Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Nadhani, ni ile imani ya kwamba mtu akifa anarudi duniani in different person
Ni imani ya baadhi ya madhehebu ya dini za kiasia, nadhani hata za kiafrika pia. Kwamba ukifa hapa duniani, utazaliwa kiumbe kingine au mtu mwingine hapahapa duniani. Ubora wa kiumbe kijacho hutegemeana na maisha unayoyaishi leo.

Mfano, simba mwema akifa anaweza akazaliwa binadamu mkatili kidogo kama simba, akijitaidi nae akifa anaweza kuzaliwa mtu mwema. Imani hii inaonesha kwamba maisha ni mzunguko tu wa shida duniani.

Kwa imani hii, peponi au paradiso ni kutoweka kwenye huu mzunguko. Kuna kanuni nne zmezaa nane ukizifuata, ukifa mwili wako unatoweka nje ya mzunguko huu wa shida, na kuishi tena kunakoma.
 
Wazungu wana maisha ya kuweka rekodi,tofauti na sisi,inawezekana hapo ulipo hata hujui muda na saa uliozaliwa,inaweza kuja kugongana exactly na muda atakaozaliwa labda mwanao au mjukuu wako,na matukio mengineyo
Na hapa ndipo wanapotushindia, rekodi. Hakuna ugunduzi uliofanyika kwa ukamilifu wake,,,,,, rekodi za jana zilitumika kuiboresha leo. Waafrika tuliweka rekodi vichwani tena mwa wachache, akifa na vyote vinakwisha.
 
inasemekana hapa duniani kuna kikundi fulani cha wanadamu wenye uwezo usio wa kawaida,kwa sababau wanazo zijuwa wao,wanahusika kupanga matukio makubwa yanayotokea duniani.

sina hakika sana ngoja nimuulize mkuu The bold
Bible inasema kuna wana Mungu waliwatamani mabinti wa Nuhu, wakazaliana. Shehe Yahya nae alisema majini huzaliana na wanadamu, na stori zingine kama hizo,,,,,, nalo linaweza likawa na mashiko. Unadhani hivyo vizaliwa vingekuwaje?
 
Linclon na Abraham wamenivutia sana

Yasije mkuta trump[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kifo cha Pope John Paul I (The smiling Pope) Au Albino Luciani aliyekufa Kiajabu (assassinated) Baada ya Kuwa Pope kwa Siku 33 tu. Pope huyu alifikia Mauti yake baada ya Kuazimia Kudhibiti Kashfa ya Wizi na Utakatishaji wa Fedha Uliokuwa Ukifanywa Kati ya Vartican Bank na Banco Ambrosiano.

Cardinals wakielekea kwenda kupiga Kura Sistine Chapel 1978 (The Tall black Cardinal is Laurian Rugabwa from Tanzania)

Siku 33 Baadaye wakaitwa kwa ajili ya Mazishi ya Albino Lucian ( John Paul I) na Pia kuingia Tena Kumchagua Pope Mwingine ambapo Pope John Paul II (Carol Woijtyla)


 
Kennedy alipigwa risasi ya shingo, siyo kichwa. Soma vizuri upelelezi wa kufo chake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sanaa
 
Kennedy alipigwa risasi ya shingo, siyo kichwa. Soma vizuri upelelezi wa kufo chake.
Alipigwa Risasi Mbili, moja shingoni ya Kwanza, Na ya pili kichwani. Wanaosema alipigwa Risasi moja ni wale waliotaka kusema Muuaji alikuwa ni mmoja. Ukweli ni Kuwa Makamo wa Rais Lindon Johnson ndiye aliyepanga yale mauaji. Maana J F. Kennedy, Boby F. Kennedy na Martin Luther King Jr wote alikuwa na beaf nao, na wote wafe, tena wote wafe kwa kupigwa Risasi, na kwa kupigwa Risasi na Lone assassin? Probability ya hiyo kuwa ni coincidence, ni ndogo kuliko kupigwa na Radi ukiwa ndani ya Ukumbi wa Senem!

Tazama Zapruder Film, anapigwa Risasi, anajishika shingo, Mkewe anamwatamia, na Kisha anapigwa nyingine Ubongo unasambaza na Mkewessafari hii anapanic anaruka kuokota kipande cha fuvu kilichofumuliwa kutoka kichwa cha Kennedy!


 

Amazing coincidence: Michael Dick with his daughters Shannon and Samantha and (circled) his other daughter Lisa and his ex-wife in the background. A journalist from a local paper took the snap to help him find Lisa, whom he had not seen for a decade



Read more: Photo of father looking for his long-lost daughter reveals her in the background | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…