Uishi milele Eeeh mfalme jiweWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Wanaompinga Magufuli ni wa NCHI gani!? maana umesema SISI WATANZANIAWanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki
Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Kawe Alumni uwe salama mkuuUishi milele Eeeh mfalme jiwe
Ujinga mtupu.
Hatuwezi kuwa na fikra zinazofanana kwa kila kitu na huo ndiyo ubinadamu. Nilimpinga Magufuli sana kwa ufedhuli na udikteta wake.Karudi chamani!
7. Amezuia shughuli za vyama vya siasa wakati CCM inafanya mkutano kila mahali. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2000 na Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 zinatambua shughuli za vyama vingi.Hatuwezi kuwa na fikra zinazofanana kwa kila kitu na huo ndiyo ubinadamu. Nilimpinga Magufuli sana kwa ufedhuli na udikteta wake.
Samia amebadili mambo yote ya Mwendazake, nchi yetu inakwenda kwenye mstari, BADO MNATAKA TUMPINGE tu?
Huo ni UHAYAWANI bakieni nao kwenu huko CHADEMA
Wewe huna unachosimamia wewe ni wale wizi na wauza madawa ya kulevya waliokuwa wamenyoshwa kwenye awamu ya tano kuna uwezekano sasa umeshaanza kurudia shughuli yako ya wizi na madawa ya kulevya lakini kumbuka system bado ni ile ile tu!Hatuwezi kuwa na fikra zinazofanana kwa kila kitu na huo ndiyo ubinadamu. Nilimpinga Magufuli sana kwa ufedhuli na udikteta wake.
Samia amebadili mambo yote ya Mwendazake, nchi yetu inakwenda kwenye mstari, BADO MNATAKA TUMPINGE tu?
Huo ni UHAYAWANI bakieni nao kwenu huko CHADEMA
Kwa taarifa yako zoezi la kupambana na madawa ya kulevya ilikuwa geresha tu. Makonda alikuwa anatafuta namna ya kudhulumu fedha na mali za matajiri aliowafhamiria.Wewe huna unachosimamia wewe ni wale wizi na wauza madawa ya kulevya waliokuwa wamenyoshwa kwenye awamu ya tano kuna uwezekano sasa umeshaanza kurudia shughuli yako ya wizi na madawa ya kulevya lakini kumbuka system bado ni ile ile tu!
Vipi na wewe ulikuwa muuzajj wa madawa ulioathirika baada ya Makonda kuwanyoosha?Kwa taarifa yako zoezi la kupambana na madawa ya kulevya ilikuwa geresha tu. Makonda alikuwa anatafuta namna ya kudhulumu fedha na mali za matajiri aliowafhamiria.
Pili akabakiza kikundi chake ambacho ndiyo kiliendelea kuuza dawa hapa.
Makonda na ubongo mchache kama wa mende atamnyoosha nani? Yeye ndiye anayooshwa sasa. Asubiri tu naye kunywea kikombe anachonywea Ole Sabaya.Vipi na wewe ulikuwa muuzajj wa madawa ulioathirika baada ya Makonda kuwanyoosha?
Mwaka 2030 wewe utakuwa kikongwe unakunya kitandani kwako!Makonda na ubongo mchache kama wa mende atamnyoosha nani? Yeye ndiye anayooshwa sasa. Asubiri tu naye kunywea kikombe anachonywea Ole Sabaya.
Kama siyo leo, ajuwe hata mwaka 2030, kifo tu ndiyo kitamkwepesha
Ukweli mchunguKuna mambo mengi sana yanayo isambaratisha Tanzania kutoka utawala wa Magufuri, ila nitataja 12 tu;
1. Ni mropokaji kwa kuwa anapoongea hajali kadamnasi imayomsikia. Matusi ya nguoni ndiyo lugha yake ya kawaida.
2. Hapendi upinzani kwa kuwa akiruhusu atashindwa asubuhi. Ndiyo maana katumia hela ya Serikali kuwanunua wabunge wa Kinondoni, Siha na Bahati.
3. Anapenda rushwa na ufisadi ndiyo maana hataki kufanya kazi na CAG aliye nyooka.
4. Ni mwizi wa mali ya umma ndiyo maana kamuweka Katibu Mkuu Hazina ambaye ni mpwa wake. Kwa miaka 4 tayari Tsh 2.4 Trillion hazijulikani zilipo
5. Ni mpenda ukabila kwa kuwa sehemu nyeti zote amejaza ndugu na watu wa Kanda ya ziwa Angalia IGP, DPP, AG, KM-KM-Hazina, RC DSM, Waziri Nishati, CAG mpya, Waziri Viwanda, Jaji Mkuu nk
6. Ni mtu wa kufuja mali ya umma. Angalia ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato na uanzishaji wa mbuga ya Burigi -Chato
7. Amezuia shughuli za vyama vya siasa wakati CCM inafanya mkutano kila mahali. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2000 na Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 zinatambua shughuli za vyama vingi.
8. Hataki watu wajieleze kwa uhuru kadri ya katiba, na amevibana vyombo vya habari. Kwa mfano Eric Kabendera ameanzishiwa shitaka la kutakatisha fedha wakati kiukweli ni maoni yake kwenye gazeti la The Economist
9. Anachukia wenye vyeti feki lakini kamuacha Bashite aendelee kuwa RC DSM wakati naye ana cheti feki. Hata PhD yake yasadikiwa amekopi kwa supervisor wake ambaye kamteua kuwa Katibu Mkuu wa Wizara mojawapo.
10. Ameruhusu kikundi cha wasiojulikana kiteke watu, kuwatesa na wengine kuwaua kama Ben Saanane, Azory Gwanda. Na majeruhi kwa Tundu Lissu
11. Analitawala Bunge kwa remote control. Bunge haiwezi kuhoji chochote kilichofanywa na Serikali.
12. Mahakama nayo iko mfukoni mwake. Yeye ni Polisi, kuendesha mashtaka na Hakimu
Tuendelee kupaza sauti kukemea uovu na unyama aliouleta huyu Mnyarwanda kwa vile anatuharibia Tanzania yetu
Hili swala la Bashite kwakweli alilikumbatia sana hadi yule bw mdogo kupata jeuri kiasi kile.Kuna mambo mengi sana yanayo isambaratisha Tanzania kutoka utawala wa Magufuri, ila nitataja 12 tu;