Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Nimeshakuambia sina cha kukujibu wewe ila ndani ya uzi wako nitaweza kujibu wengine wengi tu wenye kuweza kujua imani ni kitu gani licha ya uthibitisho tu , sijui unaelewa?
Ulitaka uthibitisho. Uthibitisho umeupata. Au niongeze uthibitisho zaidi?
 
Cosmological Argument ni hoja zilizojaribu ku-assume kuwa kuna Mungu kupitia mifano ya mazingira, hazithibitishi Mungu yupo.
Kwanza unadhani huyo Mungu angethibitishika vp yani uthibitisho wa kuwepo unatakiwa ufananaje?
 
Vitisho au ukweli? Uzuri kauli hiyo ni Mungu mwenyewe aliyesema.
Nipe andiko lisemalo. Watu watachomwa mwoto wasio waadilifu.

Najua kuna ufufuo kwa waadilifu tu.
 
Waafrika tunatoa mapepo kwa Jina la Yesu, yanakimbia mbio! Waafrika tunaomba Mungu anatupa mahitaji yetu. Mimi nimepona magonjwa mengi sana kwa kumuomba Mungu. Mbuga za wanyama Afrika ni uthibitisho mkubwa wa uwepo wa Mungu.
Sio binadamu tena uthibitisho umekuwa mbuga za wanyama.
How!

Sina ubaya na haya mapepo Wanayo toa hao watoaji wala wale wanaofufua wafu. Je unajuaje ikiwa wanatumia mungu wanaomjua wao ambaye labda wewe hata humjui?
 
tungeonewa huruma juu ya hili 🤧🙌🙌
Mungu ametuandalia makao mazuri mbinguni, hakuna harufu mbaya huko. Kama unamwamini Yesu, kaa mkao wa kufurahi milele na milele
 
Sio binadamu tena uthibitisho umekuwa mbuga za wanyama.
How!

Sina ubaya na haya mapepo Wanayo toa hao watoaji wala wale wanaofufua wafu. Je unajuaje ikiwa wanatumia mungu wanaomjua wao ambaye labda wewe hata humjui?
Wanatumia Jina la Yesu Kristo.
 
Sio binadamu tena uthibitisho umekuwa mbuga za wanyama.
How!

Sina ubaya na haya mapepo Wanayo toa hao watoaji wala wale wanaofufua wafu. Je unajuaje ikiwa wanatumia mungu wanaomjua wao ambaye labda wewe hata humjui?
Huyu hajui hata anachozungumza kuna watu wana amini japo hawana uthibitisho ,ukijadili nao tu unaweza kuendelea kuwasikiliza.
 
Ukishamaliza...relate hizo sababu kumi na kwamba mungu huyo ni myahudi aliyezaliwa miaka elfu mbili iliyopita palestina kwa bikira na akatenda miujiza na akafa akafufuka...na baadae atarudi na farasi mwenye mabawa.. na kuja kupeleka watu mawinguni na wengine motoni...

Maana DNA, Order in the universe, Sijui Nini hivyo ni evidence ya kwamba huna majibu...inabidi utoke hapo utuelezee jibu lake limekuwaje Yesu/Yahweh na sio Allah, Krishna, Zeus etc maana na wao wanaweza tumia hoja hizo hizo ambazo kwako hazina majibu kusema Mungu wao kafanya

Twende kazi
 
Sawa..
Huyo Mungu alitokea wapi..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…