Pia kwa kuongezea ni wengi sana tunawafahamu wanaenda tu kwa ajili ya hela, ila kura zao ni 50-50 anapiga kulingana na anavyojisikia.
Watu wamechoshwa na hawa jamaa wa "chukua chako mapema" najiuliza tuu hizi gharama wanazotumia takukuru hawaoni?? Na watazirudishaje??