Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnauhakika huyu jamaa hakupita kwa mama mama Ozil?
Daaaaah Mkuu nimeogopa sana pale Kennedy alipopigwa risasi ya kichwa.
Kwa maana hiyo alifumuliwa kichwa chote?
Mungu wangu sikuwa nikijua hili [emoji87]
Hii sijaielewa,idadavue vizuri kwa maneno Mkuu.Tuendelee na nyingine View attachment 464395
Jamani nimeogopa mnoooo!Yah Ilitisha sana, Alizikwa Bila Ubongo!
Interesting. Embu weka nyama kidogo hapa. Duuuh.kuna ile baada ya kumtafuta binti yao aliyepotea kwa muda mrefu ilibidi wazazi wale wakariport kwenye gazeti,
wakati wanapiga picha ya kuweka gazetini pembezoni ya barabara pale karibu na ofice za gazeti kumbe wakati huo huo yule msichana alikuwa akipita hivyo akajikuta naye yupo kwenye ile picha ila wazazi hawakugundua kuwa kwenye background ni binti yao kwakuwa ilikuwa ishapita miaka kibao yule binti ndiye aliye kujakutambua baada ya kuona picha gazetini
Aiseee...hii nayo kiboko!![]()
Amazing coincidence: Michael Dick with his daughters Shannon and Samantha and (circled) his other daughter Lisa and his ex-wife in the background. A journalist from a local paper took the snap to help him find Lisa, whom he had not seen for a decade
Read more: Photo of father looking for his long-lost daughter reveals her in the background | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook