Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Ila wanaosombwa na mafuso ya chama wamejiandikisha wote sio?Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Mfano wapi kajaza kumzidi Lissu?hii nchi bhana, akienda JIWE nako watu watajaa zaidi ya hao...
Ila wanaosombwa na mafuso ya chama wamejiandikisha wote sio?
SawaUnauliza 'Mavuzi' sehemu za 'Siri' Mkuu?
Lengo lako kuu ni kuonyesha Lissu hafai. Hayo mengine imebidi usifu tu Chadema ili uweze kuchota watu akili. Lissu ni tishio kubwa kwa Magufuli na mnatumia kila aina ya mbinu ku-discourage wapiga kura lakini hamtashinda.1. Salumu Mwalimu ana ushawishi na hoja, sauti ya mamlaka kuliko Lissu
2. Tundu Lissu anakera, anakera na anakera haaswa. Nadhani anafanya kusudi kumchokonoa Magufuli asiuze sera amjibu na hivyo apoteze muda...
Watu walijiandikisha 2015 mnataka Tena wajiandikishe mala ngapi?Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Achana na huyu idiot. Nia yake ni kuonyesha Lissu hafai. Hayo mengine imebidi asifu Chadema tu ili aweze kuchata akili za watu.Hapo uliposema chadema bado ipo imara umepiga penyewe nadhani wale waliotoa ushauri wa kukandamiza upinzani wameona matunda yake
5 September 2020
Mbeya, Tanzania
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Watu walijiandikisha 2015 mnataka Tena wajiandikishe mala ngapi?
Yaani kila mtu anacho kitambulisho chake
Dodoma na Shinyanga haukuona au mahaba yamekuzidia na kukufumba macho.Mfano wapi kajaza kumzidi lissu?