Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Mambo 6 Duniani yaliyotokea kwa namna ya kuacha Mdomo wazi

Tuendelee na nyingine
1485540353405.jpg
 
Yah Ilitisha sana, Alizikwa Bila Ubongo!
Jamani nimeogopa mnoooo!
Maana nimeona kichwa chote kimefumuka ikabaki shingo tu.

Hivi wakati alipopigwa risasi ya shingo gari lilisimama au liliendelea na mwendo?
Hivi kwanini hakuingia uvunguni mwa gari baada ya ile risasi ya shingo?
Au alipigwa risasi ya pili ndani ya muda mfupi ambao asingeweza kufanya maamuzi?

Nimekuwa interested sana na hii habari.
 
kuna ile baada ya kumtafuta binti yao aliyepotea kwa muda mrefu ilibidi wazazi wale wakariport kwenye gazeti,
wakati wanapiga picha ya kuweka gazetini pembezoni ya barabara pale karibu na ofice za gazeti kumbe wakati huo huo yule msichana alikuwa akipita hivyo akajikuta naye yupo kwenye ile picha ila wazazi hawakugundua kuwa kwenye background ni binti yao kwakuwa ilikuwa ishapita miaka kibao yule binti ndiye aliye kujakutambua baada ya kuona picha gazetini
Interesting. Embu weka nyama kidogo hapa. Duuuh.
 
Daah..sometimes huwa Naona ni km tunafanya marudio ktk Maisha ya watu waliokwisha tangulia
N hzi Cases za twins huwa zinashangaza Sana

Nliwahi kusoma moja kuhusu twins(Identical)In Us hko Ohio ambao walikua separated at the time wanazaliwa na wakawa Adopted ktk familia 2 tofauti kabisa n ktk maeneo tofauti ila kilichotokea ni kwamba Kila pacha ikatokea kapewa jina la James, wote walipitia law enforcement training, Wote walikua na kipawa cha Uchoraji (mechanical Drawing) pamoja na ufunDi seremala, Walioa na jina la kila mke wa pacha lilikua ni LINDA, wakaachana na wake zao ktk kipinDi flani., Kisha Wakaoa tena na jina la kila mke wa Pacha lilikua Bety, Walipata watoto wa kiume na Mmoja akawa anaitwa James allan kwa pacha mmoja na James allan kwa mwingine..Kila pacha alikua na mbwa akiitwa Toy
Hawa mapacha walikuja kuunganishwa/kukutanishwa Miaka 40 BaaDae
Nahisi mapacha wana Share vitu vingiii Sana
Kuna Ambao waliwahi kupata Ajali wakalazwa ktk Hospitali moja ila wodi tofauti na Wakati mmoja kafariki yle mwingine alikua Kishajua kwakua alitoa kauli na madaktari nao wali Confirm si punDe, kisha muDa kiDogo hyu mwingine naye Akafariki DuniA
Twins wana Mambo mengi Sanaa
 
Back
Top Bottom