Magufuli angeacha kusumbua wapinzani angekua ana support ya watanzania karibia wote sasa hivi, kusumbua wapinzani bila sababu za msingi ndo zimejenga uadui watu wengi wanazidi kumchukia. Alianza mwanzoni vizuri kabisa, alikua anafanya kazi nzuri tu kwa ajili ya kila mtu, alivyoanza kushughulikia wapinzani tu ndo mambo yakavurugika, kaanza ubinafsi, ulipizaji visasi, watu kutekwa, yaani upuuzi mwingi usio na faida yoyote ile, watu wanakamatwa na kusumbuliwa na immigration bila sababu za msingi, yote ku-prove nini hasa?
Angekaa afanye mambo ya kujenga taifa tu aachane na chuki biniafsi kwa wasiompenda angefika mbali sana. Zee kuda sana lile, nilikua nampenda siku hizi namuona tahira tu, ka-unleash true colors zake.