Uchaguzi 2020 Mambo 5 niliyoyabaini uzinduzi wa kampeni kanda ya Nyasa CHADEMA

Uchaguzi 2020 Mambo 5 niliyoyabaini uzinduzi wa kampeni kanda ya Nyasa CHADEMA

CDM nawaonea huruma sana. Utamlinganisha CHAUROPOKAJI na alivyokuwa EL mwaka 2015?
Kama mwaka 2015 CDM walishindwa, uchaguzi wa mwaka huu 2020 watashindwa mara 2 zaidi ya mwaka 2015.
Wafanye wafanyavyo, lakini kwa upande wa Urais VVU(Vyama Vya Upinzani) bado saaaaaaaaana tena saaaaaaaaana.
 
'Imeshapenya' hiyo 'Mpuuzi' mkubwa usiyejua vyema Majina ya akina Farhia Middle na Dotto Bulendu na kuwaita Midle na Burendu na Ukaumbuka.
Cheki sasa unavyowashwa washwa hilo puru, nimeshalala mkuu, siwezi kukukuna muda huu, piga tu moyo konde ulale
 
Lengo lako kuu ni kuonyesha Lissu hafai. Hayo mengine imebidi usifu tu Chadema ili uweze kuchota watu akili. Lissu ni tishio kubwa kwa Magufuli na mnatumia kila aina ya mbinu ku-discourage wapiga kura lakini hamtashinda.

Lissu anawakera, Lissu anawatetemesha na Lissu anawafanya msilale kwa raha. Hata Magufuli sasa hivi amesha-panic vibaya sana. Serikali na organs zake wamechanganyikiwa na walikuwa hawajui kama Lissu anakubalika namna hii.
Lissu anakuchanganya wewe tu. Mtu saa zote kuongelea kisa cha kupigwa risasi badala ya hoja na ilani ya chama chake. Saa zote kufoka na kutoa uongo.
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Ila wale wanaohudhuria mikutano ya CCM ndio wamejiandikisha eeeh! Mama kweli kuna watu viazi kweli kweli
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Waliojianfikisha wanahudhuria mikutano ya ccm tu.
Au waliohudhuria wakiwa wachache ndo wanakuwa wamejiandikisha
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Mimi nina uhakika wengi wa hawa watu au watanzania wengi wamejiandikisha kutokana na kitambulisho cha mpiga kura kuwa na umuhimu mkubwa sana kwani kuna mambo ulikuwa mtu huwezi kufanya bila ya kuwa na hicho kitumbulisho cha mpiga kura.
 
Bwana mdogo huwa nakufananisha na malaya wangu mmoja wa Sinza Mori,ana msanga a.k.a msambwanda kama wako.

Naona umeamua kabisa Kututajia na eneo Kuu ambalo 'Basha' wako Yule Mwarabu Koko anaishi na huwa unampelea Nyabe na Anakunyabenga tu.
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
Wakijaa kwenye fiestra za ccm hata kama wameletwa kwa kulazimishwa kama mama yetu alivyosema kule Musoma ni wapiga kura, lakini wakija kwenye mikutano ya wapinzani hawajajiandikisha. Mnatia huruma nyie lakini, basi tu hamna namna!
 
Pamoja na kwamba tunaona Umati ni mkubwa na kujipa Moyo Kushinda ila tusijisahaulishe kuwa wengi ya hawa Watu hawajajiandikisha kwa Kura.
How do you know this is something I really wish to know... Any research to back up your story??
 
waliojiandikisha mwaka 2015 wote wamekufa ? maana 2015 mgombea wa Chadema alipata kura zaidi ya mil 10 dhidi ya mil 3 unusu za mgombea wa ccm , hii siri Kikwete , Kinana , Nape na January wanaijua , sasa mwaka huu ccm imechokwa zaidi hali itakuwaje ?View attachment 1559863
Wote waliokuwapo hapo chumbani wamesomeshwa namba kila mtu kwa wakati wake.
 
1. Salumu Mwalimu ana ushawishi na hoja, sauti ya mamlaka kuliko Lissu

2. Tundu Lissu anakera, anakera na anakera haaswa. Nadhani anafanya kusudi kumchokonoa Magufuli asiuze sera amjibu na hivyo apoteze muda

3. Sugu anashinda uchaguzi huu kwenye box la kura, mapema kabla ya saa nne asubuhi

4. Mbeya na kanda ya Nyasa wamefunika nchi nzima kwa mapokezi ya CHADEMA

5. CHADEMA bado imara sanaaaaaaaaaa

View attachment 1559760
Hahaha na anamkera kweli jiwe huko aliko
 
Back
Top Bottom