Mtaalam mmoja wa kirusi ambaye hakuwa anaamini uwepo wa Mungu, aliulizwa kuwa kama hukuna Mungu ambaye ni muumbaji, mwanadamu alitokeaje?
Akasema kuwa mwanadamu ni matokeo ya evolution ya wanyama kama sokwe na nyani.
Akaulizwa, na hao sokwe walitokea wapi? Akasema ni lutokana na cells na oxegen.
Akaulizwa, hiyo cell na hiyo oksijeni, vilotokea wapi? Akajibu:
There must had been a supernatural power, without which nothing could be done. Wanateolojia wakamwambia kuwa hiyo supernatural power, is what we call GOD.
Wanadamu kuna mengi tusiyoyajua kuhusu MUNGU na vitu vingi vinavyotuzunguka, lakini yalemachacheyaliyofunguliwa kwetu, yanatosha kutuongoza na kutufanya tutembee kwenye njia ya Bwana. Tumshukuru Mungu kwa kutufanya kuwa miongoni mwa waliojaliwa kumfahamu.