Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mbwembwe zote hizo bado hakiaminiki?NIDA unaweza ipata kwa vyeti feki ndio maana bado watahitaji B CERTIFICATE
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaji kufahamu, hivi kama nina kitambulisho cha NIDA na nahitaji Passport je lazma niwe na cheti cha kuzaliwa? Maana kuna baadhi ya mambo bado sijaelewa.
Lau Masha ndivyo alitaka owe yaani serikali mtandao chadema wakamchakachua wakishirikiana team ya wapigaji wa Richmond mpango mzima ukatobangwaNCHI YANGU MIMI NI NGUMU KUIELEWA. WANAOIELEWA MNISADIE.
Hivi mtu umepambana na maform kibao mpaka ukapata ID ya NIDA, kwa akili yangu ndogo, nilijua huo usajili utakidhi mahitaji yote popote utakapohitaji usajili kusudi upewe huduma ya serikali. Kama Uhamiaji wanataka record zangu kwa nini wasilink moja kwa moja na NIDA? Uhamiaji wanatakiwa kuniita pale ambapo kuna mkanganyiko wa habari au wanataka/wana maswali kuhusu uraia wangu. Lakini hii inabidi iwe specific. Case by case.
Sasa huyo mtu/idara ya E-GOVERNMENT KAZI YAKE NI IPI HASWA???
Hata hii ya TCRA, mtu kama una kitambulisho cha NIDA (na tunafanya usajili kwa alama za vidole), ya nini kuhangaisha watu kwamba wakasajiliwe upya? Kiukweli hii bureaucracy ndo inasababisha upigaji wa pesa za serikali kwa sababu records za NIDA zingekuwa zinafanya kazi sehemu zote ambapo usajili unahitajika.
Siamini kwamba serikalini hakuna watu wenye akili kiasi hiki.
It is a total wastage of time and resources!
Wahusika lifanyieni kazi hili swala.
Nahitaji kufahamu, hivi kama nina kitambulisho cha NIDA na nahitaji Passport je lazma niwe na cheti cha kuzaliwa? Maana kuna baadhi ya mambo bado sijaelewa.
Nilijaribu kwa kuapply Online E pass nikakwama njiani hapa nafikiria nitapataje vyeti vya wazazi wangu haliyakuwa hawajui mwaka,mwezi wala tarehe waliyo zaliwa, ukizingatia namimi Niko mbali na Wazee
Mkuu unachosema ni muhimu sana. Changamoto ni kua hao watu wa e-Govt. bado ni Wakala, taasisi changa na ndiyo sheria ya kuwafanya mamlaka imesainiwa lakini bado hawajatangazwa kwa kauli ya Waziri. Kwahiyo hata wanaposhauri taasisi zibadilishane taarifa au kuunganishwa muitikio bado ni mdogo kwasababu baadhi ya watu wanaona taasisi zikiungwa au kufutwa vibarua vyao vinakua ukingoni...siyo jambo rahisi kihivyo...pia hii sajili ya harakaharaka (kanyaga twende) huweza kusababisha ukawa na taarifa mamluki ambazo mbeleni zikaja kuigharimu nchi...Pia kuna wakati hizi taasisi za serikali haziaminiani...kila mtu anaona data zake ndiyo safi (anaogopa kuchukua za mwenzie kwa kuhisi yawezekana zina walakini)...ni safari ni ndefu inahitaji maamuzi ya dhati kutoka juu kwa kuanzia na kuwafanya wawe mamlaka ili wanachosema kiwe ni maelekezo na si ushauriNCHI YANGU MIMI NI NGUMU KUIELEWA. WANAOIELEWA MNISADIE.
Hivi mtu umepambana na maform kibao mpaka ukapata ID ya NIDA, kwa akili yangu ndogo, nilijua huo usajili utakidhi mahitaji yote popote utakapohitaji usajili kusudi upewe huduma ya serikali. Kama Uhamiaji wanataka record zangu kwa nini wasilink moja kwa moja na NIDA? Uhamiaji wanatakiwa kuniita pale ambapo kuna mkanganyiko wa habari au wanataka/wana maswali kuhusu uraia wangu. Lakini hii inabidi iwe specific. Case by case.
Sasa huyo mtu/idara ya E-GOVERNMENT KAZI YAKE NI IPI HASWA???
Hata hii ya TCRA, mtu kama una kitambulisho cha NIDA (na tunafanya usajili kwa alama za vidole), ya nini kuhangaisha watu kwamba wakasajiliwe upya? Kiukweli hii bureaucracy ndo inasababisha upigaji wa pesa za serikali kwa sababu records za NIDA zingekuwa zinafanya kazi sehemu zote ambapo usajili unahitajika.
Siamini kwamba serikalini hakuna watu wenye akili kiasi hiki.
It is a total wastage of time and resources!
Wahusika lifanyieni kazi hili swala.
bado utaambiwa uje na barua toka serikali ya mtaaNida ishachukua details zote lakn bdo unabeba vitu vile vile yan bongo bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
NinaCheti cha kuzaliwa hakina mbadala kama ilivyo cheti cha kifo, hivyo ni lazima uwe nacho.
Inakubalika Kama UnavyooWhat if una no ya NIDA na online copy?!
Kwa sasa naona TRA na NIDA ni kitu kimojaHuyo E- Government kwa Tanzania wanafanya manual hawana mfumo wa kuunganisha taarifa ambao uko tayari hii ikiwa imesababishwa na kauajiri vilaza kwenye mambo nyeti
Passport mpya zina namba tofauti na za zamani.Mm nauliza hivi kama mfano mtu ambaye passport yake.ya zaman iliungua moto bahat mbaya na akaja kushtukia tayari ni.majivu je mtu huyu anaweza je kupatiwa passport mpya? Na je ikiwa namba za ile iliyoungua anazo huyu mtu atapewa passport yenye namba ingine ama ile ile?
Niulize swali, hivi ''deadline'' ya hizi pasipoti za kijani ni tarehe 31 Januari 2020? Kama ni sahihi, je ninaweza kupata wapi taarifa hizi wa vile nazihitaji sana.Passport mpya zina namba tofauti na za zamani.