Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Michael Dick, a carpenter from bow, tried his best to search his daughter, Lisa, who was lost ten years earlier. After various unsuccessful attempts, he finally approached media and asked them to track down his daughter. Luckily, Lisa saw the photograph of his pleading father in a newspaper and the pair was reunited. But adding weirdness to this reunion, people came to know that Lisa was behind her family members when they were photographed by the media.
 
It is the head bullet that took kennedy's life. There was no where to repair the brain.

Hawa mapacha wa kiume wanaofanana (identical Twins), waliasiliwa (adopted) na familia mbili tofauti mara tu baada ya kuzaliwa
Hizo familia zilizowaAdopt hao watoto zilikuwa hazifahamiani kabisa ila kila Familia ilimpa jina la JIM kwa mtoto waliyemuadopt, Hivyo hao mapacha wote walikuwa na jina la Jim

Baada ya hao wakina Jim kukua, kila mmoja akaamza maisha yake, lakini walikuwa na ufanano huu
1: Wote walijiunga na Law-Enforcement Training
2: Wote walikuwa na uwezo wa Mechanical Drawing na Capentry
3: Wote walioa wake wanaoitwa Linda
4: Wote walipata mtoto wa kiume na kila mtu kwa upande wake walimuita mtoto huyo James Allain
5: Hao mapqcha waliwataliki wake zao wa kwanza (Linda) na kila mtu alioa mke mwingine na huyo mke aliitwa Betty
6: Wote walikuwa wanamiliki mbwa aliyekuwa anaitwa Toy
7: Mapacha hao (Jim Lewis na Jim Springer) walikutana kwa mara ya kwanza mwezi Feb, 9- 1979, ikiwa ni miaka 39 ya kutengana
image.jpg
 
View attachment 464263
Huu utakuwa ni uongo .......
 
Alipigwa Risasi Mbili, moja shingoni ya Kwanza, Na ya pili kichwani. Wanaosema alipigwa Risasi moja ni wale waliotaka kusema Muuaji alikuwa ni mmoja. Ukweli ni Kuwa Makamo wa Rais Lindon Johnson ndiye aliyepanga yale mauaji. Maana J F. Kennedy, Boby F. Kennedy na Martin Luther King Jr wote alikuwa na beaf nao, na wote wafe, tena wote wafe kwa kupigwa Risasi, na kwa kupigwa Risasi na Lone assassin? Probability ya hiyo kuwa ni coincidence, ni ndogo kuliko kupigwa na Radi ukiwa ndani ya Ukumbi wa Senem!

Tazama Zapruder Film, anapigwa Risasi, anajishika shingo, Mkewe anamwatamia, na Kisha anapigwa nyingine Ubongo unasambaza na Mkewessafari hii anapanic anaruka kuokota kipande cha fuvu kilichofumuliwa kutoka kichwa cha Kennedy!

Daaaaah Mkuu nimeogopa sana pale Kennedy alipopigwa risasi ya kichwa.
Kwa maana hiyo alifumuliwa kichwa chote?
Mungu wangu sikuwa nikijua hili [emoji87]
 
Hii inafanana kimtindo na yangu.....
Nilizaliwa siku ya jumapili tarehe mbili machi saa sita za mchana.

Na mama yangu nae alifariki siku ya jumapili tarehe mbili machi saa sita za mchana......

Nilizaliwa muhimbili na alifia muhimbili.

Mke wangu nae alizaliwa tarehe mbili machi siku hiyohiyo ya jumapili ila yeye tumetofautiana masaa.

Kila jambo na maana yake. Sijajua muujiza gani tena mungu amenifumba na tarehe hiyo pamoja na hiyo siku
 
May I know the book you read?
ahahhaahah sio kila kitu mpaka kitabu. By the way according to the official Doctor report (autospy report) this is was i quote "It is my personal feeling that all methods of resuscitation were instituted expeditiously and efficiently. However, this cranial and intracranial damage was of such magnitude as to cause the irreversible damage." Bibliographic note: Web version based on Report of the President's Commission on the Assassination of President John F. Kennedy, Washington, DC: United States Government Printing Office, 1964. 1 volume, 888 pages. available at Appendix 8
 
Huu utakuwa ni uongo .......

Ngoja nikuongeze na hizi,
1: Ashley Spinks na Andrea Springer ni Mapacha wakike wanaofanana, wakati walipofikisha umri wa miaka 21 wate waligundulika kuwa wana Mimba (Mimba ya kawaida-yaani walitembea na wanaume), na baada ya miezi sita wote walipopima walambiwa wana watoto mapacha wa Kiume na watajifungua mwezi wa January1, cha ajabu wote walijifungua siku ya tarehe 14 Dec kwa uzazi wa kawaida wala sio wa kulazimisha

2: Mapacha wawili wa aFinland waliokufa siku moja
Mwaka 2002, Mapacha wawili wanaume wenye umri wa miaka 70 walikufa siku moja, eneo moja na aina ya Kifo chenye kufanana, ilikuwa hivi
Pacha mmoja alikuwa anaendesha baiskeli katika eneo la Raache 600Km kutoka mji wa Helsinki na aligongwa na roli na kufa hapohapo, Masaa mawili baadae, Pacha mwenzie bila kuwa na taarifa ya kifo cha mwenzie, alikuwa akikatisha barabara ileile akiwa na baiskeli yake nae akagongwa na roli na kufariki palepale, alikufa kwenye eneo la umbali wa 1.5Km kutoka alipokufa pacha mwenzie
 
Back
Top Bottom