Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Mambo 10 yanayothibitisha kwamba Mungu yupo

Kuna yule jamaa infroper , kuna uzi flan ule tulikuwa tunabishana juu ya nguvu za giza, nilimuomba nae athibitishe jambo fulani huyooo hakunijibu akarukia comments nyingne, nilicheka sana.
Unathibitisha vipi kitu ambacho hakipo , nimekupa nafasi ya pili, ukitukana tena hautakaa unaione humu mpaka unakufa . Yani kiuwazi tu nita ku ignore maisha.
 
Aaahaaa! Yaani wewe ndiyo umetaka tuone kwamba mungu yupo, Na bado ukashindwa kutumia hicho kigugo twansileta kutuletea tafsiri. Oook....
Sijashindwa kutumia "kigugo twansileta," Nimechagua tu kutumia kiingereza kwa sababu maalum. Walengwa wakuu wameelewa.
 
What if nikisema anawatumia watoto WA middle east kama ukumbusho wa watu kumrudia yeye?!

Nasema sababu he has authority over our lives!

Ntakuwa sijakujibu,?!
mimi binafsi utakua hujanijibu mkuu, kama kweli toka mwanzo ulikua unajibu kwa dhati utakubaliana na mimi kuwa hujajibu.

kama hili ni jibu kweloi basi hoja ya free will inabidi tuanze upya maana itakua inakinzana nayo
 
Understanding the concept of God begins with recognizing that God, by definition, is eternal and uncreated—beyond human comprehension of origin. The works of God, including creation and the laws of nature, reveal His nature and power, which is independent of any origin as He exists outside time. Instead of focusing on trying to define His origin, I invite you to experience His presence and recognize His works as evidence of His existence and divine nature
If God is outside time and doesn’t have a beginning, how can He act in our world, which is inside time?

For example, how does a timeless God make decisions, like creating the universe or answering prayers, if making decisions seems to involve time? Isn’t that a bit contradictory?
 
Inaonekana kwamba huna maarifa sahihi kuhusu Mungu, na ndiyo maana unatumia chatGPT kujibu hoja zako.
Nimemjua Mungu na nguvu zake kwa miaka zaidi ya 20 iliyopita; chatGPT imezaliwa lini!!
 
Lengo la uzi huu sio kueleza Mungu ni nani.
Kama huwezi kueleza Mungu ni nani ina maanisha unalazimisha watu kusikiliza hadithi za kiumbe ambaye huna uhakika kama yupo au hayupo.

Hatutaki kusikia hizo hadithi unless umeleta maana ya hicho kiumbe.
 
Unathibitisha vipi kitu ambacho hakipo , nimekupa nafasi ya pili, ukitukana tena hautakaa unaione humu mpaka unakufa . Yani kiuwazi tu nita ku ignore maisha.
Mzee ukijjifikiria una umuhimu gani kwangu?
Hahaha
Alafu mbona nimekuoa procedure vipi unaona uvivu kufuata ili uthibithishiwe we MVIVU TU

alfu mbona mimi hujanithibitishia origin ya binadam kuwepo ,unaniambia yupo tu hahaa.
KWani wewe ulikuwepo wapi wakati haupo?
 
Nimemjua Mungu na nguvu zake kwa miaka zaidi ya 20 iliyopita; chatGPT imezaliwa lini!!
Ungekua unamjua huyo Mungu wala usingehangaika kutumia chatGPT iliyokuja juzi juzi tu hapa ambayo imekukuta wewe una Maarifa tayari.
 
Umeona hata wewe uhakika wako kumthibitisha Mungu ni
1. Siku ya Mwisho
Nope. Siku ya mwisho nimeitaja kwa ajili ya wale ambao pamoja na uthibitisho nilioutoa bado wanapinga. Kwakuwa wanashindwa kukubali uthibitisho huo, watathibitisha siku ya mwisho ikifika, na siku hiyo iko karibu kufika. Dalili alizozitaja Yesu za kuja kwake na za mwisho wa dunia, almost zote zimetimia. Soma Mathayo 24.
 
mimi binafsi utakua hujanijibu mkuu, kama kweli toka mwanzo ulikua unajibu kwa dhati utakubaliana na mimi kuwa hujajibu.

kama hili ni jibu kweloi basi hoja ya free will inabidi tuanze upya maana itakua inakinzana nayo
😂😂Eti unasema tuanze mjadala upya au


Ila sasa kupitia hayo majibu unaweza kuconnect dots
 
Mtu anieleweshe ni kwanini Mungu aruhusu mapadri wanywe pombe lakini wasioe..halafu Mungu huyohuyo aruhusu mashehe waoe wake mpaka wanne ila wasinywe pombe?
 
Understanding the concept of God begins with recognizing that God, by definition, is eternal and uncreated—beyond human comprehension of origin. The works of God, including creation and the laws of nature, reveal His nature and power, which is independent of any origin as He exists outside time. Instead of focusing on trying to define His origin, I invite you to experience His presence and recognize His works as evidence of His existence and divine nature.
If God’s nature is beyond human understanding, how can we claim to understand that He is eternal, uncreated, or beyond time?

Aren’t those claims themselves based on some level of human comprehension?
 
Nadhani kwanza ungeanzia kwenye maana ya neno Kuthibitisha wala huko pengine usingefika..., (Wewe kuamini unachoamini wala hauhitaji usibitisho)..., sababu huko kwenye Imani hakuna tofauti kati ya Muyahudi anayeamini nguvu na miujiza ya Yesu na Msukuma anayeamini maajabu ya Ngw'anamalundi
1735669871220.png





..
 
Back
Top Bottom