Mambo 12 yanayoipasua Tanzania vipande vipande kutoka utawala wa awamu ya 5

Hilo namba 1 la uropokaji limetawala kwenye ziara ya Zanzibar kuanzia juzi.
 
Dah! Watu mnajua kujilipua mkilipuliwa huko msiwe mnakuja kulialia hapa janvin mengine mnayataka wenyewe
 
Da watu mnajua kujilipua mkilipuliwa huko msiwe mnakuja kulialia hapa janvin mengine mnayataka wenyewe
Hatuwezi Watanzania wote kuwa waoga kama wewe. Huwezi kukemea uovu hata kuandika unaogopa? Ndiyo maana Meko anatamba tu kusigina katiba kwa kuwa mwanaume mzima na 'ball's zako anaogopa kuandika ukweli.
 
Sawa mkubwa mwanaarakati mzoefu nikutakie kila heli Mkuu na kweli mimi muoga ndugu yangu kwa uliyoandika kusema ukweli binafsi siwezi kwanza katika yote sina data hata moja kwa iyo ni ngum kuandika kiongonzi
 
Da alafu mshikaji sio fair pamoja na kwamba Mimi ni muoga ila sasa tatizo umenitukania ball zangu mungu anakuona
 
Sawa mkubwa mwanaarakati mzoefu nikutakie kila heli Mkuu na kweli mimi muoga ndugu yangu kwa uliyoandika kusema ukweli binafsi siwezi kwanza katika yote sina data hata moja kwa iyo ni ngum kuandika kiongonzi
Soma pita mbele, kakojoe ulale
 
Weee bwana Thobias Marandu, ukiulizwa ushahidi unao? Maana hizo hadithi zako tumezisikia mpaka tumezichoka na miaka inaenda hatuoni zinafaida gani.
Kurudia rudia uliyoisha yasema ndiko kupaaza sauti unakotaka tufanye?
 
Akili yako imekutuma uandike Thobias Marandu ndiyo ujisikie raha. Toa hoja kupinga hoja, upewe ushahidi wewe kama nani? Kakojoe ulale vyumba vya uani kwa shemeji yako.
 
Endeleeni kuwafunua watu macho na kuwazibua masikio. Kuna siku wataelewa.
 
Da watu mnajua kujilipua mkilipuliwa huko msiwe mnakuja kulialia hapa janvin mengine mnayataka wenyewe
Binadamu ukiogopa kwa kiwango hiki ulichonacho wewe huna sababu ya kuishi. Hivi mababu zetu kina Kinjekitile, Mkwawa na akina Mirambo wangeoogopa kupinga unyanyasaji wa wakoloni Wajerumani tungekuwa leo?

Je akina Nyerere na wenzie wasingempinga Mkoloni Mwingereza tungekuwa bado chini ya ukoloni.
 
Chuma gani kile? Labda nimfananishe na mgomba. Angekuwa chuma isingekuwa anazimia na kuanguka kifafa. Angekuwa chuma asingekuwa anaishi na betri (pacemaker).

Ni mwoga kupita maelezo ndiyo maana analindwa na masilaha ya vita na kila mahali yupo na IGP na CDF.
Kweli Magu alikuwa mbovu, siyo chuma kama alivyokuwa anajitapa.
 
Nimeirudia hii orodha baada ya Shetani huyu kutangulia mbele ya haki. Nahisi kuna mengi yanapungua
 
We unajua nchi iliyopasuka vipande? Umeshiba kiporo na kuibukia JF ...
 
Nimeirudia hii orodha baada ya Shetani huyu kutangulia mbele ya haki. Nahisi kuna mengi yanapungua
Kama Marais wote duniani wangekuwa wako Mbinguni basi "Jamaa" angefukuzwa kama Shetani (Lucifer) kwaajili ya uhovyo wake !!

Sasa kwavile kajipeleka Mwenyewe kwa Sir-God acha akale mboko za kutosha !!
 
Back
Top Bottom