Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Mmh! Hii kali miaka 50 alikuwa monster huyo.
 
Mambo mengi hayapo really Kama yanavyoonekana,,, hii dunia inamambo mengi sana
 
Nataka kufananisha zile conspiracy theory zinazodai kuwa Freemasons huwa wana ratibu hiyo mipango.Ni masterminding under Fremasonry system ndio maana hutokea kwao tu na kwa watu maarufu.
 
Mimi sina kipaji cha uandishi ninakipaji cha kuongea tu tena bila kipaza sauti ila Kuna kitu kinaitwa TIME TRAVEL/TIME TRAVEL MACHINE inaweza ikakurudisha nyuma hata miaka mia moja ukaona uliishi vipi na ulikuwa nani.
THE DEAD NOT STAY DEAD.
Kuna mlango kati ya wakati wa nyuma na wakati uliopo. Kuna watu wachache ambao kiasili huwa wana nguvu ya ku note matukio au sehemu au mtu na kuhisi kama walishaonana kabla au anaona tukio kama linajirudia kwa muundo uleule mpaka muda unakuwa no uleule lakini akijiuliza ilikuwa ni lini aliliona aliliona tukio lile kwa mara ya kwanza anakuwa hana majibu.
 
Hii nmeipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…