Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Gadaffi

Wamkingie kifua kwa maslahi gani? Uyatimbe afu wengine wakukingie kifua?

Tumsapoti mtu aliyeisapoti Uganda wakati wa vita na TZ?

Ukiyatibua unapambana na hali yako kila mtu anabeba msalaba wake.
Kumbe mnataka kutawaliwa na wazungu????hakika hizi nchi kamwe hazitofikia maendeleo ya kweli mpaka kiyama
 
Eti Google!!!!!ni ujinga tu wa waafrika uliopitiliza hayo yaliyopo huko Google ameyaweka nan???hakika maneno ya Trump yalikuwa sahihi kabsa kuwa hizi ni nchi takataka na zinahitajika kuendelea kutawaliwa
 
Chuki zako wala hazitokufikisha popote,kama kufa kila mmoja ataonja hicho kikombe hata awe nan?????hizi vurugu nyingi duniani chanzo kikubwa ni hawa wanaojita wastaarabu kumbe uhalisia ni washenzi wakubwa wasiojali haki za wengine
 
hapa wagalatia lazima wakupinge, chochote kinachotokana na muislamu wao ni chuki tu
 
Daaah sasa kwa mazuri hayo bado raia wakaingizwa chaka na Marekani waka muua raisi wao so sad aisee
na wameingizwa chaka kweli na sasa hivi wanaipata joto ya jiwe. Mmarekani amewaruka kuleeee, na huku anaendelea kunyonya mafuta yake kiulaini kabisa.
 
Moreover, Muamar aliuwawa kwa mikono ya watu wake kabisa that speaks volume. Watu wake wangekua wa kwanza kumkingia kifua sio nchi zingine zisizohusika.
oooooh really? hao watu si ndiyo waliopewa fedha na marekani kumuondoa? Hivi unafiki wa nchi za magharibi (siyo zote) kama Ufaransa na Marekani unadhani ni mchezo?

Walifanya nini Iran walipotaka kumuondoa Waziri Mkuu ambae alipingana nao kuhusu faida inayopatikana kwenye mafuta yote kwenda magharibi badala ya kubali Iran? Waliwapa fedha wananchi wakafanya maandamano na kumuondoa yule Waziri Mkuu na kumuweka yule Reza kibaraka wao ambae alikuja kuondolewa na Ayatollah.

Na walifanya nini Congo kwa Patrice Lumumba? Unashangaa ya Gaddafi?
 
Eti Google!!!!!ni ujinga tu wa waafrika uliopitiliza hayo yaliyopo huko Google ameyaweka nan???hakika maneno ya Trump yalikuwa sahihi kabsa kuwa hizi ni nchi takataka na zinahitajika kuendelea kutawaliwa

Spewing nonsense. Nawewe kaweke yako ukanushe.

Gaddafi alisapoti, kufadhili na kufanikisha ugaidi. Yeye mwenyewe alikiri na kulipa fidia. Docs ziko mahakamani Scotland, German ukitaka fika ujisomee.

Ukiyatimba unapambana na hali yako hamna mtu wa kukusaidia kwenye ujinga wako.

Gaddafi aliuwawa na watu wake wenyewe ungeanza kwanza kujiuliza kwanini watu wake walimuua badala ya kumtetea na kumlinda, wewe mtu wa Chitipa una uchungu kuliko walibya wenyewe waliomtoa roho.
 
Sasa nguvu kazi ilitoka wapi kama mfano waoka mikate kama mikate 40 ni pesa hiyo less than one doller kuna umuhimu gani wa mimi kufanya kazi sasa wakati kuna uwezekano wa kupata fedha kirahisi tu upo kwanini nifanye kazi
Kwa takwimu hizi nilitegemea libya ingeongoza duniani kuajiri wageni kwenye sekta karibu zote nguvu kazi ingetoka nje ya nchi yao
Lakini sijawahi kusikia connection za kwenda libya enzi za gadafi

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe mnataka kutawaliwa na wazungu????hakika hizi nchi kamwe hazitofikia maendeleo ya kweli mpaka kiyamaha

Hatutaki mizungu, miarabu wala Gaddafi mwenyewe.

Mtu aliyeisapoti Uganda wakati wa vita ya TZ na Uganda. Mtu aliyesapoti ugaidi na kulipa fidia kwanini tumtetee?

Walibya wenyewe walimchoka na kumuua ndo sisi tumsapoti. Acheni uzwazwa
 
Mabeberu hawakupenda.
Duh kumbe nayo yana wivu hawapendi maendeleo yetu?
Basi hawana tofauti na wachawi.

Ila hata hivyo hakuwa na watetezi huyo marehemu ambao wangemkingia kifua kwa mazuri yote hayo aliyowafanyia?

Binadamu ni anafiki sana sio wa kuwaamini kabisa kmmq
 
Ghaddafi aliuawa kutokana na kutofautiana maslahi na wazungu pamoja na warabu wenzake kwenye mauzo ya mafuta ,Qatar alikuwa akieneza propaganda ya kumuondoa ghaddafi kwa walibya kwa kutumia Chombo chake cha habari aljazeera,NATO waliwafadhili waasi wa Libya kwa kuwapa silaha nzito nzito kupitia bandari ya benghazi.Alafu chengine nato walitumia ndege zao za kivita kudhoofisha majeshi ya ghaddafi
 
Ni kweli haya uliloelezea yana Uhalisia. lakini ukweli ni kwamba Col. Muamar Gaddafi alinga'ang'ania sana madarakani, hakuwa na Succession Plan ya utawala wa nchi yake ya Libya. Hali hii ilitumika kama 'break-through' au 'scape-goat' kwa maadui zake ktk kuuangusha utawala wake uliodumu kwa muda mrefu wa miaka 40 nchini Libya.
 
Mabeberu a.k.a. Majambazi
wa Ulimwengu,hawataki kuona Afrika inakua na kiongozi anayejitambua.Kiongozi yeyote aliyeamua kusimama kwa miguu miwili bila ya woga na kupambania maslahi ya wengi katika nchi yake,huyu ni hatari kwa maslahi yao.Wao wanahitaji viongozi 'idiots' ambao wataimba na kucheza 'nyimbo' za hao wakubwa.Ukiondoa wachache wapigania uhuru,ukaongeza na Sankara,Gaddafi,JPM kwa mbaali sana Kagame,na kwa sasa namuona Ibrahim Traore,Asimi Goita na Abubakar Tiani;hao wengine waliobaki wamejisalimisha kwa Mabeberu.
 
Kipindi hicho Libya haikuwa nchi, ilikuwa ni NUSU PARADISO
 
Alikua mfadhili wa ugaidi duniani. Pia alishirikiana na nduli idd amini kuuwa Watanzania kwenye vita ya Kagera
Alikua gaidi kuliko Marekani?
Vita ya Kagera Tanzania ingeweza kwa namna yeyote kuiepuka...

Siasa za kijinga.. sasa ile vita baada ya kushinda ilitusaidia nini ilikuwa na manufaa yapi?

Hivi hio vita imewekwa hata kwenye syllabus shuleni kuanzia primary, au watoto bado wanasoma maji maji war?
Haikuwa na manufaa ni bora hata hizo vita walipigana wazee kupinga ukoloni...
Manufaa yalikua madogo kuliko faida, ndio maana tumebaki kutazama movies tu, katika analysis hio vita imeturudisha nyuma that's why hata shuleni watoto hawafundishwi kuihusu...


Ujinga tu...
 
Pia hatukuandamana kumtetea ndugu yetu.
 
Watu wangap wanatengenezwa na hao wamarekan kisha wanakuja kuvuruga nchi zao????ukiongozwa na misingi ya chuki za kidini ambao weng ndyo wapo hvyo huwezi ona tatizo....lkn ushenzi wa nchi za magharibi ukiongozwa na Marekani haujaanza leo na ugaid basi hakuna anaeweza kuishinda Marekan kwa matendo yake ya kigaidi karibu ulimwengu mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…