Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Sasa mkuu Ibn unuq tatizo liko wapi mzee?
Kama unambinu nyingine za kujua haki ya Mungu si uziweke hapa mkuu na ma logical fallacy yako. Mimi nimekuwekea hapo kwamba uovu huthibitisha haki ya Mungu.
Weka point nyingine zinazothibitisha Mungu Ni mwenye haki sio kuaga shindano kinyonge hivyo Mr. Logical fallacy.
 
Ni mungu yupi unaemuamini wewe mtoa mada?

Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu

Al-Ikhlas (The Purity)

بِسْمِ Ψ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΩ‡Ω Ψ§Ω„Ψ±Ω‘ΩŽΨ­Ω’Ω…ΩŽΩ°Ω†Ω Ψ§Ω„Ψ±Ω‘ΩŽΨ­ΩΩŠΩ…Ω قُلْ Ω‡ΩΩˆΩŽ Ψ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΩ‡Ω أَحَدٌ
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

Ψ§Ω„Ω„Ω‘ΩŽΩ‡Ω Ψ§Ω„Ψ΅Ω‘ΩŽΩ…ΩŽΨ―Ω
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa

Ω„ΩŽΩ…Ω’ ΩŠΩŽΩ„ΩΨ―Ω’ ΩˆΩŽΩ„ΩŽΩ…Ω’ ΩŠΩΩˆΩ„ΩŽΨ―Ω’
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa

ΩˆΩŽΩ„ΩŽΩ…Ω’ ΩŠΩŽΩƒΩΩ†Ω’ Ω„ΩŽΩ‡Ω ΩƒΩΩΩΩˆΩ‹Ψ§ أَحَدٌ
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja..
 
Ni mungu yupi unaemuamini wewe mtoa mada?
رَجَاٌؑ Ψ­ΩŽΩŠΩ‘
3 ΨͺΩŽΨ¨ΩŽΨ§Ψ±ΩŽΩƒΩŽ Ψ₯Ω„ΩŽΩ‡Ω Ψ±ΩŽΨ¨ΩΩ‘Ω†ΩŽΨ§ يَسُوعَ Ψ§Ω„Ω…ΩŽΨ³ΩΩŠΨ­Ω ΩˆΩŽΨ£Ψ¨ΩΩˆΩ‡Ω. فَفِي Ψ±ΩŽΨ­Ω…ΩŽΨͺِهِ Ψ§Ω„ΨΉΩŽΨΈΩΩŠΩ…ΩŽΨ©Ω ΩˆΩŽΩ„ΩŽΨ―ΩŽΩ†ΩŽΨ§ Ψ«ΩŽΨ§Ω†ΩΩŠΩŽΨ©Ω‹ΨŒ Ω„ΩΩŠΩŽΩƒΩΩˆΩ†ΩŽ Ω„ΩŽΩ†ΩŽΨ§ رَجَاٌؑ Ψ­ΩŽΩŠΩŒΩ‘ بِسَبَبِ Ω‚ΩΩŠΩŽΨ§Ω…ΩŽΨ©Ω يَسُوعَ Ψ§Ω„Ω…ΩŽΨ³ΩΩŠΨ­Ω Ω…ΩΩ†ΩŽ Ψ§Ω„Ω…ΩŽΩˆΩ’Ψͺِ،
Atukuzwe Mungu Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Katika rehema zake kuu, Mungu alitufanya sisi tuzaliwe upya ili tuwe na tumaini lililo hai, kwa njia ya ufufuo wa Yesu Kristo kutoka kwa waliokufa(1 Pet 1:3).
 
Kesho nitaichukua hiiπŸ™
 
Kama unaamini Mungu yupo hakikisha unaamini na mwanae aliemtuma.
 
Wapi nimekwambia nataka uthibitishe? Hebu soma kwa kuelewa.
 
Mungu wa warabu au wa Israel
Tumia akili basi, hao waarabu kabla ya uislamu walikuwa wanaabudu hadi masananu na imani mbalimbali sasa huyo Mungu wa waarabu alipatikana kipindi gani?
 
Ndio uthibitisho unafanya kitu kiwepo.

Bila uthibitisho hakuna kitu.

Niambie ni kitu gani kipo bila uthibitisho wa kuonekana, kushikika, kusikika, kuhisika au kupimika?
Hii mijadala sio size yako sijui kwa nini una force tu.
 
Kwa sababu unasema unataka kunipa uthibitisho kwa maana unao huo uthibitisho, haya nipe huo uthibitisho kama sitoukubali ndio utaniuliza hilo swali.
 
Wapi nimekwambia nataka uthibitishe? Hebu soma kwa kuelewa.
Ukisema Mungu yupo ukashindwa kuthibitisha uwepo wake, Ni kwamba Mungu hayupo.

Sasa wewe umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, Halafu bado unakataa kwamba hayupo!!

Sasa unataka nini?
 
Ukisema Mungu yupo ukashindwa kuthibitisha uwepo wake, Ni kwamba Mungu hayupo.

Sasa wewe umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo, Halafu bado unakataa kwamba hayupo!!

Sasa unataka nini?
Kwa uelewa huo mkuu unanilazimisha kukuuliza umri wako ila najizuia.

Hata wakanaji Mungu wenzako hawaelezi unachoeleza wewe.
 
Hii mijadala sio size yako sijui kwa nini una force tu.
Hujibu ulicho ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Unakataa kwamba Mungu hayupo, Halafu umeshindwa kuthibitisha kwamba Mungu yupo!!

Sasa unataka nini?

Theists mnakataa kwamba hakuna Mungu, ila mmeshindwa kuthibitisha kuna Mungu.

Sasa mliwezaje kujua kuna Mungu?

Kama mliweza kujua kuna Mungu, Unashindwaje kuthibitisha uwepo wake?
 
Kwa uelewa huo mkuu unanilazimisha kukuuliza umri wako ila najizuia.

Hata wakanaji Mungu wenzako hawaelezi unachoeleza wewe.
Hujibu ulicho ulizwa unajibu usivyo ulizwa.

Jikite kwenye mada.

Jibu swali kwa swali.

Sio kubadilisha swali na mada.

Kama unakataa kwamba Mungu hayupo, Toa uthibitisho wa uwepo wa huyo Mungu.

Kama huna uthibitisho wa uwepo wa Mungu, Sasa ulijuaje kuna Mungu?

Au unafosi mawazo yako uchwara ya kufikirika tu.
 
Ntakujibu kuwa "kujua" na "kuthibitisha" ni vitu viwili tofauti na ndio maana nakushangaa unaposema uthibitisho unafanya kitu kiwepo.

Hata wewe hapo unaweza ukawa unawajua wazazi wako ila ikawa haujathibitisha kuwa hao ni wazazi wako kweli.
 
Ulijuaje kuna Mungu?
 
Twende taratibu kijana, sisi wote tumezaliwa na kukuta teyari kuna wenye kusema kwamba kuna Mungu na kuna wenye kusema kwamba Mungu hakuna. Sasa hebu wewe nieleze kipi kilichokufanya ukubaline na wenye kusema kwamba Mungu hakuna?
 
Kwa sababu unasema unataka kunipa uthibitisho kwa maana unao huo uthibitisho, haya nipe huo uthibitisho kama sitoukubali ndio utaniuliza hilo swali.
We hutaki kupewa uthibitisho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…