It is the head bullet that took kennedy's life. There was no where to repair the brain.Kennedy alipigwa risasi ya shingo, siyo kichwa. Soma vizuri upelelezi wa kufo chake.
It is the head bullet that took kennedy's life. There was no where to repair the brain.
May I know the book you read?It is the head bullet that took kennedy's life. There was no where to repair the brain.
Mnauhakika huyu jamaa hakupita kwa mama mama Ozil?Enzo Ferrari wa maranello dahhh.mkuu ukitaja Ferrari mawazo yanakuja haraka ni speed,ila wamefanana aisee na kijana wa Gelsenkirchen Mesut Özil mjerumani mwenye asili ya uturuki(mzaliwa wa ujerumani)
Huu utakuwa ni uongo .......Hawa mapacha wa kiume wanaofanana (identical Twins), waliasiliwa (adopted) na familia mbili tofauti mara tu baada ya kuzaliwa
Hizo familia zilizowaAdopt hao watoto zilikuwa hazifahamiani kabisa ila kila Familia ilimpa jina la JIM kwa mtoto waliyemuadopt, Hivyo hao mapacha wote walikuwa na jina la Jim
Baada ya hao wakina Jim kukua, kila mmoja akaamza maisha yake, lakini walikuwa na ufanano huu
1: Wote walijiunga na Law-Enforcement Training
2: Wote walikuwa na uwezo wa Mechanical Drawing na Capentry
3: Wote walioa wake wanaoitwa Linda
4: Wote walipata mtoto wa kiume na kila mtu kwa upande wake walimuita mtoto huyo James Allain
5: Hao mapqcha waliwataliki wake zao wa kwanza (Linda) na kila mtu alioa mke mwingine na huyo mke aliitwa Betty
6: Wote walikuwa wanamiliki mbwa aliyekuwa anaitwa Toy
7: Mapacha hao (Jim Lewis na Jim Springer) walikutana kwa mara ya kwanza mwezi Feb, 9- 1979, ikiwa ni miaka 39 ya kutengana
View attachment 464263
Daaaaah Mkuu nimeogopa sana pale Kennedy alipopigwa risasi ya kichwa.Alipigwa Risasi Mbili, moja shingoni ya Kwanza, Na ya pili kichwani. Wanaosema alipigwa Risasi moja ni wale waliotaka kusema Muuaji alikuwa ni mmoja. Ukweli ni Kuwa Makamo wa Rais Lindon Johnson ndiye aliyepanga yale mauaji. Maana J F. Kennedy, Boby F. Kennedy na Martin Luther King Jr wote alikuwa na beaf nao, na wote wafe, tena wote wafe kwa kupigwa Risasi, na kwa kupigwa Risasi na Lone assassin? Probability ya hiyo kuwa ni coincidence, ni ndogo kuliko kupigwa na Radi ukiwa ndani ya Ukumbi wa Senem!
Tazama Zapruder Film, anapigwa Risasi, anajishika shingo, Mkewe anamwatamia, na Kisha anapigwa nyingine Ubongo unasambaza na Mkewessafari hii anapanic anaruka kuokota kipande cha fuvu kilichofumuliwa kutoka kichwa cha Kennedy!
Coincidences hizo za identical twins ziko nyingi sana, hapo kuna mambo yao mengine wala sijayaandika,Huu utakuwa ni uongo .......
Humjui baba yake Ozil mkuu?Mnauhakika huyu jamaa hakupita kwa mama mama Ozil?
ahahhaahah sio kila kitu mpaka kitabu. By the way according to the official Doctor report (autospy report) this is was i quote "It is my personal feeling that all methods of resuscitation were instituted expeditiously and efficiently. However, this cranial and intracranial damage was of such magnitude as to cause the irreversible damage." Bibliographic note: Web version based on Report of the President's Commission on the Assassination of President John F. Kennedy, Washington, DC: United States Government Printing Office, 1964. 1 volume, 888 pages. available at Appendix 8May I know the book you read?
Huu utakuwa ni uongo .......