Ni Gaddafi sio Gadaffi.
Gaddafi ameuawa kwa sababu moja tu, ujinga na kutokuwepo kwa umoja wa nchi za Afrika, unafiki,ubinafsi, uoga na uzandiki wa nchi za Kiafrika. Walikuwa na uwezo wa kuungana na kumkingia kifua lakini walishindwa.
Kama sababu za kifo chake ni kuwa mzalendo wa nchi yake basi hakuna nchi Afrika itaendelea.
Lete sababu za kwako unazozijua kwamba ndizo zilisababisha auawe... Acha ujuaji usio na msingi. Ili uonekane na wewe umo unajua kuongea au?Mwandishi amejitekenya na kucheka mwenyewe.
Yaani uongo kwa miaka hii hauna nafasi kama miaka walau kumi iliyo pita.
Jamii za sasa diniani zina hoji zaidi,zinadadisi mambo,zina uliza maswa kwa kina ili kujua mambo kwa kina zaidi .
Hivyo Unge andika hata madhaifu matatu tu ya Gadafi ili ijulikane kuwa ndiyo sababu za wazungu kuoenyeza chuki kati ya wananchi wa Libya na Rais wao.
😝😝jipuClassmate Gadaffi alikua mwamba sana.
Alikua mfadhili wa ugaidi duniani. Pia alishirikiana na nduli idd amini kuuwa Watanzania kwenye vita ya KageraNi Gaddafi sio Gadaffi.
Gaddafi ameuawa kwa sababu moja tu, ujinga na kutokuwepo kwa umoja wa nchi za Afrika, unafiki,ubinafsi, uoga na uzandiki wa nchi za Kiafrika. Walikuwa na uwezo wa kuungana na kumkingia kifua lakini walishindwa.
Kama sababu za kifo chake ni kuwa mzalendo wa nchi yake basi hakuna nchi Afrika itaendelea.
KudGaddafi ni gaidi tu. Ona alivyo msaidia nduli
Kilichomponza Gadafi ni kulea, kufundisha na kufadhili magaidi.View attachment 2970158
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.
4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.
5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.
6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.
7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.
8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekane kwa ajili ya gharama .
9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.
10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14
11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150
12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.
13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA
14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000
15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15
16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)
17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.
Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
kwamba mgonjwa apewe billion 700 kwa ugonjwa gani hasa? Angesema dollar elf 30 inge make more sense. Kupewa million 70 za matibabu inawezekana kabisa kwa taifa tajiri.simaliza kusoma nimeishia hapo kwenye million 300 dollar. mkuu nenda tena kwenye source zako ucheki
Ni ukweli usiopingika kwamba Muamar Gaddafi alikuwa na mazuri yake mengi kuliko mabaya yake kwenye utawala wake, lakini ni kweli pia kwamba kwenye bandiko lako hili 'umetia chumvi sana' kuhusiana na Uhalisia wa mazuri yake.View attachment 2970158
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.
4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.
5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.
6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.
7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.
8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 300 za kimarekane kwa ajili ya gharama .
9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.
10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14
11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150
12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.
13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA
14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000
15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15
16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)
17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.
Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
UONGO DOGO. ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO.Sababu kubwa kabisa ya kumwondoa Gaddafi madarakani ni kitendo chake Cha kutaka kujenga benk ya Africa mjini tripoli na alitaka nchi zote Africa zikachukue ela Kwa riba kidogo tuachane na mamikopo ya imf bank hapo ndio ikawa mwisho wake maana ni kama aliigusa ulaya matako mpaka hata rafiki yake ton hakupokea cm zake wanaosema ugaidi sio kweli ugaidi ni kisingizio tu na kikubwa Gaddafi aliwekeza Africa zaidi kuliko ulaya baada ya kuuwawa waafrika wenzake wakadhulumu Mali zake afrika ni laana
Gadaf alistahili kifo hayo unayosema yaliwezekana kwasababu Libya ilikuwa na idadi ndogo ya watu na mauzo makubwa ya mafuta.View attachment 2970158
MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake hawatapata nyumba nzuri hadi raia wote wa Libya wawe na makazi. Baba mzazi wa Gadafi amefariki wakati, yeye, mke wake na mama yake wakiishi kwenye hema.
4. Kila mfanyakazi Mpya (Mwajiriwa mpya) nchini Libya alipewa Dola za kimarekani 50,000 ili aanzie maisha.
5. Kabla ya Gadafi, kulikuwa na 25% tu ya raia wa Libya ndio walikuwa na Elimu.
6. Elimu na Huduma za Afya (matibabu) nchini LIBYA zilitolewa bure.
7. Kama Mwananchi wa LIBYA aliyehitaji kujishughulisha na kilimo, alipatiwa ardhi, nyumba, mbegu na mahitaji mengine yaliyohitajika.
8. Iwapo mwananchi wa Libya akishindwa kupata Elimu au Huduma ya Afya ndani ya LIBYA, serikali ilimsafirisha nje ya nchi kwa ajili ya mahitaji hayo, pia alipewa Dola milioni 3 za kimarekani kwa ajili ya gharama .
9. LIBYA, Kila raia wa LIBYA aliyenunua gari, serikali ilimwongezea nusu ya bei ya gari, means kama gari itauzwa sh milioni tano, basi raia alilipia shilingi milioni mili na laki tano na kiasi kingine kinalipwa na serikali.
10. Bei ya Petrol nchini LIBYA ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.14
11. Libya ilikuwa haina madeni ya Nje, ilikuwa haidaiwi na nchi yoyote na ilikuwa imehifadhi dola za kimarekani bilioni 150
12. Kila mwananchi wa Libya aliyekosa ajira baada ya kuhitimu kulingana na kiwango alichofikia, Serikali ilimlipa mshahara unaokaribiana na mtu aliyeajiriwa mwenye elimu sawa na aliyonayo yeye.
13. Sehemu ya mauzo ya mafuta nchini Libya ilipelekwa moja kwa moja kwenye akaunti za benki za kila raia wa LIBYA
14. Kila mwanamke aliyejifungua, alipewa Dola za kimarekani 5,000
15. Gharama ya mikate arobaini ilikuwa ni Dola za kimarekani 0.15
16. 25% ya raia wa LBYA walikuwa na kiwango cha Elimu cha SHAHADA (a university degree)
17. GADAFFI aliaanzisha mradi mkubwa zaidi kuwai kutokea duniani, mradi wa Umwagiliaji uliojulikana kama MAN- MADE RIVER PROJECT, Mradi uliowezesha upatikanaji wa maji eneo zima la jangwa.
Kama huu uliitwa “UDIKTETA” Basi WANADEMOCRASIA wote watakwenda Motoni
Singapore nadhani wamefocus, hawatoi viashiria vibaya kwa wababe. In short wamejua namna ya kuishi nao huku wakiyaendea malengo yao.Wazungu hawawezi kukubali watu kama kina gadafi, Saddam waishi.... Maana watawasanua kua tunaweza sana tukiamua bila wao, mbona kina Singapore wakianza taratibu sa hivi wanajitegemea.....
Watu kama kina magufuli mzungu hawezi ruhusu wawepo, kwasababu tunatumia internet zao uchwara tutaaminishwa ni magaidi na madikteta.....
Mzungu anapenda tuongozwe na Hawa kina air attendant ambao hawaelewi a wala b
Kitu kikubwa alifanya ugaidi wa kuangunsha ndege ya abiria mwaka 1988 Scotland abiria wengi walikuwa wamrekani.View attachment 2970158