Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Na kwa hilo wanalipa gharama kwa maisha ya hovyo waliyonayo sasaDaaah sasa kwa mazuri hayo bado raia wakaingizwa chaka na Marekani waka muua raisi wao so sad aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa hilo wanalipa gharama kwa maisha ya hovyo waliyonayo sasaDaaah sasa kwa mazuri hayo bado raia wakaingizwa chaka na Marekani waka muua raisi wao so sad aisee
Kumbe mnataka kutawaliwa na wazungu????hakika hizi nchi kamwe hazitofikia maendeleo ya kweli mpaka kiyamaWamkingie kifua kwa maslahi gani? Uyatimbe afu wengine wakukingie kifua?
Tumsapoti mtu aliyeisapoti Uganda wakati wa vita na TZ?
Ukiyatibua unapambana na hali yako kila mtu anabeba msalaba wake.
Eti Google!!!!!ni ujinga tu wa waafrika uliopitiliza hayo yaliyopo huko Google ameyaweka nan???hakika maneno ya Trump yalikuwa sahihi kabsa kuwa hizi ni nchi takataka na zinahitajika kuendelea kutawaliwaHizi propaganda zinazunguka kila siku ila nothing could be further from the truth.
Kuna nchi zinakula matunda zaidi ya hayo zipo shwari na viongozi wao hawakuguswa, kwanini yeye?
Moreover, Muamar aliuwawa kwa mikono ya watu wake kabisa that speaks volume. Watu wake wangekua wa kwanza kumkingia kifua sio nchi zingine zisizohusika.
Muamar alisapoti matukio kadhaa ya kigaidi, alikiri na kulipa fidia Google is free y'all can Google it.
Chuki zako wala hazitokufikisha popote,kama kufa kila mmoja ataonja hicho kikombe hata awe nan?????hizi vurugu nyingi duniani chanzo kikubwa ni hawa wanaojita wastaarabu kumbe uhalisia ni washenzi wakubwa wasiojali haki za wengineGadaf alistahili kifo hayo unayosema yaliwezekana kwasababu Libya ilikuwa na idadi ndogo ya watu na mauzo makubwa ya mafuta.
Hakuna kitu cha ajabu hapo hata mtu mjinga angepewa kuongoza Libya angefanya.
Gadaf alimsaidia Nduli Idd Amin katika vita ya Kagera.Kama wewe ni Mtanganyika halisi huwezi kumsifu mtu aliyesaidia kuuwa ndugu zetu.
na wameingizwa chaka kweli na sasa hivi wanaipata joto ya jiwe. Mmarekani amewaruka kuleeee, na huku anaendelea kunyonya mafuta yake kiulaini kabisa.Daaah sasa kwa mazuri hayo bado raia wakaingizwa chaka na Marekani waka muua raisi wao so sad aisee
Mabeberu hawakupenda.Yalisababishaje sasa kuuwawa kwake kwa mambo mazuri kama hayo?
oooooh really? hao watu si ndiyo waliopewa fedha na marekani kumuondoa? Hivi unafiki wa nchi za magharibi (siyo zote) kama Ufaransa na Marekani unadhani ni mchezo?Moreover, Muamar aliuwawa kwa mikono ya watu wake kabisa that speaks volume. Watu wake wangekua wa kwanza kumkingia kifua sio nchi zingine zisizohusika.
Eti Google!!!!!ni ujinga tu wa waafrika uliopitiliza hayo yaliyopo huko Google ameyaweka nan???hakika maneno ya Trump yalikuwa sahihi kabsa kuwa hizi ni nchi takataka na zinahitajika kuendelea kutawaliwa
Kumbe mnataka kutawaliwa na wazungu????hakika hizi nchi kamwe hazitofikia maendeleo ya kweli mpaka kiyamaha
Duh kumbe nayo yana wivu hawapendi maendeleo yetu?Mabeberu hawakupenda.
Ni kweli haya uliloelezea yana Uhalisia. lakini ukweli ni kwamba Col. Muamar Gaddafi alinga'ang'ania sana madarakani, hakuwa na Succession Plan ya utawala wa nchi yake ya Libya. Hali hii ilitumika kama 'break-through' au 'scape-goat' kwa maadui zake ktk kuuangusha utawala wake uliodumu kwa muda mrefu wa miaka 40 nchini Libya.Ghaddafi aliuawa kutokana na kutofautiana maslahi na wazungu pamoja na warabu wenzake kwenye mauzo ya mafuta ,Qatar alikuwa akieneza propaganda ya kumuondoa ghaddafi kwa walibya kwa kutumia Chombo chake cha habari aljazeera,NATO waliwafadhili waasi wa Libya kwa kuwapa silaha nzito nzito kupitia bandari ya benghazi.Alafu chengine nato walitumia ndege zao za kivita kudhoofisha majeshi ya ghaddafi
Kipindi hicho Libya haikuwa nchi, ilikuwa ni NUSU PARADISOView attachment 2970158
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.
4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.
5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.
6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.
7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.
8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 3 za kimarekani kwa ajili ya gharama .
9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.
10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14
11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150
12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.
13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA
14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000
15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15
16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)
17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.
Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
Alikua gaidi kuliko Marekani?Alikua mfadhili wa ugaidi duniani. Pia alishirikiana na nduli idd amini kuuwa Watanzania kwenye vita ya Kagera
Pia hatukuandamana kumtetea ndugu yetu.Ni Gaddafi sio Gadaffi.
Gaddafi ameuawa kwa sababu moja tu, ujinga na kutokuwepo kwa umoja wa nchi za Afrika, unafiki,ubinafsi, uoga na uzandiki wa nchi za Kiafrika. Walikuwa na uwezo wa kuungana na kumkingia kifua lakini walishindwa.
Kama sababu za kifo chake ni kuwa mzalendo wa nchi yake basi hakuna nchi Afrika itaendelea.
Watu wangap wanatengenezwa na hao wamarekan kisha wanakuja kuvuruga nchi zao????ukiongozwa na misingi ya chuki za kidini ambao weng ndyo wapo hvyo huwezi ona tatizo....lkn ushenzi wa nchi za magharibi ukiongozwa na Marekani haujaanza leo na ugaid basi hakuna anaeweza kuishinda Marekan kwa matendo yake ya kigaidi karibu ulimwengu mzimaSpewing nonsense. Nawewe kaweke yako ukanushe.
Gaddafi alisapoti, kufadhili na kufanikisha ugaidi. Yeye mwenyewe alikiri na kulipa fidia. Docs ziko mahakamani Scotland, German ukitaka fika ujisomee.
Ukiyatimba unapambana na hali yako hamna mtu wa kukusaidia kwenye ujinga wako.
Gaddafi aliuwawa na watu wake wenyewe ungeanza kwanza kujiuliza kwanini watu wake walimuua badala ya kumtetea na kumlinda, wewe mtu wa Chitipa una uchungu kuliko walibya wenyewe waliomtoa roho.