Uchaguzi 2020 Mambo 5 niliyoyabaini uzinduzi wa kampeni kanda ya Nyasa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Mambo 5 niliyoyabaini uzinduzi wa kampeni kanda ya Nyasa CHADEMA

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
1. Salumu Mwalimu ana ushawishi na hoja, sauti ya mamlaka kuliko Lissu

2. Tundu Lissu anakera, anakera na anakera haswa. Nadhani anafanya kusudi kumchokonoa Magufuli asiuze sera amjibu na hivyo apoteze muda

3. Sugu anashinda uchaguzi huu kwenye box la kura, mapema kabla ya saa nne asubuhi

4. Mbeya na kanda ya Nyasa wamefunika nchi nzima kwa mapokezi ya CHADEMA

5. CHADEMA bado imara sana.

IMG_4038.jpg
 
1. Salumu Mwalimu ana ushawishi na hoja, sauti ya mamlaka kuliko Lissu

2. Tundu Lissu anakera, anakera na anakera haaswa. Nadhani anafanya kusudi kumchokonoa Magufuli asiuze sera amjibu na hivyo apoteze muda...
Lengo lako kuu ni kuonyesha Lissu hafai. Hayo mengine imebidi usifu tu Chadema ili uweze kuchota watu akili. Lissu ni tishio kubwa kwa Magufuli na mnatumia kila aina ya mbinu ku-discourage wapiga kura lakini hamtashinda.

Lissu anawakera, Lissu anawatetemesha na Lissu anawafanya msilale kwa raha. Hata Magufuli sasa hivi amesha-panic vibaya sana. Serikali na organs zake wamechanganyikiwa na walikuwa hawajui kama Lissu anakubalika namna hii.
 
Nilichokiona Mbeya leo Sugu atasubiri sana kushinda
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.

Umejuaje acha kuweka mazingira ya kujustify wizi wa kura!!! Nyomi yote hii unasema hawajiandikisha; kwani Chadema hawajui kuwa wafuasi wao lazima wawe na shahada za kupiga kura?
 
Back
Top Bottom