Uchaguzi 2020 Mambo 5 niliyoyabaini uzinduzi wa kampeni kanda ya Nyasa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Mambo 5 niliyoyabaini uzinduzi wa kampeni kanda ya Nyasa CHADEMA

Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Kuna bandiko lako zuri sana kule, limemnyong’onyesha mwandishi mbobezi, Bwana Njaa! Naomba usituharibie ladha Sisi mashabiki wako wa leo! Tumejiandikisha, na tutapiga kur!
 
Umati wa magufuli wamejiandikisha ila kwa lissu hawajajiandikisha au sio.partisanism distort mental ability.....
Umati wa Magufuli unakwenda kusikia singeli za akina Sholo Mwamba na bongo fleva za akina Chege.

Hebu wathubutu kuitisha mkutano bila wasanii, ndiyo watajuwa kwa nini Hashim Rungwe amekuja na ajenda ya ubwabwa.
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Kwa mujibu wa tume watu zaidi ya milioni 29 wamejiandikisha kupiga kura, hiyo ni almost nusu ya watanzania wote wanaokadiriwa kuwa around 60m.

Sasa kama wengi wa hawa wanao hudhuria mikutano ya Chadema hawajajiandikisha, basi hili taifa lina watu wa reserve ambao hatunao kwenye takwimu zetu.
 
Mkuu tindo almost tumefanana mawazo
Mkuu wapiga kura kwa mujibu wa tume ya uchaguzi wako 29m+. Watanzania tuko 59m+, yaani wapiga kura ni nusu ya watanzania wote, yaani kila watanzania wawili mmoja kajiandikisha kupiga kura! Kwa maneno marahisi hakuna mtu aliye juu ya miaka 18+ ambaye hajajiandikisha kupiga kura.

Sasa hapa ni aidha ukubali kuwa tume ya uchaguzi imepika data za wapiga kura, au ukubali kwa shingo upande kuwa wote hao wana vitambulisho vya kura. Iwapo utakubali kuwa idadi ya wapiga kura ni 29m+, basi hoja yako kuwa watu hawana vitambulisho inakufa natural death. Na iwapo itabidi ukatae hiyo idadi ya tume kuwa ni ya kupika, basi hata matokeo watakayotangaza yatakuwa ya kupika. Hiyo inaitwa ukikaa nchale, ukisimama nchale. Habari ndio hiyo mtani. Iwe iwavyo, huu ni udhibitisho kuwa ccm haina uwezo wa kushinda uchaguzi wowote kihalali nchi hii zaidi ya 55%.
 
Watu walijiandikisha 2015 mnataka Tena wajiandikishe mala ngapi?

Yaani kila mtu anacho kitambulisho chake
Wewe nawe bongaz kweli, hivi kati ya 2015 na 2020 hakuna vijana waliofikia umri wa kupiga kura? Tanzania bado tuna vichaa wengi mno kama wewe.
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Mlilazimisha WANYONGE kusajili line za simu kupitia vitambulisho vya kupiga Kura kabla ya mwanzoni mwa mwaka huu kuanzisha Lile dudu linaitwa Nida,wananchi walijiandikusha sana na kupata vitambulisho vya NEC,
Umesahau au ulikuwa bado hujazaliwa?
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
waliojiandikisha mwaka 2015 wote wamekufa ? maana 2015 mgombea wa Chadema alipata kura zaidi ya mil 10 dhidi ya mil 3 unusu za mgombea wa ccm , hii siri Kikwete , Kinana , Nape na January wanaijua , sasa mwaka huu ccm imechokwa zaidi hali itakuwaje ?
2332550_matokeo_uchaguzi_3.jpg
 
Hivi kesi zote kuwa na dhamana anamkera nani? Labda mtu asiyeshitakiwa, afikirii kufikishwa mahakamani, hana ndugu, rafiki na jamaa ambaye anaweza shitakiwa! Otherwise watanzania wote tunapaswa kufurahi na mawe ya TL! Kuhusu salumu Mwalimu uko sahihi, huyu mtu anauwezo sana wa kuongea!
 
Back
Top Bottom