kyle rothschild
JF-Expert Member
- Aug 8, 2019
- 208
- 322
Kitendo cha kumzuia CAG asikague madini, ATC, Tanroad inaonesha kuwa kuwa huyu ni mwizi sugu, toka alivyouza nyumba za serikali, ununuzi wa MV Bagamoyo na sasa ununuzi wa ndege kwa cash. eti mtetezi wa wanyonge, sijui wanyoge gani, na hawa watanzania mburura wanashangilia kama mazuzu!