Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Gadaffi

Ni Gaddafi sio Gadaffi.
Gaddafi ameuawa kwa sababu moja tu, ujinga na kutokuwepo kwa umoja wa nchi za Afrika, unafiki,ubinafsi, uoga na uzandiki wa nchi za Kiafrika. Walikuwa na uwezo wa kuungana na kumkingia kifua lakini walishindwa.

Kama sababu za kifo chake ni kuwa mzalendo wa nchi yake basi hakuna nchi Afrika itaendelea.

Wamkingie kifua kwa maslahi gani? Uyatimbe afu wengine wakukingie kifua?

Tumsapoti mtu aliyeisapoti Uganda wakati wa vita na TZ?

Ukiyatibua unapambana na hali yako kila mtu anabeba msalaba wake.
 
Mwandishi amejitekenya na kucheka mwenyewe.

Yaani uongo kwa miaka hii hauna nafasi kama miaka walau kumi iliyo pita.

Jamii za sasa diniani zina hoji zaidi,zinadadisi mambo,zina uliza maswa kwa kina ili kujua mambo kwa kina zaidi .

Hivyo Unge andika hata madhaifu matatu tu ya Gadafi ili ijulikane kuwa ndiyo sababu za wazungu kuoenyeza chuki kati ya wananchi wa Libya na Rais wao.
Lete sababu za kwako unazozijua kwamba ndizo zilisababisha auawe... Acha ujuaji usio na msingi. Ili uonekane na wewe umo unajua kuongea au?
 
Ni Gaddafi sio Gadaffi.
Gaddafi ameuawa kwa sababu moja tu, ujinga na kutokuwepo kwa umoja wa nchi za Afrika, unafiki,ubinafsi, uoga na uzandiki wa nchi za Kiafrika. Walikuwa na uwezo wa kuungana na kumkingia kifua lakini walishindwa.

Kama sababu za kifo chake ni kuwa mzalendo wa nchi yake basi hakuna nchi Afrika itaendelea.
Alikua mfadhili wa ugaidi duniani. Pia alishirikiana na nduli idd amini kuuwa Watanzania kwenye vita ya Kagera
 
Hizi propaganda zinazunguka kila siku ila nothing could be further from the truth.

Kuna nchi zinakula matunda zaidi ya hayo zipo shwari na viongozi wao hawakuguswa, kwanini yeye?

Moreover, Muamar aliuwawa kwa mikono ya watu wake kabisa that speaks volume. Watu wake wangekua wa kwanza kumkingia kifua sio nchi zingine zisizohusika.

Muamar alisapoti matukio kadhaa ya kigaidi, alikiri na kulipa fidia Google is free y'all can Google it.
 
View attachment 2970158

MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.
4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.
5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.
6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.
7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.
8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekane kwa ajili ya gharama .
9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.
10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14
11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150
12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.
13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA
14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000
15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15
16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)
17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.
Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
Kilichomponza Gadafi ni kulea, kufundisha na kufadhili magaidi.

Magaidi wa Gadafi walilipua ndege ikiwa angani wakafa wafanyakazi wote pamoja na abiria wote jumla 270 karibu na Lockerbie, Scotland., baadaye Gadafi alikiri kuhusika.

Pia magaidi aliotuma walilipua discotheque huko Ujerumani wakauawa watu kadhaa

Nk, nk..
===≈================

AMONG THE ATTACKS LIBYA HAS BEEN IMPLICATED IN ARE THE FOLLOWING:

1. The 1986 bombing of a West Berlin discotheque popular among American soldiers. The attack killed people, including U.S. servicemen; U.S. officials hold Libya responsible.

2. The 1988 murder of 270 people on Pan Am Flight 103. In 2001, a Scottish court convened in the Netherlands convicted Libyan intelligence agent Abdul Basset al-Megrahi of murder for his role in the bombing. A second Libyan suspect was found not guilty.

3. The 1989 bombing of a French airliner over Niger; in 1999, a French court convicted six Libyans for their roles in the attack.

4. Libyan agents are also thought to have assassinated Libyan opposition politicians living in Britain in the 1980s and 1990s.

5. And experts say Libya has backed plots to assassinate the presidents of Chad, Egypt, Sudan, Tunisia, and Zaire.

WHAT KINDS OF SUPPORT TO TERRORISTS DID LIBYA GIVE?

Qaddafi provided training, weapons, funding, safe haven, and other support to several terrorist organizations
 
simaliza kusoma nimeishia hapo kwenye million 300 dollar. mkuu nenda tena kwenye source zako ucheki
kwamba mgonjwa apewe billion 700 kwa ugonjwa gani hasa? Angesema dollar elf 30 inge make more sense. Kupewa million 70 za matibabu inawezekana kabisa kwa taifa tajiri.
 
View attachment 2970158

MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.
4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.
5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.
6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.
7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.
8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekane kwa ajili ya gharama .
9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.
10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14
11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150
12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.
13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA
14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000
15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15
16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)
17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.
Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
Ni ukweli usiopingika kwamba Muamar Gaddafi alikuwa na mazuri yake mengi kuliko mabaya yake kwenye utawala wake, lakini ni kweli pia kwamba kwenye bandiko lako hili 'umetia chumvi sana' kuhusiana na Uhalisia wa mazuri yake.

Aidha, weakness au udhaifu mkubwa kabisa aliokuwa nao Muamar Gaddafi kama Kiongozi wa Taifa la Libya ni kwamba HAKUWA NA SUCCESSION PLAN kuhusiana na suala la Uongozi na Utawala wa nchi yake ya Libya. Badala yake aliitawala Libya kwa Mfumo wa Utawala wa Kifalme. Hili ndilo kosa kubwa sana (Grave Mistake) alilofanya.
Kwa muda mrefu wa miaka arobaini aliokaa madarakani kama Kiongozi Mkuu wa Taifa la Libya (akiwa kama Rais au Mfalme wa Libya), ilitosha kabisa kwake yeye kuweza kuandaa Succession Plan ya Kiutawala kwa ajili ya nchi yake. Pia alikuwa na uwezo hata wa kuamua au kupanga nani hasa angetakiwa kuwa Kiongozi wa kuweza kumrithisha madaraka au Cheo chake alichokuwa nacho ili asimletee nongwa wakati yeye Gaddafi akiwa nje ya mfumo wa utawala wa nchi baada ya kustaafu.
Alishindwa kufanya yote hayo Matokeo yake ikamgharimu pakubwa sana na hatimaye kupoteza maisha.
 
Sababu kubwa kabisa ya kumwondoa Gaddafi madarakani ni kitendo chake Cha kutaka kujenga benk ya Africa mjini tripoli na alitaka nchi zote Africa zikachukue ela Kwa riba kidogo tuachane na mamikopo ya imf bank hapo ndio ikawa mwisho wake maana ni kama aliigusa ulaya matako mpaka hata rafiki yake ton hakupokea cm zake wanaosema ugaidi sio kweli ugaidi ni kisingizio tu na kikubwa Gaddafi aliwekeza Africa zaidi kuliko ulaya baada ya kuuwawa waafrika wenzake wakadhulumu Mali zake afrika ni laana
 
UONGO DOGO. ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.
 
View attachment 2970158

MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.
4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.
5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.
6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.
7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.
8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 3 za kimarekani kwa ajili ya gharama .
9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.
10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14
11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150
12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.
13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA
14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000
15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15
16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)
17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.
Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
Gadaf alistahili kifo hayo unayosema yaliwezekana kwasababu Libya ilikuwa na idadi ndogo ya watu na mauzo makubwa ya mafuta.

Hakuna kitu cha ajabu hapo hata mtu mjinga angepewa kuongoza Libya angefanya.

Gadaf alimsaidia Nduli Idd Amin katika vita ya Kagera.Kama wewe ni Mtanganyika halisi huwezi kumsifu mtu aliyesaidia kuuwa ndugu zetu.
 
Wazungu hawawezi kukubali watu kama kina gadafi, Saddam waishi.... Maana watawasanua kua tunaweza sana tukiamua bila wao, mbona kina Singapore wakianza taratibu sa hivi wanajitegemea.....

Watu kama kina magufuli mzungu hawezi ruhusu wawepo, kwasababu tunatumia internet zao uchwara tutaaminishwa ni magaidi na madikteta.....

Mzungu anapenda tuongozwe na Hawa kina air attendant ambao hawaelewi a wala b
Singapore nadhani wamefocus, hawatoi viashiria vibaya kwa wababe. In short wamejua namna ya kuishi nao huku wakiyaendea malengo yao.
 
View attachment 2970158

MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI

1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.
4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.
5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.
6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.
7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.
8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 3 za kimarekani kwa ajili ya gharama .
9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.
10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14
11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150
12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.
13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA
14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000
15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15
16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)
17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.
Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
Kitu kikubwa alifanya ugaidi wa kuangunsha ndege ya abiria mwaka 1988 Scotland abiria wengi walikuwa wamrekani.
 
Back
Top Bottom