Mambo 15 niliyoyaona Simba ikiiangamiza Fountain Gate leo

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
1. Kipa wa Simba ana utulivu sana ni moja ya makipa bora kabisa ambao Simba msimu huu tunajivunia

2.Abdulrazak Hamza nimewaona akina Costa, Deo Njohole, Nico Bambaga wakati fulani akicheza namba nne, hata marehemu Method Mogella, Juma Limonga, Fikiri Magoso, Godwin Aswile, Mustafa Hoza, Juma Nyosso, ila dogo huyu ana utulivu sana ila aongeze spidi anapozidiwa mbio

3.Mzamiru Yassin hana uwezo wa kumweka benchi Yussuf Kagoma wala Augustine Okajepha, tunakosa kumaliza mchezo mapema kwa sababu yake, mechi tuliyofungwa na Yanga ni yeye alijisahau wakati Dube anagongeana Max Nzengeli, kila mechi na Yanga anachomesha yeye, namba 6 haiwezi, kwa sasa anapaswa kucheza dakika 10 za mwisho.

4.Yussuf Kagoma ndugu zanguni ni mtu makini sana, leo ndio mchezo wake wa kwanza lakini amedhihirisha kuwa Mwigulu Nchemba yuko nyuma ya matukio sana, pengine majukumu yamembana.Huyu kama Okajepha haanzi basi aanze yeye na sio Mzamiru.

5.Che Malone Fondoh ni kitasa kweli kweli ila aongeze umakini anajisahau sahau kidogo

6.Debora Mavambo Fernandez kila mtu ameona, kumlilia au kumkumbuka Chama na kiguu chake kibovu ni ulofa wa kiwango cha Chuo Kikuu.Huyu mtu aliyemsajili Mungu ambariki sana.

7.Valentino Mashaka ni mzuri lakini ajitahidi kupunguza uzito, anafunga mabao lakini uzito unamwelemea sana.

8.Fabrice Mwamba Ngoma aambiwe aongeze mazoezi mara 10, Kagoma na Okajepha ni habari nyingine

9.Jeans Charles Ahoua ameanza kujitafuta kidogo kidogo, aambiwe kazi yake sio kufunga ni kumlisha Mukwala, kufunga iwe Coincidence tu.

10.Kama Fahdu leo angemwenzisha Kagoma namba sita tangu mwanzo, nane Fernandes, 10 Awesu, wallahi Fountain Gate leo angeliwa 10.

11.Tofauti kubwa ya Simba na Yanga iko hivi, Yanga wanamtegemea sana Aziz Ki, jamaa ana uwezo mkubwa wa soka, amekamilika haswa mwanaume huyu sio masihara, Yanga wanapata taabu sana Aziz Ki akiwa nje, akiingia mambo yanabadilika sana, sisi Simba baada ya kuondoka Chama hilo halipo tena, timu imejengwa kama system vile, ukiondoka wewe mtu yupo.Yaani mchezaji anafanyiwa sub sio kwamba kachoka hapana, sub inafanyika kwa sababu wenzako wanataka nao kucheza.

12.Kocha Fahdu aendelee kuelekeza wachezaji waongeze Pressing maana kule Libya shughuli yake sio ndogo, tunahitaji kujipanga ili kuvuka makundi

Soma Pia: FT: Simba SC 4-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 25.08.2024

13.Mukwala ni mshambuliaji hatari sana, movement zake, vurugu, control, balance zinaonyesha ni mtu kuliko Fredy, kinachotakiwa ni Ahoua akipata mpira amwangalie tu yuko wapi ili amtemee

14.Kuna jitu halijacheza leo linaitwa Ateba, ngojeni liingie siku moja muone balaa lake

15.Wana Simba we have a good, good team, we have the quality players, tuamini mchakato, msibishane nao, hao akina Mzengeli, Chama, Pacome, Aucho umri umewatupa mkono hao.
 
Ngoja tu screenshot....coz ikifika katikati ya ligi .....hamchelewi kusema GSM anadhamini timu 16
 
Namba 2 nakukatalia, bado tuna mechi nyingi za kudhiilisha uwezo wake.
Mzamiru sijui godfather wake ni nani, Hana utulivu, anapiga mapasi marefu haelewi hii ni Simba siyo yanga ingawa nayo imebadilika.
Kocha awape nafasi kina Chasambi na siyo kukariri wachezaji.
 
6 na 11 nimependa. 6 nimecheka mno na 11 umefafanua vizuri sana kama vile ni mchambuzi huru. Nina wasiwasi Mavambo ataondoka mapema sana kwenda Ulaya.

Ova
 
Namba 2 nakukatalia, bado tuna mechi nyingi za kudhiilisha uwezo wake.
Mzamiru sijui godfather wake ni nani, Hana utulivu, anapiga mapasi marefu haelewi hii ni Simba siyo yanga ingawa nayo imebadilika.
Kocha awape nafasi kina Chasambi na siyo kukariri wachezaji.
Unapokuwa na advanced 8 mzuri unahitaji mchezaji wa kufanya ball recoveries nyingi anayecheza eneo kubwa la uwanja ndiyo maana Mzamiru anaanza mbele ya Okejepha na Kagoma.
 
Yanga inateseka asipoanza Azizi ki ...mbona jana hajaanza na timu imeperform vizuri tu unatakiwa utambue hii ni ligi bado mapema hapa hujafika mikoani ukutane na mabasi uanze kelele
simba wapo delusional sana.

nimeangalia mpira leo. yanga vs simba goli zitakuwa nyingi sana. it's shameful ila ndo gap la quality litaonekana.

simba wana Kaba vizuri Ila naziona goli nyingi sana. wakikutana tena. hadi nacheka
 
Back
Top Bottom