Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
- Thread starter
- #81
Wacha kutetea tumbo lako hapa!! Kama siyo nduli kwanini anamtesa Tundu Lissu kiasi hicho? Amempiga risasi 38 na 16 zikampata. Hajakamata suspect hata mmoja ndiyo maana unaamini anajua waliompiga Lissu. Amekataza wabunge wengine wasiende kumuona Lissu Hospitali, kwa nini nisimuite nduli. Amekataa kumlipia matibabu na mwisho kamnyang'anya ubunge. He is an animal, barbarian, vampire, shenaniganStuxnet .... nduli Magufuri ndo nani? Nchi gani unazungumzia wewe? Kama ni TPDF ya nchi yangu, we salute HIS EXCELLENCY JPM, amiri jeshi mkuu wetu. Kiapo kiko palepale.
Mambo ya Trump kwenye bandiko langu ni perspective ya leadership, the case of huko mlipo. USA! Fanyeni
AFRITI? Is that a bearer of virus RNA?