Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
1. Mchezo ulikuwa mzuri sana kipindi cha kwanza lakini cha pili tulishikilia sana bomba
2.Beki Shabalala atafutiwe mbadala, safari nyingi sana zimefanyikia upande wake leo.
3.Inonga Baka auzwe, kuna siku ataigharimu sana timu kwa mambo ya kitoto.
4.Mzamiru Yassin hawezi kubadilija tena, amefika mwisho, nafasi yake angekaa Feitoto leo mechi ilikuwa inaisha kipindi cha 1.
5.Somba Somba Onana kama mliangalia kikosi changu jana usiku nilimweka winga wa kushoto, mimi namuamini kuliko mchezaji yeyote Simba.
6.Duchu, Israel na Abdallah Hamis hawakutegemea kama leo watacheza, ilikuwa surprise kwao, wasilaumiwe.
7.Simba imeshinda kwa sababu mpira umechezwa sana nje otherwis wasingekuga wale wamanga.
8.Kibu kupumzishwa yalikuwa makosa makubwa ya kiufundi.
9.Benchika kama anataka kudefence ni bora udefend kuanzia dakika ya 80 lakini kudefende dakika ya 60, very dangerous.
10.Mwamba wa Lusaka sijui nini kimemkuta, uwezo umepungua sana.
11.Saido Ntibazonkiza bado anahitajika sana kikosini, leo angekuwepp lazima angeweka kambani.
12.Sadio Kanoute ni mtu muhim sana Simba kwani Mzamiru ni mzinguaji tosha.
13.Simba Nguvu moja, ikiendelea hivi kama ilivyokuwa wiki hii hakuna wa kuizuia.
14.Ayoub Lakred atamfukuzisha kazi Manula na kuna uwezekano akarudi Azam.
15.Wachezaji wa Simba walirogwa leo ndio tumeona uchezaji halisi wa Somba Somba Onana.
Kila la heri Medeama kesho.