TheDek
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 457
- 428
Nida ishachukua details zote lakn bdo unabeba vitu vile vile yan bongo bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahitaji kufahami hivi Nina kitambulisho cha nida nahitaji paspot je lazma niwe na cheti cha kuzaliwa? Maana kuna baadhi ya Mambo bdo sjaelewa
Cheti cha kuzaliwa hakina mbadala kama ilivyo cheti cha kifo, hivyo ni lazima uwe nacho.Nahitaji kufahamu, hivi kama nina kitambulisho cha NIDA na nahitaji Passport je lazma niwe na cheti cha kuzaliwa? Maana kuna baadhi ya mambo bado sijaelewa.
Huyo E- Government kwa Tanzania wanafanya manual hawana mfumo wa kuunganisha taarifa ambao uko tayari hii ikiwa imesababishwa na kauajiri vilaza kwenye mambo nyetiNCHI YANGU MIMI NI NGUMU KUIELEWA. WANAOIELEWA MNISADIE.
Hivi mtu umepambana na maform kibao mpaka ukapata ID ya NIDA, kwa akili yangu ndogo, nilijua huo usajili utakidhi mahitaji yote popote utakapohitaji usajili kusudi upewe huduma ya serikali. Kama Uhamiaji wanataka record zangu kwa nini wasilink moja kwa moja na NIDA? Uhamiaji wanatakiwa kuniita pale ambapo kuna mkanganyiko wa habari au wanataka/wana maswali kuhusu uraia wangu. Lakini hii inabidi iwe specific. Case by case.
Sasa huyo mtu/idara ya E-GOVERNMENT KAZI YAKE NI IPI HASWA???
Hata hii ya TCRA, mtu kama una kitambulisho cha NIDA (na tunafanya usajili kwa alama za vidole), ya nini kuhangaisha watu kwamba wakasajiliwe upya? Kiukweli hii bureaucracy ndo inasababisha upigaji wa pesa za serikali kwa sababu records za NIDA zingekuwa zinafanya kazi sehemu zote ambapo usajili unahitajika.
Siamini kwamba serikalini hakuna watu wenye akili kiasi hiki.
It is a total wastage of time and resources!
Wahusika lifanyieni kazi hili swala.
Nenda ofice za wanasheria ukamtengenezee affidavit mmoja ya mzazi,tarehe za kuzaliwa andika mwaka wa fedha yaani tarehe 01 july mwaka kadiria mwenyeweNilijaribu kwa kuapply Online E pass nikakwama njiani hapa nafikiria nitapataje vyeti vya wazazi wangu haliyakuwa hawajui mwaka,mwezi wala tarehe waliyo zaliwa, ukizingatia namimi Niko mbali na Wazee
Mkuu hapa umesahau barua ya mtendaji au ya mwajiri kama umeajiriwaNdugu tayarisha kitambulisho cha NIDA, Cheti cha kuzaliwa, cheti cha kuzaliwa cha baba au mama na kama hawana barua ya kiapo inahitajika, 150k. Hayo ndo ya msingi sana. Mengine kama sababu ya safari andaa maelezo then ingia mtandaoni jaza fomu na waibukie uhamiaji kwa kujiamini utapewa kitabu chako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurenew tu ili tupate epassport tunaambiwa tupeleke cheti cha kuzaliwa na viambatanisho upyaNahitaji kufahamu, hivi kama nina kitambulisho cha NIDA na nahitaji Passport je lazma niwe na cheti cha kuzaliwa? Maana kuna baadhi ya mambo bado sijaelewa.
What if una no ya NIDA na online copy?!Ndugu tayarisha kitambulisho cha NIDA, Cheti cha kuzaliwa, cheti cha kuzaliwa cha baba au mama na kama hawana barua ya kiapo inahitajika, 150k. Hayo ndo ya msingi sana. Mengine kama sababu ya safari andaa maelezo then ingia mtandaoni jaza fomu na waibukie uhamiaji kwa kujiamini utapewa kitabu chako.
Sent using Jamii Forums mobile app
What if una no ya NIDA na online copy?!
Ni kweli kabisa.Mkuu hapa umesahau barua ya mtendaji au ya mwajiri kama umeajiriwa
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 daaah we jamaa bwanaa.Sio lazima hata cheti cha Kipaimara wanakubali mkuu.
dodge
Mhhh hahah kwa uchumi huu au