bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatari sana
Mmh! Hii kali miaka 50 alikuwa monster huyo.![]()
Jamaa mmoja alipotea baharini takribani siku 33, alijitahidi kuogelea na alifanikiwa kufika ufuo wa visiwa vya Marshall Islands.
Cha kushangaza, visiwani humo alikutana mjombake ambaye inasadikika alipotea baharini takriban miaka 50 iliyopita.
Tafuta movie inaitwa THREE utajuwa watu wanapoteaje.Mmh! Hii kali miaka 50 alikuwa monster huyo.
Hii nmeipenda sanaNakuongezea Hizi tatu tena
7. Ujenzi wa Bwawa la Hoover
Ujenzi wa bwawa hili liligharimu maisha ya watu wengi, lakini mtu wa kwanza kufa ni bwana J.G. Tierny, ambaye alifariki December 20, 1922. Mfanyakazi wa Mwisho kufa kwenye huu ujenzi alikuwa Mtoto wa Tierny alikufa siku sawa na siku aliyokufa baba ake miaka 13 baadaye, December 20, 1935.
![]()
8. Video game Iliyotabiri semptember eleven (Twin tower iliyopigwa na Osama)
Video game ya Deus Ex ambayo ilikuwa officially released June 2000. Game hili lilitengenezwa kuakisi maisha ya New york city, lakini katika hatua za mwisho kabisa wakagundua kwamba wamesahau kuyaweka majengo pacha ya biashara (Twin Towers). Ili kukwepa gharama na muda wa kuanza kutengeneza upya ikabidi waandike tu mwanzo wa game kwamba yale majengo yamelipuliwa na magaidi.
![]()
9. Ndugu wawili wa Hamilton
Dereva wa baiskeli yenye injini (Moped) mji wa Hamilton, Bermuda alifariki mwaka 1974 kwa kugongwa na taxi. mwaka ulifuta 1975 eneo lile lile, mdogo wake naye aligongwa akiwa anaendesha baiskeli ya injini, gari iliyomgonga ni ile ile iliyomgonga kaka ake, na cha ajabu kabisa dereva yule yule, na pia alikuwa amebeba abiria yule yule aliyekuwa amemubeba siku anamugonga kaka mtu.
![]()