Mambo 20 ya kumuambia mpenzi wako Kila siku

Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu. Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka, Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza.

Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. Watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza.

Sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unayempenda na unahitaji awe wako milele;
1. Macho yako ni mazuri, yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama.

2, Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio nastahili mapenzi yako.

3. Tumbo langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu.

4. Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua.

5. Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea, ghafla nakuwa mtu wa furaha.

6. Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani, lakini umenichagua mimi.

7. Hapana wewe sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo.

8. Ninapokushika nahisi kulegea kwenye magoti.

9. Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako, ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu.

10. Siamini, maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi.

11. kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda, natamani niwe na wewe milele. yaani usife.

12. Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja.

13. Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nini nakupenda, nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia.

14. Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea.

15. Unapoonyesha kunipenda, huwa nazidiwa na hisia, hapo hupotea kabisaaa.

16. Kabla ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi.

17. Naweza kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha kukupenda.

18. Napata furaha nikiwa na wewe.

19. Napenda kutumia muda na wewe.

20. Napenda ngozi yako laini, ninapoigusa.
They dont need words They need Money😁
 
Imethibitishwa ndio neno bora zaidi kwa ustawi wa penzi lolote chini ya jua
 
Asante umenipa hints za kupiga naye stori...ubarikiwe lazima anikome mbona
Inaonekana wewe ni mtu mzima sana
Haya maneno ya kwenye biblia wimbo ulio bora ndio umpelelee mwanamke wa sasa

Labda awe gari la mkaa
 
Hao wapuuzi me nishawazoea hawajui jinsi mwanamke alivyoumbwa

Mwanamke ameumbwa au niseme udhaifu wake upo kwenye kusikia ndo maana sisi wanaume inabidi tuwadanganye ili tuwapate.

Mwanaume udhaifu wake upo kwenye kuona ndo maana wanawake wanahangaika na make up na nguo nusu uchi hapo tunakamatika kweli kweli....!!!

Pesa bila maneno matamu ni kwa makahaba...!!!
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu. Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka, Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza.

Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. Watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza.

Sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unayempenda na unahitaji awe wako milele;
1. Macho yako ni mazuri, yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama.

2, Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio nastahili mapenzi yako.

3. Tumbo langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu.

4. Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua.

5. Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea, ghafla nakuwa mtu wa furaha.

6. Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani, lakini umenichagua mimi.

7. Hapana wewe sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo.

8. Ninapokushika nahisi kulegea kwenye magoti.

9. Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako, ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu.

10. Siamini, maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi.

11. kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda, natamani niwe na wewe milele. yaani usife.

12. Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja.

13. Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nini nakupenda, nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia.

14. Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea.

15. Unapoonyesha kunipenda, huwa nazidiwa na hisia, hapo hupotea kabisaaa.

16. Kabla ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi.

17. Naweza kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha kukupenda.

18. Napata furaha nikiwa na wewe.

19. Napenda kutumia muda na wewe.

20. Napenda ngozi yako laini, ninapoigusa.
Wakumbushe na wana ndoa pia wawaambie wake zao
 
Bila hela, hizo Ni kelele[emoji2]
JamiiForums1751726292.jpg
 
Haya maneno kwa madomo zege na pangu pakavu mchuzi mnuko. Wala kimasihara na wenye hela hakuna maneno mengi.

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Back
Top Bottom