Mambo 12 yanayoipasua Tanzania vipande vipande kutoka utawala wa awamu ya 5

Wanaompimga Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wenye vyeti feki

Sisi Watanzania tunampenda Magufuli hao wachache wanajiangaisha
Wanaompinga Magufuli ni wa NCHI gani!? maana umesema SISI WATANZANIA
 
Anti-Mataga sasa hivi unafurahi chama kurudi kwa wenyewe
 
Karudi chamani!
Hatuwezi kuwa na fikra zinazofanana kwa kila kitu na huo ndiyo ubinadamu. Nilimpinga Magufuli sana kwa ufedhuli na udikteta wake.

Samia amebadili mambo yote ya Mwendazake, nchi yetu inakwenda kwenye mstari, BADO MNATAKA TUMPINGE tu?

Huo ni UHAYAWANI bakieni nao kwenu huko CHADEMA
 
Kashaondoka mlichokitafuta kinakuja kwa kasi ya SGR,miezi saba mnapiga mayowe miaka4+5+5=0.
Magazijuto.
Tukutane 2030.
 
7. Amezuia shughuli za vyama vya siasa wakati CCM inafanya mkutano kila mahali. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 toleo la mwaka 2000 na Sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992 zinatambua shughuli za vyama vingi.
 
Wewe huna unachosimamia wewe ni wale wizi na wauza madawa ya kulevya waliokuwa wamenyoshwa kwenye awamu ya tano kuna uwezekano sasa umeshaanza kurudia shughuli yako ya wizi na madawa ya kulevya lakini kumbuka system bado ni ile ile tu!
 
Kwa taarifa yako zoezi la kupambana na madawa ya kulevya ilikuwa geresha tu. Makonda alikuwa anatafuta namna ya kudhulumu fedha na mali za matajiri aliowafhamiria.

Pili akabakiza kikundi chake ambacho ndiyo kiliendelea kuuza dawa hapa.
 
Vipi na wewe ulikuwa muuzajj wa madawa ulioathirika baada ya Makonda kuwanyoosha?
 
Vipi na wewe ulikuwa muuzajj wa madawa ulioathirika baada ya Makonda kuwanyoosha?
Makonda na ubongo mchache kama wa mende atamnyoosha nani? Yeye ndiye anayooshwa sasa. Asubiri tu naye kunywea kikombe anachonywea Ole Sabaya.

Kama siyo leo, ajuwe hata mwaka 2030, kifo tu ndiyo kitamkwepesha
 
Mwaka 2030 wewe utakuwa kikongwe unakunya kitandani kwako!
 
Ukweli mchungu
 
Hili swala la Bashite kwakweli alilikumbatia sana hadi yule bw mdogo kupata jeuri kiasi kile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…