Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Kilichokuleta kuchangia uzi mfu ni nini si utafute nyuzi za kusifu na kumuabudu mnyarwanda.Moja ya uzi mfu , nawasiwasi na elimu yako ndg!
Tatizo la waafrika ni kula,kunywa,kuongea na hata kutenda kwa kufikirika,ukijifanya kana kwamba unayoyazungumza ni ya ki utopian
Nyarwanda ni jizi la hatari.Inasemekana Boeing 787 - Dreamliner tumepigwa zaidi ya USD 115 Milion sawa na Tsh 2.6 Bilioni
Hivi kichwa chako ni cha kufugia nywele tu? Hujui kuwa kuna kesi dhidi ya JF Mahakama ya Kisutu? Ametubana kwenye magazeti na TVs sasa anataka JF itoe real IDs za members.Kama ameminya uhuru wa kuongea,je mbona wewe mleta mada umeongea?
tena mimi nawaitaga mabalozi wa mashoga wakwende zaoWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Kwa hiyo ID yako inaonekana wewe ni msukuma au mtu wa kanda ya ziwa ndiyo maana unabeza thread hii kwa sweeping statement tu.Moja ya uzi mfu , nawasiwasi na elimu yako ndg!
Tatizo la waafrika ni kula,kunywa,kuongea na hata kutenda kwa kufikirika,ukijifanya kana kwamba unayoyazungumza ni ya ki utopian
Hapa ameandika au kaongea? Kama unaona uhuru upo nenda kamwambie mtukufu kuwa atangaze kuanzia leo karuhusu mikutano ya siasa uone moto wake, madhambi yako ya watukufu wote wa CCM yataanikwa liveKama ameminya uhuru wa kuongea,je mbona wewe mleta mada umeongea?
Atakuwa anakulala wewe, mtoa mada kamaliza. Hili lizee life liozeWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Kazi ipi apige? Kuchukua madini na pesa wanazokamata mipakani Airport kisha kujimilikisha kienyeji? Kazi ipi apige ? Kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge? Kazi ipi apige?kurejesha Tilion 1.5 aliyopiga na kuishia kumtoa kafara CAG? wewe lazima ni mnufaika wa 10% ya miradi yote mikubwa wanayopiga pesa nyie wajanja wachache.huwezi kupendwa kila mtu,MAGU piga kazi mzee baba huku mtaani sisi tunakuelewa
Deni la Taifa limepaa na kuwa kubwa kwenye utawala huu kuliko Tawala zote tokea Nchi ipate uhuru, kuna ufisadi wa kutisha sasa kuliko kipindi chochote, kinachofanya wananchi washindwe upata ukweli mapema ni kukosekana kwa uhuru wa vyomba vya habari na pia uhuru wa kufanya mikutano ya siasa.Tuendelee kupaza sauti kila Mtanzania aelewe kuwa utawala huu siyo wa wanyonge kama wanvyojinadi bali ni utawala wa kifisadi na kimafia.
Na pia kusababisha baadhi ya watumishi wauma wajanja wabuni Mbinu za kisayansi kuiba pesa za umma pasipo kujulikana, watu wakilala njaa hubuni Mbinu zaidi za kuiba.13.Kawaumiza na watumishi sn ktk maslahi yao.
Aliuza nyumba za Serikali akajiuzia nyumba kibao kienyeji pasipo kufuata Sheria na nyumba zingine akagawa kwa Hawala na Mdogo wake ambao hawakuwa watumishi wa umma , huyo mtukufu ni wale wale CCM ni ile ile hakuna mwenye unafuu.13. Kuanzisha miradi mikubwa ya Stiglers Gorge bila kuganya upembuzi yakinifu ambao ingeonyesha athari za uharibifu wa mazingira na upungufu wa maji
14. Kuwabomolea wa kazi wa Ubungo-Kibamba nyumba kupisha ujenzi barabara bila kuwafidia. Wakati anaamrisha Mwanza wasibomolewe kwa vile ndiyo waliompigia kura
Daud Bashite ana vyeti feki na alikamata unga akampa Le mutuz kwenda kuuza South Africa na china, je? na yeye ni miongoni mwa wanaompinga mtukufu magufuli?Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Huna mamlaka ya kutuzungumzia watanzania, hatujakuagiza utuzungumzie, sema wewe ndio unayemuunga mkono full stopWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha