoteza Bundle na kumaliza Keyboard zangu za PC bure tu.

Ninatangaza kusitisha mjadala huu pamoja na wewe mpaka pale utakapokuja na majibu sahihi yenye mantiki.
Sasa mkuu Ibn unuq tatizo liko wapi mzee?
Kama unambinu nyingine za kujua haki ya Mungu si uziweke hapa mkuu na ma logical fallacy yako. Mimi nimekuwekea hapo kwamba uovu huthibitisha haki ya Mungu.
Weka point nyingine zinazothibitisha Mungu Ni mwenye haki sio kuaga shindano kinyonge hivyo Mr. Logical fallacy.
 
Ni mungu yupi unaemuamini wewe mtoa mada?

Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu

Al-Ikhlas (The Purity)

ุจูุณู’ู…ู ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุงู„ุฑู‘ูŽุญู’ู…ูŽูฐู†ู ุงู„ุฑู‘ูŽุญููŠู…ู ู‚ูู„ู’ ู‡ููˆูŽ ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุฃูŽุญูŽุฏูŒ
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

ุงู„ู„ู‘ูŽู‡ู ุงู„ุตู‘ูŽู…ูŽุฏู
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa

ู„ูŽู…ู’ ูŠูŽู„ูุฏู’ ูˆูŽู„ูŽู…ู’ ูŠููˆู„ูŽุฏู’
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa

ูˆูŽู„ูŽู…ู’ ูŠูŽูƒูู†ู’ ู„ูŽู‡ู ูƒููููˆู‹ุง ุฃูŽุญูŽุฏูŒ
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja..
 
Ni mungu yupi unaemuamini wewe mtoa mada?
ุฑูŽุฌูŽุงุกูŒ ุญูŽูŠู‘
3 ุชูŽุจูŽุงุฑูŽูƒูŽ ุฅู„ูŽู‡ู ุฑูŽุจูู‘ู†ูŽุง ูŠูŽุณููˆุนูŽ ุงู„ู…ูŽุณููŠุญู ูˆูŽุฃุจููˆู‡ู. ููŽูููŠ ุฑูŽุญู…ูŽุชูู‡ู ุงู„ุนูŽุธููŠู…ูŽุฉู ูˆูŽู„ูŽุฏูŽู†ูŽุง ุซูŽุงู†ููŠูŽุฉู‹ุŒ ู„ููŠูŽูƒููˆู†ูŽ ู„ูŽู†ูŽุง ุฑูŽุฌูŽุงุกูŒ ุญูŽูŠูŒู‘ ุจูุณูŽุจูŽุจู ู‚ููŠูŽุงู…ูŽุฉู ูŠูŽุณููˆุนูŽ ุงู„ู…ูŽุณููŠุญู ู…ูู†ูŽ ุงู„ู…ูŽูˆู’ุชูุŒ
Atukuzwe Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Katika rehema zake kuu, Mungu alitufanya sisi tuzaliwe upya ili tuwe na tumaini lililo hai, kwa njia ya ufufuo wa Yesu Kristo kutoka kwa waliokufa(1 Pet 1:3).
 
Wale wasioamini kwamba Mungu yupo, someni kwa makini sababu hizi 10 zinazothibitisha uwepo wa Mungu. Asiyeelewa lugha iliyotumika atumie google translator, itampa tafsiri ya Kiswahili:

1. Orderly Laws of Nature
Science reveals that the universe operates under unchanging natural laws, such as gravity, planetary motion, and the speed of light. This order suggests the presence of a supreme Designer(God) who established and sustains these principles.

Scientific Example: Einstein's equation, E=mcยฒ, demonstrates the precise balance between energy and matter, pointing to an intelligently structured universe.

2. Fine-tuning of the Universe
Fundamental constants like gravitational force, the mass of electrons, and the expansion rate of the universe are finely calibrated to support life. Such precision implies an intelligent Creator(God).

Scientific Example: The "Anthropic Principle" highlights that slight changes in these constants would make life impossible.

3. Origin of Life
Life depends on DNA, a highly complex system containing detailed genetic instructions. The existence of such intricate "code" raises the question of who or what authored it - God.

Scientific Example: DNA stores billions of instructions in a microscopic structure, functioning like sophisticated software.

4. Human Consciousness
Human abilities like reasoning, dreaming, and moral awareness transcend physical processes, suggesting a higher source of intellect and soul - God.

Scientific Example: Science has yet to explain how biological impulses alone could produce self-awareness.

5. Moral Laws
Universal moral values shared across cultures reflect an inherent sense of right and wrong, hinting at a moral Lawgiver(God).

Scientific Example: The consistency of moral principles across societies, regardless of cultural differences, supports the argument for a universal source.

6. Fossil Records
The fossil record shows a progression of life forms in a way that suggests a purposeful plan rather than random evolution.

Scientific Example: The absence of transitional "missing links" in the evolutionary chain supports the concept of creation.

7. Origin of the Universe
The Big Bang theory indicates that the universe had a beginning, prompting the question: What or who caused it? God. Scientific Example: The law of cause and effect states that everything with a beginning must have a cause.

8. Beauty and Order in Nature
The natural world displays remarkable beauty and order, from ecosystems to galaxies, suggesting intentional design. Who designed? God.

Scientific Example: Photosynthesis is a highly complex and efficient process vital for life, reflecting intelligent planning.

9. Complexity of the Human Brain
The human brain is one of the most intricate systems known, capable of reasoning, creativity, and problem-solving at an unparalleled level. Who created it? God.
Scientific Example: The brainโ€™s trillions of neurons enable advanced functions such as learning and memory.

10. Personal Experiences
Millions of people testify to spiritual experiences that affirm the existence of God. I am one of them. While not strictly scientific, such testimonies are impactful due to their transformative effects on individuals. I was under the bondage of sin, but now I am set free!

Scientific Example: Studies on prayer and faith have shown positive effects on mental and physical health.

Kama kuna mtu bado tu anahitaji uthibitisho zaidi ya huo, asubiri siku ya hukumu ambapo kila goti litapigwa mbele za Mungu. Ila wakati huo itakuwa "too late" kuamini kwamba Mungu yupo.

Wasioamini watatupwa katika moto wa milele. Wanaoamini wataingia mbinguni katika raha ya milele.

Tusikubali shetani atupotoshe. Yeye anajua Mungu yupo na anajua mbingu ipo. Shetani ameishahukumiwa kwenda motoni ndio sababu anajaribu kutushawishi tusiamini ili tuangamie pamoja naye. Tumpinge kwa Jina la Yesu.
Kesho nitaichukua hii๐Ÿ™
 
Kama unaamini Mungu yupo hakikisha unaamini na mwanae aliemtuma.
 
Unataka uthibitisho na ushahidi gani kwa kitu kisichokuwepo, ilhali wewe unayedai kipo umeshindwa kuthibitisha kipo?

Hivi uko timamu kweli?

Ukisema Mungu yupo, Ina maana una ushahidi na uthibitisho wa uwepo wake.

Sasa nyie mnasema Mungu yupo, Halafu uthibitisho wake hamna. Halafu hapohapo mnakataa kwamba hayupo.

Sasa unataka nini?
Wapi nimekwambia nataka uthibitishe? Hebu soma kwa kuelewa.
 
Mungu wa warabu au wa Israel
Tumia akili basi, hao waarabu kabla ya uislamu walikuwa wanaabudu hadi masananu na imani mbalimbali sasa huyo Mungu wa waarabu alipatikana kipindi gani?
 
Ndio uthibitisho unafanya kitu kiwepo.

Bila uthibitisho hakuna kitu.

Niambie ni kitu gani kipo bila uthibitisho wa kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika au kupimika?
Hii mijadala sio size yako sijui kwa nini una force tu.
 
Hujakataa uthibitisho.

Namimi nipo katika hatua ya kutaka kukupa uthibitisho. Ila kabla sijafanya hivyo nataka nipate jibu kutoka kwako ni uthibitisho wa namna gani unaoweza kutimiza haja yako ya kukufanya ukubaliane na maelezo hayo?

Hili ndio swali ambalo unatakiwa kujibu ili nijue huo uthibitisho unaoutaka unafananaje.
Kwa sababu unasema unataka kunipa uthibitisho kwa maana unao huo uthibitisho, haya nipe huo uthibitisho kama sitoukubali ndio utaniuliza hilo swali.
 
Wapi nimekwambia nataka uthibitishe? Hebu soma kwa kuelewa.
Ukisema Mungu yupo ukashindwa kuthibitisha uwepo wake, Ni kwamba Mungu hayupo.

Sasa wewe umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, Halafu bado unakataa kwamba hayupo!!

Sasa unataka nini?
 
Ukisema Mungu yupo ukashindwa kuthibitisha uwepo wake, Ni kwamba Mungu hayupo.

Sasa wewe umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, Halafu bado unakataa kwamba hayupo!!

Sasa unataka nini?
Kwa uelewa huo mkuu unanilazimisha kukuuliza umri wako ila najizuia.

Hata wakanaji Mungu wenzako hawaelezi unachoeleza wewe.
 
Hii mijadala sio size yako sijui kwa nini una force tu.
Hujibu ulicho ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Unakataa kwamba Mungu hayupo, Halafu umeshindwa kuthibitisha kwamba Mungu yupo!!

Sasa unataka nini?

Theists mnakataa kwamba hakuna Mungu, ila mmeshindwa kuthibitisha kuna Mungu.

Sasa mliwezaje kujua kuna Mungu?

Kama mliweza kujua kuna Mungu, Unashindwaje kuthibitisha uwepo wake?
 
Kwa uelewa huo mkuu unanilazimisha kukuuliza umri wako ila najizuia.

Hata wakanaji Mungu wenzako hawaelezi unachoeleza wewe.
Hujibu ulicho ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Jikite kwenye mada.

Jibu swali kwa swali.

Sio kubadilisha swali na mada.

Kama unakataa kwamba Mungu hayupo, Toa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Kama huna uthibitisho wa uwepo wa Mungu, Sasa ulijuaje kuna Mungu?

Au unafosi mawazo yako uchwara ya kufikirika tu.
 
Hujibu ulicho ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Unakataa kwamba Mungu hayupo, Halafu umeshindwa kuthibitisha kwamba Mungu yupo!!

Sasa unataka nini?

Theists mnakataa kwamba hakuna Mungu, ila mmeshindwa kuthibitisha kuna Mungu.

Sasa mliwezaje kujua kuna Mungu?

Kama mliweza kujua kuna Mungu, Unashindwaje kuthibitisha uwepo wake?
Ntakujibu kuwa "kujua" na "kuthibitisha" ni vitu viwili tofauti na ndio maana nakushangaa unaposema uthibitisho unafanya kitu kiwepo.

Hata wewe hapo unaweza ukawa unawajua wazazi wako ila ikawa haujathibitisha kuwa hao ni wazazi wako kweli.
 
Ntakujibu kuwa "kujua" na "kuthibitisha" ni vitu viwili tofauti na ndio maana nakushangaa unaposema uthibitisho unafanya kitu kiwepo.

Hata wewe hapo unaweza ukawa unawajua wazazi wako ila ikawa haujathibitisha kuwa hao ni wazazi wako kweli.
Ulijuaje kuna Mungu?
 
Hujibu ulicho ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Jikite kwenye mada.

Jibu swali kwa swali.

Sio kubadilisha swali na mada.

Kama unakataa kwamba Mungu hayupo, Toa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Kama huna uthibitisho wa uwepo wa Mungu, Sasa ulijuaje kuna Mungu?

Au unafosi mawazo yako uchwara ya kufikirika tu.
Twende taratibu kijana, sisi wote tumezaliwa na kukuta teyari kuna wenye kusema kwamba kuna Mungu na kuna wenye kusema kwamba Mungu hakuna. Sasa hebu wewe nieleze kipi kilichokufanya ukubaline na wenye kusema kwamba Mungu hakuna?
 
Kwa sababu unasema unataka kunipa uthibitisho kwa maana unao huo uthibitisho, haya nipe huo uthibitisho kama sitoukubali ndio utaniuliza hilo swali.
We hutaki kupewa uthibitisho?
 
Back
Top Bottom