Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Naomba uthibitishe kwamba Mungu hayupo tufunge mjadalaSina tatizo labda wewe, nikusaidie nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba uthibitishe kwamba Mungu hayupo tufunge mjadalaSina tatizo labda wewe, nikusaidie nini?
Unathibitisha vipi kitu ambacho hakipo , nimekupa nafasi ya pili, ukitukana tena hautakaa unaione humu mpaka unakufa . Yani kiuwazi tu nita ku ignore maisha.Kuna yule jamaa infroper , kuna uzi flan ule tulikuwa tunabishana juu ya nguvu za giza, nilimuomba nae athibitishe jambo fulani huyooo hakunijibu akarukia comments nyingne, nilicheka sana.
Ukileta hoja yupo thibitisha uwepo wake , nani alishaandika humu habari za Mungu ambae anaomba uthibitisho?Naomba uthibitishe kwamba Mungu hayupo tufunge mjadala
Sijashindwa kutumia "kigugo twansileta," Nimechagua tu kutumia kiingereza kwa sababu maalum. Walengwa wakuu wameelewa.Aaahaaa! Yaani wewe ndiyo umetaka tuone kwamba mungu yupo, Na bado ukashindwa kutumia hicho kigugo twansileta kutuletea tafsiri. Oook....
mimi binafsi utakua hujanijibu mkuu, kama kweli toka mwanzo ulikua unajibu kwa dhati utakubaliana na mimi kuwa hujajibu.What if nikisema anawatumia watoto WA middle east kama ukumbusho wa watu kumrudia yeye?!
Nasema sababu he has authority over our lives!
Ntakuwa sijakujibu,?!
Thibitisha
Kumbe kulikuwa na walengwa wa hili bandiko oook....Sijashindwa kutumia "kigugo twansileta," Nimechagua tu kutumia kiingereza kwa sababu maalum. Walengwa wakuu wameelewa.
If God is outside time and doesn’t have a beginning, how can He act in our world, which is inside time?Understanding the concept of God begins with recognizing that God, by definition, is eternal and uncreated—beyond human comprehension of origin. The works of God, including creation and the laws of nature, reveal His nature and power, which is independent of any origin as He exists outside time. Instead of focusing on trying to define His origin, I invite you to experience His presence and recognize His works as evidence of His existence and divine nature
Kama huwezi kueleza Mungu ni nani ina maanisha unalazimisha watu kusikiliza hadithi za kiumbe ambaye huna uhakika kama yupo au hayupo.Lengo la uzi huu sio kueleza Mungu ni nani.
Mzee ukijjifikiria una umuhimu gani kwangu?Unathibitisha vipi kitu ambacho hakipo , nimekupa nafasi ya pili, ukitukana tena hautakaa unaione humu mpaka unakufa . Yani kiuwazi tu nita ku ignore maisha.
Ungekua unamjua huyo Mungu wala usingehangaika kutumia chatGPT iliyokuja juzi juzi tu hapa ambayo imekukuta wewe una Maarifa tayari.Nimemjua Mungu na nguvu zake kwa miaka zaidi ya 20 iliyopita; chatGPT imezaliwa lini!!
Utapigwa kibuti😂shauri lakoNae kilaza tu huyo hahaha
Nope. Siku ya mwisho nimeitaja kwa ajili ya wale ambao pamoja na uthibitisho nilioutoa bado wanapinga. Kwakuwa wanashindwa kukubali uthibitisho huo, watathibitisha siku ya mwisho ikifika, na siku hiyo iko karibu kufika. Dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake na za mwisho wa dunia, almost zote zimetimia. Soma Mathayo 24.Umeona hata wewe uhakika wako kumthibitisha Mungu ni
1. Siku ya Mwisho
😂😂Eti unasema tuanze mjadala upya aumimi binafsi utakua hujanijibu mkuu, kama kweli toka mwanzo ulikua unajibu kwa dhati utakubaliana na mimi kuwa hujajibu.
kama hili ni jibu kweloi basi hoja ya free will inabidi tuanze upya maana itakua inakinzana nayo
mkuu mi nakuuliza maswali serious ninashida nayo, wewe unaweka emoji. kila la kheri mkuu😂😂Eti unasema tuanze mjadala upya au
Ila sasa kupitia hayo majibu unaweza kuconnect dots
If God’s nature is beyond human understanding, how can we claim to understand that He is eternal, uncreated, or beyond time?Understanding the concept of God begins with recognizing that God, by definition, is eternal and uncreated—beyond human comprehension of origin. The works of God, including creation and the laws of nature, reveal His nature and power, which is independent of any origin as He exists outside time. Instead of focusing on trying to define His origin, I invite you to experience His presence and recognize His works as evidence of His existence and divine nature.
Punguz maswali afu leta hio shida nione kama ntatatuamkuu mi nakuuliza maswali serious ninashida nayo, wewe unaweka emoji. kila la kheri mkuu