Mambo 15 ya kufanya kupata hati mpya ya kusafiria

Na huna cheti cha chekechea, huna cheti cha ubatizo unaweza kuwa mrundi wewe.
 
Na huna cheti cha chekechea, huna cheti cha ubatizo unaweza kuwa mrundi wewe.
Mkuu KKKT hawatoi cha ubatizo. Ninpicha tu mnapiga baadae mnakula ubwabwa na eeh umepatia. Na nyama
 
Kuna jamaa nawajua ni watu wa taifa fulani kusini mwa Tz. Tumesoma nao vidudu,mafundisho,primary, secondary, wakaenda UD sasa hivi wanafanya kazi kwenye taasisi za serikali.

Hivyo vyeti vyako vyote ulivyotaja wanavyo na si waTz
 
Muda mzuri wa kuchukua passport ilikuwa before deadline ilikuwa unaipata ndani ya wiki kama umekamilika. Ila sasa hivi cha moto mtakiona.

Mimi niliipata ndani ya wiki tu, nilijaza online nikaupload documents zao wanazotaka humo humo online.

Muhimu uwe na NI card, birth certificate, cheti cha mzazi au affidavit. Ukiwa na hivi vitu zoezi ni jepesi sana
 
Ukiwa na pesa passport unaletewa nyumbani
 

Ila mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Nadhani hakuna idara ya serikali ambayo ime improve utendaji kazi wake kama Uhamiaji. Yes kuna urasimu (kama ofisi nyinginezo za serikali). Lakini kiukweli huyu mama Dr. Makakala, amejitahidi mno. Ukienda kuomba passport una kila kitu..njia ziko VERY straight forward. Ukifika utapewa namba na utahudumiwa. Mtu kutoa hela UHAMIAJI ni kwa sababu either anataka apate within two or three days or ana magumashi kiaina. Otherwise normal process ya passport ni wiki mpaka wiki mbili.

Kwa hili naomba nimpongeze Mkurugenzi wa Uhamiaji na team ya wafanyakazi wake. Katika ofisi zote za serikali naamini hii inaweza kuwa miongozi mwa zile chache sana..ambazo zinajitahidi na zimefanikiwa kwa kiasi kikubwa ku-improve huduma kwa wateja.


Hongereni sana Umamiaji.


NB: Hili la NIDA mlifanyie kazi kama liko ndani ya uwezo wenu.
 
Hali yangu ya ombi inaonesha passport imechukuliwa,ndo kumaanisha iko tayari au?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naona Brela wamejitahidi kulink na Database za nida huko unaweka namba taarifa zako muhimu zinakuja kwenye web yao,

Wengine ni ajira portal ile web nayo system yao pia itakuwa ina query dat kutoka Nida,

Pamoja na TRA pia.. wamelink na nida

Sasa uhamiaji , watu wa system wanakwama wapi?
Maana yake wakiweza kulink
Basi mtu anayejaza ,akiweka NIN tu
Taarifa zote zinajijaza automatically
Kuanzia jina , dob, yani zile info zote zitakazo hitajika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…