Mambo 15 niliyoyaona leo Simba ikiivua ubingwa Wydad kwa Mkapa

Mambo 15 niliyoyaona leo Simba ikiivua ubingwa Wydad kwa Mkapa

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
1. Mchezo ulikuwa mzuri sana kipindi cha kwanza lakini cha pili tulishikilia sana bomba

2.Beki Shabalala atafutiwe mbadala, safari nyingi sana zimefanyikia upande wake leo.

3.Inonga Baka auzwe, kuna siku ataigharimu sana timu kwa mambo ya kitoto.

4.Mzamiru Yassin hawezi kubadilija tena, amefika mwisho, nafasi yake angekaa Feitoto leo mechi ilikuwa inaisha kipindi cha 1.

5.Somba Somba Onana kama mliangalia kikosi changu jana usiku nilimweka winga wa kushoto, mimi namuamini kuliko mchezaji yeyote Simba.

6.Duchu, Israel na Abdallah Hamis hawakutegemea kama leo watacheza, ilikuwa surprise kwao, wasilaumiwe.

7.Simba imeshinda kwa sababu mpira umechezwa sana nje otherwis wasingekuga wale wamanga.

8.Kibu kupumzishwa yalikuwa makosa makubwa ya kiufundi.

9.Benchika kama anataka kudefence ni bora udefend kuanzia dakika ya 80 lakini kudefende dakika ya 60, very dangerous.

10.Mwamba wa Lusaka sijui nini kimemkuta, uwezo umepungua sana.

11.Saido Ntibazonkiza bado anahitajika sana kikosini, leo angekuwepp lazima angeweka kambani.

12.Sadio Kanoute ni mtu muhim sana Simba kwani Mzamiru ni mzinguaji tosha.

13.Simba Nguvu moja, ikiendelea hivi kama ilivyokuwa wiki hii hakuna wa kuizuia.

14.Ayoub Lakred atamfukuzisha kazi Manula na kuna uwezekano akarudi Azam.

15.Wachezaji wa Simba walirogwa leo ndio tumeona uchezaji halisi wa Somba Somba Onana.

Kila la heri Medeama kesho.
 
Utofauti wa Makolokolo na Wananchi hudhihirika namna hii, Yanga "Wananchi" huwa hatuhadaiki kutathmini klabu yetu kwa matokeo ya mechi 1 tu ilihali tunaamini chemistry ya timu huhitaji muda gani Kocha mpya kuweka filosofi zake kuleta ubora wa timu.

Makolokolo SC fans = Maharagwe ya Mbeya maji mara 1 (kuridhika mapema)...[emoji142]
 
Kuna wachezaji wengi Simba wanasindiza wachezaji na kujaza nafasi

1. Shabalala atafutiwe mbadala uwezo wake umefika mwisho atafutiwe mbadala.

Mzamiru na Kibu wajitathimini maamuzi yao mengi hayana msaada.

Kanoute ni mchezaji muhimu Sana kwa Simba .
 
Utofauti wa Makolokolo na Wananchi hudhihirika namna hii, Yanga "Wananchi" huwa hatuhadaiki kutathmini klabu yetu kwa matokeo ya mechi 1 tu ilihali tunaamini chemistry ya timu huhitaji muda gani Kocha mpya kuweka filosofi zake kuleta ubora wa timu.

Makolokolo SC fans = Maharagwe ya Mbeya maji mara 1 (kuridhika mapema)...[emoji142]
.
JamiiForums1381953234.jpg
 
Wydad na Simba wote walikuwa choka mbaya. Nadhani kwa simba mcehzaji alifanya vizuri ni huyo Onana kwa mashabulizi aliyofanya kipindi cha kwanza na golikpia Ayub muda wote. Wengine wote pamoja na wapinzani wao Wydad ni choka mbaya sana.

ila sasa simba ana asilimia 70 za kutinga robo fainali. Ni kwa Galaxy kufungwa na ASEC halafu Simba iwafunge au itoke droo na Galaxy kwa Mkapa.
 
Kwa upande wangu mimi huwa naona Inonga ni moja ya wachezaji wanaoisaidia mno Simba, ukiangalia kipindi cha pili Wydad walianza kupiga mipira ya Cross ila inonga ndo aliokoa mipira mingi mno ya Cross kuliko beki yoyote wa Simba.
Hata ukiangalia kwny rating ya mchezo wa leo utaona yy ndo mwenye point nyingi..Lakred zimepungua kwa sbb ya kadi njano...
Hao wanosema Inonga sijui hivi inonga vile wa kupuuzwa ..
 
Back
Top Bottom