Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Ndio maana hayo mambo yakaitwa ya kiimani tu na kuna imani tofauti zaidi ya 2000 tatizo nyie mnalazimisha yawe ya uhakika wakati ni imani tu.
 
Itokee mababu au isitokee hizo ni imani tu nazina rithiwa kwa mapokeo tu .
Ndio nakwambia hata wewe kutoamini Mungu sio jambo jipya ni misimamo tu ambayo umeikuta na unaifuata tu kama ambavyo zipo imani na watu hufuata. Umezaliwa umekuta teyari tangu mababu na mababu huko watu walikuwa hawaamini Mungu. Na ndio maana utaona atheist nao wanatoka huko na kuamini Mungu japo walikuwa wanakazana kusema hakuna uthibitisho kama wewe.
 
The fact that an almighty God and all powerful God needs Humans to speak for him and defend him, Proves his non-existence.

If the theists all shut up, God would be speechless.
 
Hivi ndio umethibitisha au unabwabwaja tu
 
Ndio maana hayo mambo yakaitwa ya kiimani tu na kuna imani tofauti zaidi ya 2000 tatizo nyie mnalazimisha yawe ya uhakika wakati ni imani tu.
Tatizo sio hilo bali tatizo ni nyinyi kujiwekea msimamo wa kwamba hamkubali kuamini na kuchukulia imani moja kwa moja ni uongo, hilo ndio tatizo hivyo tatizo sio sisi muda wote tunatamka kuw tunaamini.
 
Mthibitishe huyo Mungu yeye kama yeye.

Sio kutumia mambo au vitu ambavyo tayari vipo kwenye existence vyenyewe, Kufosi kwamba viliumbwa na huyo Mungu wako wa kufikirika.

Thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
 
Tatizo sio hilo bali tatizo ni nyinyi kujiwekea msimamo wa kwamba hamkubali kuamini na kuchukulia imani moja kwa moja ni uongo, hilo ndio tatizo hivyo tatizo sio sisi muda wote tunatamka kuw tunaamini.
Unahisi kwa nini napaswa kuamini na sio kujua?
 
Biblia inaeleza mambo mengi kuhusu Mungu. Na Biblia imeandikwa na wanadamu wakiongozwa na Roho Mtakatifu. Kwa maneno mengine, ukisoma Biblia utajua habari za Mungu na unaweza kuwaelezea wengine wasiomjua Mungu.
Biblia na maandiko ya namna yake ni uongo na uzushi mtupu.
Wewe unakaaje na kuamini mtu anayekaa anaandika kitabu halafu anakuletea story za mungu kumuagiza?
Yaani out of nowhere mtu analeta misemo na majina kama roho, mara roho mtakatifu nawe unaamini?

Mtu mwenyewe anathibitishaje kama roho au kitu chochote chenye uungu kilimuongoza kwenye uandishi wake?
 
Hebu nipe mfano wa aina huo ya uthibitisho mkubwa, kwamba mfano muonyeshwe huyo Mungu huko aliko mumuone kwa macho wazi wazi au kwa aina gani huo uthibitisho mkubwa wa wazi?
Okay

Nikikuambia kuwa nina vidole 10 kwenye mikono yote miwili, unaweza kuniamini bila hata kuhoji swali.

Lakini nikikuambia mbali na hivyo vidole 10, nina vidole viwili vya ziada kwenye kila mkono.

Pengine utashangaa na huwenda ukaamini labda i'm just born different.

Lakini nikaja na hii

Nikasema nina macho matatu kwenye paji la uso na kwenye kisogo so nauwezo wa kuona vision zote katika nyuzi 360.

Halafu nikakutumia na hii picha kama uthibitisho



Je utakuwa satisfied na huo uthibitisho?

Bila shaka hautorudhika na ushahidi wa aina hiyo na utaomba ushahidi mwingine.

Kwa hiyo kadri unavyozidi kuelezea vitu ambavyo sio vya kawaida ndivyo jinsi ambavyo utahitaji kutoa uthibitisho mkubwa zaidi ku prove madai hayo.

The more extraordinary the claim, the more extraordinary the evidence that is required to demonstrate it.
 
Ni kuamini tu mkuu
 
This is a logical non sequitur.

Unaunganisha vitu viwili tofauti visivyo na uhusiano wowote ule kuunda hitimisho potofu.

You have to prove the existence of that God as he himself. You should not use things which are already in existence to prove the existence of your fictional God.

First prove the existence of that God as he himself.
Scientific Example: Einstein's equation, E=mc², demonstrates the precise balance between energy and matter, pointing to an intelligently structured universe.
Logical non sequitur.
2. Fine-tuning of the Universe
Fundamental constants like gravitational force, the mass of electrons, and the expansion rate of the universe are finely calibrated to support life. Such precision implies an intelligent Creator(God).
Logical non sequitur.
Logical non sequitur.
Logical non sequitur.
All of these are logical non sequitur.

You need mental rehabilitation therapy.

You need an urgent brain 🧠 reset.

You need to restore your brain to factory settings.
 
huyo jamaa inafaa athibitishe huo uwepo wa huyo mungu maana kaleta janja janja
 
Good
 
The fact that an almighty God and all powerful God needs Humans to speak for him and defend him, Proves his non-existence.

If the theists all shut up, God would be speechless.
Wapi Mungu kamuhitaji binaadamu kwa lolote? Kwamba kwa sababu wewe unasema hayupo basi yeye huko ajioneshe kwa watu kuwa yupo ili wewe uthibitishe uwepo wake ili iweje sasa?

Ipo hivi mkuu, suala la Mungu ni la imani na si bahati mbaya bali ndio alivyotaka, hivyo kuwepo wasioamini haiwezi kuwa ajabu ni lazima iwe hivyo maan kuamini ni hiari.
 
huyo jamaa inafaa athibitishe huo uwepo wa huyo mungu maana kaleta janja janja
Athibitishe uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Sio aanze kufosi kwamba vitu vilivyopo ulimwengu vimeumbwa na huyo Mungu wa kufikirika.

Kwanza amthibitishe huyo Mungu.
 
Maana yake ni kwamba Mungu angekuwepo hata wewe ungeweza kujua ni aina gani ya uthibitisho naoutaka.

Kwasababu angeweza kujua ni uthibitisho upi ambao kwa upande wangu mimi ningekuwa satisfied na kuweza kukupa wewe ufunuo wa kuweza kuujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…