Daah..sometimes huwa Naona ni km tunafanya marudio ktk Maisha ya watu waliokwisha tangulia
N hzi Cases za twins huwa zinashangaza Sana
Nliwahi kusoma moja kuhusu twins(Identical)In Us hko Ohio ambao walikua separated at the time wanazaliwa na wakawa Adopted ktk familia 2 tofauti kabisa n ktk maeneo tofauti ila kilichotokea ni kwamba Kila pacha ikatokea kapewa jina la James, wote walipitia law enforcement training, Wote walikua na kipawa cha Uchoraji (mechanical Drawing) pamoja na ufunDi seremala, Walioa na jina la kila mke wa pacha lilikua ni LINDA, wakaachana na wake zao ktk kipinDi flani., Kisha Wakaoa tena na jina la kila mke wa Pacha lilikua Bety, Walipata watoto wa kiume na Mmoja akawa anaitwa James allan kwa pacha mmoja na James allan kwa mwingine..Kila pacha alikua na mbwa akiitwa Toy
Hawa mapacha walikuja kuunganishwa/kukutanishwa Miaka 40 BaaDae
Nahisi mapacha wana Share vitu vingiii Sana
Kuna Ambao waliwahi kupata Ajali wakalazwa ktk Hospitali moja ila wodi tofauti na Wakati mmoja kafariki yle mwingine alikua Kishajua kwakua alitoa kauli na madaktari nao wali Confirm si punDe, kisha muDa kiDogo hyu mwingine naye Akafariki DuniA
Twins wana Mambo mengi Sanaa