Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Dah haki nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah haki nimecheka [emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Unaweza ukammute usipate hata notification.Dah haki nimecheka [emoji1787][emoji1787]
Eti!! Unaachaje kipengele cha muhimu namna hiyo[emoji2369][emoji2369][emoji2369]Nimesoma kote sijaona ulipoandika, "Ukiwa na shida(pesa) yoyote nipo kwa ajili yako"
Utoto tu, ukikua utaachaWakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu. Na lazima ujue
Pesa sio kila kituUkiwa na hela hivo vinakua viceversa dem ndo atakua anakwambia
Mambo gani?Aya mambo niliyafanya miaka 10 iliyopita
Msiwafanyie hivyo jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaweza ukammute usipate hata notification.
Wapo humu wanaonaWakumbushe na wana ndoa pia wawaambie wake zao
Mbona unajichanganyaa ukishakuwa domo zege maneno ya nini Sasa? Kumbe wanaotanguliza hela ndo madomo zege? au hujui maana ya domo zege? Domo zege ni mtu anayetanguliza pesa kwenye kutongoza! na sijabisha ya kwamba ukianza na maneno matamu pesa haitatumika!Haya maneno kwa madomo zege na pangu pakavu mchuzi mnuko. Wala kimasihara na wenye hela hakuna maneno mengi.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Unanijua unanisikia[emoji57]Ni
Utoto tu, ukikua utaacha
Aah sio sisi, ni necha[emoji1787][emoji1787]Msiwafanyie hivyo jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madomo zege wanatanguliza pesa, wakati unatakiwa utangulize maneno matamu ili umsome huyo mwanamke yupoje pesa itatumika tu lakini baada au katikati ya maneno matamu.Mapenzii nj pesa n maneno na good rude
Safi sanaa ndiyo inavyotakiwa mkuu yaani ikiwezekana ukishampata uwe unavaa na chupi zake kabisa.Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu. Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke unayemtaka, Lakini maneno matamu yanafanya kazi ya kushangaza.
Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. Watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza.
Sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unayempenda na unahitaji awe wako milele;
1. Macho yako ni mazuri, yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama.
2, Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio nastahili mapenzi yako.
3. Tumbo langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu.
4. Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua.
5. Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea, ghafla nakuwa mtu wa furaha.
6. Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani, lakini umenichagua mimi.
7. Hapana wewe sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo.
8. Ninapokushika nahisi kulegea kwenye magoti.
9. Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako, ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwangu.
10. Siamini, maana jinsi ulivyo amazing, lakini upo na mimi.
11. kila nikiangalia muda naona kama hautoshi kukupenda, natamani niwe na wewe milele. yaani usife.
12. Umenifanya niamini kuwa zipo nafsi zinazoungana, zinazokutana pamoja.
13. Usiku nikiwa naangalia nyota na kuzilinganisha kila moja ili kuelewa ni kwa nini nakupenda, nilifanya vizuri hatimae nikazikimbia.
14. Kukutana nawe ni kitu ambacho hakijawahi kutokea.
15. Unapoonyesha kunipenda, huwa nazidiwa na hisia, hapo hupotea kabisaaa.
16. Kabla ya kulala ni lazima kwanza nikupigie simu ndio nitapata usingizi.
17. Naweza kuwa nawe maisha yote, lakini bado nahisi kama haitatosha kukupenda.
18. Napata furaha nikiwa na wewe.
19. Napenda kutumia muda na wewe.
20. Napenda ngozi yako laini, ninapoigusa.
Au nasema uongo mtoto mzuriNimejikuta nacheka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aah sio sisi, ni necha[emoji1787][emoji1787]
Utamlisha Oxygen?? maana ata Maji Kwa sasa Dar yanauzwa,😁Atavaa nini??Sio kweli acha kukariri, unazungumzia wanaojiuza???